Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mkuunitashukuru Sana 🙏
Naomba unielekeze ulianza kulipia tangazo fb ukaweka tangazo la biashara gan kabla ya kuagiza aliexpressIngia AliExpress nunua vitu vidogo dogo kama lipstick,hereni ,wanjan.k unzia hapo.
baada ya hapo ingia fb andaa tangazo lipia bajeti iwe Dola 10 kuanzia target vizuri.
Mimi nilianza na bando tu na ela ya kulipia tangazo nikapata oda ndio nikaanza kuagiza.so plan well.kila la heri
1pc wanauzaAlibaba hawajawahi kuuza bidhaa rejareja
Hakuna charges zozote ukimalizana na supplier ndio basicost zipoje maan posta na tra hawatotak ela kwel
Mkuu mbona alibaba vilivyopo havina features kama hivi au wewe unanunuaga wapi?Unaweza anza na hii product- SIM Card Case: kuna jamaa anaziuza Hapa Dar kwa Tzs 70,000[emoji23][emoji23]China ni kama Elfu 2-5 Kimoja. Wewe utaviuza elfu 30 each ,Tengeneza elfu 20 kila kimoja. Utaagiza na kuagiza mpaka mtaji ukuwe. Kisha njoo tena useme mtaji ulionao ntakupa business Ideal usonge mbele zaidi...Usiogope kuna mtu alianza Biashara kwa mtaji wa elfu 50. Now ni billionea na ajatumia uchawi wala nini. Biashara ni Sayansi... unaweza pewa mtaji 1 Billion ukaisha woote bila kufanya kitu, aliepewa 30 elfu na kuanza biahashara ya Chips now anamiliki Bar yenye wahudumu 25
Alibaba vipo. Ngoja nicheck niweke link ya Duka hapaMkuu mbona alibaba vilivyopo havina features kama hivi au wewe unanunuaga wapi?
Safi Sana.Alibaba vipo. Ngoja nicheck niweke link ya Duka hapa
Nimeviona Kwa uzuri tu alibaba sasa vipi lan soko lake maana Kwa mbongo Kununua accessories Kwa 30 elf naona kama Hadi kushikana masharti.Alibaba vipo. Ngoja nicheck niweke link ya Duka hapa
Bidhaa zako kutoka alibaba ulikiwa unafqnya shipping na ageny gani?Mimi nilianza na mtaji wa 200k nilianza na 10 pieces za bidhaa fulani sasa hivi mtaji wangu umefika 2M
Nenda alibaba angalia bidhaa ambayo kwa piece 1 thamani yake kuanzia elfu 4 hadi elfu 12 hakikisha bakiza pesa inayokatwa na alibaba na MasterCard bila kusahau shipping fee
Uko sahihi kuna bidhaa ambazo ukiagiza utazipata faster ..AliExpress ndani ya siku 14 mzigo umefika speedaf wanakuletea Hadi mlangoni.tena Kuna zile free shipping
Mfano unaweza kuagiza hizi seat cover kwa Tshs 32+ ni free shipping pitia review jiridhishe kama inakufaaUko sahihi kuna bidhaa ambazo ukiagiza utazipata faster ..
Hapa nilimuagizia mtu huko bongo..!
View attachment 2957042
Na mzigo umefika faster kuliko kipimdi cha miaka ya nyuma..!
View attachment 2957043
silent ocean wasilian nao watakupa address yao huko china then supplier wako atapeleka. utapokea mzigo dar utalipia siku ukienda kuchukua mzigo wakoHi me nataka kuagiza mzigo toka china lakini sijui nitaupokeaj nimeongea na muuzaj company ya albaba tushaelewana kila kitu nawaza mzigo Wang nitaupokelea wapi sasa nisaidieni jamani
Kwa silent ocean wanatumia siku ngapi mkuusilent ocean wasilian nao watakupa address yao huko china then supplier wako atapeleka. utapokea mzigo dar utalipia siku ukienda kuchukua mzigo wako
Kaka naomba kujua hii ya hizo mitaTafuta bidhaa zinazotoka hapo kwenu kama airpod n.k
Then ingia alibaba weka oda
tumia ndege kusafirisha ili zifike fasta
promote facebook
kwa mtaji wako huo mdogo agizia airpod maana hizi kwa dar zinaenda sana utaingiza faida nzuri,au vifaa vya simu charge,usb n.k unauza jumla au rejareja
ungekuwa na kamtaji kuanzia laki tano ningekupa dili la kuagiza visub mita hivi vya kila mpangaji kujigalamikia mwenyewe umeme vinatoka sana dar na connection ya wateja ningekupa mimi maana ninao kibao shida nipo mbali na dar
HakikaMimi nilianza na mtaji wa 200k nilianza na 10 pieces za bidhaa fulani sasa hivi mtaji wangu umefika 2M
Nenda alibaba angalia bidhaa ambayo kwa piece 1 thamani yake kuanzia elfu 4 hadi elfu 12 hakikisha bakiza pesa inayokatwa na alibaba na MasterCard bila kusahau shipping fee