Mkuu tufafanulie kidogo kwa faida ya wote, huo mkataba ukoje? Haumpi mshahara?My brother usikatishe ndoto zako changamoto zipo kila mahala na hazikwepeki.
Jaribu kupambana nazo hapo ndio mwanzo wa ndoto zako.
(1)kama upo kijijini tafuta watu wanayoifanya hii biashara binafsi nipo na Vijana wawili wa bodaboda. Huku ni kijijini so wanalipa sh 40,000 kwa week mkataba wa miaka miwili kila mmoja.
(2)kama upo mjini weka mkataba wa sh 10,000kwa siku ndani ya mwaka mmoja.
ANZA NDOTO ZAKO.
Mkuu tufafanulie kidogo kwa faida ya wote, huo mkataba ukoje? Haumpi mshahara?
Mkataba ni kwamba baada ya muda tajwa pikipiki inakuwa ya muendeshaji. Kwahiyo inamlazimu aitunze ili aweze kunufaika nayo mbeleni. Matengenezo madogomadogo pia kwakeMkuu tufafanulie kidogo kwa faida ya wote, huo mkataba ukoje? Haumpi mshahara?
My brother usikatishe ndoto zako changamoto zipo kila mahala na hazikwepeki.
Jaribu kupambana nazo hapo ndio mwanzo wa ndoto zako.
(1)kama upo kijijini tafuta watu wanayoifanya hii biashara binafsi nipo na Vijana wawili wa bodaboda. Huku ni kijijini so wanalipa sh 40,000 kwa week mkataba wa miaka miwili kila mmoja.
(2)kama upo mjini weka mkataba wa sh 10,000kwa siku ndani ya mwaka mmoja.
ANZA NDOTO ZAKO.
Kuna uzi upo humu ingia,tulichangia vya kutosha,tunaona uvivu kurejea
Ila una haki ya kulinda chombo chako kisheria,hata kumi ilianza na moja,tusidharau hatua ya mwenzetu kwenye maisha.
Kuna watu hata Baiskeli hawana.Changamoto za biashara hii zinaanzi hata kwenye Ushauri,nahapa ndio umeanza nazo,sasa bado za kiutendaji ambazo itabidi ufungue uzi utakua maelezo ya kutosha kwa kadri ya mungu alivyojaliwa wachangiaji.
Ubarikiwe katika hatua yako
Aisee wewe Munawar kwa sifa,sasa umejua nimechoandika au ndio sifa za kujifanya unajua saaana Polisi.
Acha kumdanganya jamaa kuwa afanye Kazi ya boda boda mjini Dar es Salaam !!! Boda boda haziruhusiwi !!!
Acha kumdanganya jamaa kuwa afanye Kazi ya boda boda mjini Dar es Salaam !!! Boda boda haziruhusiwi !!!
Kweli nimeamini kwamba Kuberi zinalewesha,we wapi ameandika kwamba yupo Dar?
Kumbe na wewe mzushi aisee.
Haya Meya wa JF umeskika
Acha kukariri kila mtu anayeomba ushauri wa biashara anaifanyia dar, kasema yupo dar es salaam?...acha maigizo!!
Na wapi ameandika kuwa hayupo dar ??!