Biashara ya boda boda

Biashara ya boda boda

Kuna makubaliano kati yako na dreva:
1. muelewane awe anakuletea shilingi ngapi kwa wiki for example Tshs.50,000/= kwa muda wa miaka miwili halafu baada ya hapo pikipiki inakuwa yake (wenyewe wanaita MKATABA)
2. Au anakuletea kiasi cha Tshs.50,000/= kwa wiki lakini pikipiki ni yako mwanzo mwisho.

Tatizo ni kupata dreva makini, mwaminifu, atakaye kitunza chombo kama cha kwake, anayeheshimu sheria za barabarani, anayejua huduma kwa mteja nakadhalika.

Ushauri: ukitaka dreva mzuri nenda kituo cha polisi kwa mkaguzi wa magari (vehicle inspector) anaweza kukupatia kijana/dreva bora.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kituo cha polisi tena
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kituo cha polisi tena
hahahhah jamani Polisi ni "friendly user" hahahahaha. akimuona Vehicle Inspector anaweza kumsaidia kumpatia mtu mzuri wa kuendesha pikipiki yake. hahahahahahahahahaahahahahahh😀😀😀😀
 
Kuna mama mmoja alifanikiwa sana katika hii Biashara,alipata dereva muungwana,akanunua ya pili, ya tatu mpaka ya nne, zote zikiwa chini ya uangalizi wa dereva wa kwanza.

Dereva wa kwanza ndie alikuwa na jukumu la kutafuta dereva mpya na masuala ya service.

Bahati mabaya huyo Dereva wa kwanza alipata Accident akafariki.
Mmiliki aliiona dunia chungu,walimwita freemason kwamba ndiye anahusika na kifo cha dereva wake,aliitwa mchawi,alinusurika kuuwawa kwa kuvamiwa nyumbani.
Ni mitihani mingimingi .

Sasa kwa wewe usikate tamaa manake sio lazima iwe hivyo.
 
Du kweli changamoto kila kona aisee
 
Kweli aisee midume sikuizi inabagua alafu wenzetu wao wanapiga tu kaxziyeyote.
Unataka pesa alafu unaogopa changamoto duh!! hii kali, sasa nini maana ya fanya kazi ule?

Ila tunawashukuru mzidi kuogopa alafu wengine tuzidi kupigatu mkwanja.
 
Mzee hiyo ya mchezo ipo nje ya biashara hiyo ya pkpk. Nimejaribu kueleza kwa sababu nafanya hivyo pia. Ni hivi sababu vijana wengi wa boda boda si watunzaji wazuri wa pesa wazipatazo ndio maana nimewashauri tuanzishe mchezo kama upatu hivi na vijana wangu. Ambapo kila baada ya siku tano kila mtu anatoa 10,000 tunamkabidhi mtu mmoja. Hii niliifanya mahususi kuwasaidia kuweza kupata kipato cha mara moja ambacho kinaweza kuwasaidia kufanya jambo lolote linalowahusu.

Haina ulazima wa kufanya hivyo kama una pkpk moja lakini kama una pkpk nyingi ni nzuri
Bro ninashida na ww nataka kufanya hyo biashara
 
Wakubwa habari zenu,

Nina mtaji wa kama mil 3 hivi ila baada ya kupitia thread mbalimbali za humu JF nikaona bora niwekeze katika biashara mojawapo kati ya hizi
1. Biashara ya bodaboda
2. Biashara ya mchele
Firstly nimeanza na uchambuz wa hii biashara ya bodaboda ambapo hesabu zangu zinanionyesha kwamba faida yake inayopatikana haiendani na mtaji wake.

Hesabu zangu ni kama ifuatavyo;

1. Tuchukulie bodaboda ya mkataba wa elfu kumi kila siku then after mwaka mmoja(siku 365)dereva inakuwa yake
NB: Hapa naondoa hesabu za service, traffic, ajali maana hayo yanakuwa juu ya dereva according to mkataba

MTAJI
Bei ya manunuz + vibali + bima ni takrIbani 2,400,000/=

MAPATO
10,000 *365 days= 3,650,000

FAIDA
3,650,000 - 2,400,000=1,250,000

FAIDA KWA SIKU
1,250,000/365 = 3425

So kwa biashara hii ya mtaji wa mil 2.4 ina uwezo wa kukuingizia sh 3400 tu kwa siku kama faida!!

