Kuna makubaliano kati yako na dreva:
1. muelewane awe anakuletea shilingi ngapi kwa wiki for example Tshs.50,000/= kwa muda wa miaka miwili halafu baada ya hapo pikipiki inakuwa yake (wenyewe wanaita MKATABA)
2. Au anakuletea kiasi cha Tshs.50,000/= kwa wiki lakini pikipiki ni yako mwanzo mwisho.
Tatizo ni kupata dreva makini, mwaminifu, atakaye kitunza chombo kama cha kwake, anayeheshimu sheria za barabarani, anayejua huduma kwa mteja nakadhalika.
Ushauri: ukitaka dreva mzuri nenda kituo cha polisi kwa mkaguzi wa magari (vehicle inspector) anaweza kukupatia kijana/dreva bora.