Biashara ya boda boda

Biashara ya boda boda

My brother usikatishe ndoto zako changamoto zipo kila mahala na hazikwepeki.

Jaribu kupambana nazo hapo ndio mwanzo wa ndoto zako.

(1)kama upo kijijini tafuta watu wanayoifanya hii biashara binafsi nipo na Vijana wawili wa bodaboda. Huku ni kijijini so wanalipa sh 40,000 kwa week mkataba wa miaka miwili kila mmoja.

(2)kama upo mjini weka mkataba wa sh 10,000kwa siku ndani ya mwaka mmoja.

ANZA NDOTO ZAKO.
 
Mkuu tufafanulie kidogo kwa faida ya wote, huo mkataba ukoje? Haumpi mshahara?
 
Mkuu tufafanulie kidogo kwa faida ya wote, huo mkataba ukoje? Haumpi mshahara?

Mkataba kwa pikipiki uko hivi, unaandikiana kwa veo au m/kiti wa mtaa kuwa unamkabizi kwa miezi flani na kila siku atakukabizi tsh 10 000/ baada ya mda kuisha unamkabizi kadi inakua mali yake, pia ionyeshe:-
1.marekebisho(service)zote anafanya yeye
2.asipo rejesha siku 3 au 4 au 5 mfululizo au ndani ya wiki mkataba unavunjika na anarudisha pkpk na hakuna madai, pia unaweza ongeza na mengine
 
Mkuu tufafanulie kidogo kwa faida ya wote, huo mkataba ukoje? Haumpi mshahara?
Mkataba ni kwamba baada ya muda tajwa pikipiki inakuwa ya muendeshaji. Kwahiyo inamlazimu aitunze ili aweze kunufaika nayo mbeleni. Matengenezo madogomadogo pia kwake
 
My brother usikatishe ndoto zako changamoto zipo kila mahala na hazikwepeki.

Jaribu kupambana nazo hapo ndio mwanzo wa ndoto zako.

(1)kama upo kijijini tafuta watu wanayoifanya hii biashara binafsi nipo na Vijana wawili wa bodaboda. Huku ni kijijini so wanalipa sh 40,000 kwa week mkataba wa miaka miwili kila mmoja.

(2)kama upo mjini weka mkataba wa sh 10,000kwa siku ndani ya mwaka mmoja.

ANZA NDOTO ZAKO.

Mkuu mimi nipo mjini na katika ufuatiliaji wangu niliskia skia hiyo habar ya mikataba ya miezi kumi kila siku anakuletea ten for ten months. Nashukuru kwa kupanua uelewa wangu ila mambo ya msingi ya kuzingatika katika kusuka huo mkataba ni yap?
 
Naombeni ushauri wakuu,

Wanasema you can never experience real life if you are not ready to incur risks. Nahitaji kufanya biashara ya boda boda, as in nina piki piki yangu sasa nahitaji kutafuta mtu nika andikishiane nae polisi kabisa kuhusu makabidhiano na usalama ili aendeshe then ananilipa kwa siku or week.

Sasa kuna changamoto zipi zaidi ninazoweza kukumbana nazo katika biashara kama hii ya kumkabidhi mtu kifaa cha moto na sort of that? Natanguliza shukrani

Please tu avoid zile comments zitakazoleta mada isiyohusika na hii mada. Thanks.
 
Mkuu waendesha bodaboda wengi wao ni wasumbufu sana kwenye hesabu kama utapata wa kukuletea hesabu kwa kila siku itakuwa vizuri kuepuka usumbufu au kila baada ya siku 3.
 
Polisi halooo!wamekosa kazi mpaka wahangaike ni hiyo boda boda yako.
 
ha ha ha kuandikishana polisi..

unaogopa risk mpaka unapitiliza..

polisi kwenye boda boda moja... he he he
 
duh watanzania nawagawa kwa nkurunzinza burreee namshukuru kaka kule juu alienipa ushauri na wakucheka haloo cjajua jinsia zao inasikitisha ninaomba ushauri wako bizeee kucheka next time learn kazi ya polisi ni kuhakikisha usalama wa raia unadhani huyo ntakae andikishana nae sitakuwa nime m bind at least hata kwa matendo madogo. au mnadhani polisi kazi yao ni kupiga watu virungu tu. we are too irrational sometimes
 
Kuna uzi upo humu ingia,tulichangia vya kutosha,tunaona uvivu kurejea

Ila una haki ya kulinda chombo chako kisheria,hata kumi ilianza na moja,tusidharau hatua ya mwenzetu kwenye maisha.
Kuna watu hata Baiskeli hawana.Changamoto za biashara hii zinaanzi hata kwenye Ushauri,nahapa ndio umeanza nazo,sasa bado za kiutendaji ambazo itabidi ufungue uzi utakua maelezo ya kutosha kwa kadri ya mungu alivyojaliwa wachangiaji.

Ubarikiwe katika hatua yako
 
Pasua mkubwa wewe !!! Kazi kumdanganya jamaa !!!
 
Attachments

  • 1450972594512.jpg
    1450972594512.jpg
    40.6 KB · Views: 285
Acha kumdanganya jamaa kuwa afanye Kazi ya boda boda mjini Dar es Salaam !!! Boda boda haziruhusiwi !!!

Acha kukariri kila mtu anayeomba ushauri wa biashara anaifanyia dar, kasema yupo dar es salaam?...acha maigizo!!
 
Back
Top Bottom