2. Tuchukulie hesabu ya 7000 kwa siku na bila ya makubaliano ya dereva kwamba itakuja kuwa yake

Hapa nimechukulia siku 360 kama mwaka,siku 65 zilizobaki hesabu yake nimefidia kwenye risk mbalimbali kama trafic, services, ajali etc

MAPATO
7000*300 days=2,100,000

Thamani ya bodaboda baada ya mwaka 1,500,000
2,100,000+1,500,000=3,600,000

FAIDA
3,600,000-2,400,000=1,200,000

FAIDA KWA SIKU
1,200,000/365=3200
Hapa inakua inakuingizia kiasi cha 3200 kwa siku

Nimepiga hizo hesabu kwa uelewa wangu binafsi na sio mjuzi wa kupiga hizi calculation za profit and loss kwa hiyo kama faida kwenye biashara haziwi calculated kama hivyo naomba mnisahihishe
 
upo vzur bro,lkn mm nilichogundua kwa wazaz wangu kwanini wanapenda kununua bodaboda za biashara ni kutokana na sababu zifuatazo...1
1) ni biashara ambayo inauhakika wa kuingiza pesa kwa kila siku kwa uhakika.
2) haina complication kama kuuza duka au genge
3)inaweza anzisha biashara nyingine,, pia sisi kule songea kwetu hakuna milima sana kwahyo bodaboda nyng pale home hua zmauzwa baada ya miaka 2.5,, kwa bei isiyopungua 1000000,,, Kwasababu hzii znaniaminisha hata mimi kuendelea kuwekeza kaboom kangu ili mwakan ndake sanlg
 
Ni kama ilivyotamkwa hapo juu, ukinunua wewe mwenyewe na ukakaa nayo barabarani mwenyewe, faida ni kubwa saana.

Kinyume na hapo, ni maumivu tuu. Nimemiliki tatu kwa 2.5yrs, nimekaa vijiweni mpaka saa 7usiku.

Don't try that at home.
 
upo vzur bro,lkn mm nilichogundua kwa wazaz wangu kwanini wanapenda kununua bodaboda za biashara ni kutokana na sababu zifuatazo...1
1) ni biashara ambayo inauhakika wa kuingiza pesa kwa kila siku kwa uhakika.
2) haina complication kama kuuza duka au genge
3)inaweza anzisha biashara nyingine,, pia sisi kule songea kwetu hakuna milima sana kwahyo bodaboda nyng pale home hua zmauzwa baada ya miaka 2.5,, kwa bei isiyopungua 1000000,,, Kwasababu hzii znaniaminisha hata mimi kuendelea kuwekeza kaboom kangu ili mwakan ndake sanlg
Ndugu mimi naona inahitaji moyo sana hii, yani watu na mitaji yao ya laki 5 utamkuta anakibiashara chake kinamuingizia zaidi ya 5000 kwa siku lakini hii bodaboda ya 2mil+ au hayo ya kichina ya 1.8M ndio ziingize 3400 per day!!!!
 
In short ni kwamba biashara ya bodaboda ni biashara ambayo inatumia mtaji mkubwa sana faida kidogo

Mm Nina saloon ya kiume yenye mtaji WA m1 lkn kwa siku naingiza 8000 tu so nipigie mahesabu kwa mwaka naingiza sh ngap na hapo mm sihusiki na chochote kama umeme na vipodozi isipokuwa frem tu so mambo mengine akili kichwani mwako tu wakuu
 
Ile sio biashara kwa mtu mwenye njaa.... ila km una michakato m8ngine na hauwez kutunza pesa .... basi boda inafaa kwa kuwa kila ukipata pay unaingiza kwenye michakato mingine......
 
Back
Top Bottom