George johnson
Senior Member
- Oct 3, 2017
- 105
- 78
Ni nzr ukiifaya mwenyew kabsaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri sana mbona nimeskia bodaboda hawakati bima kubwa mm nimenunua zangu nimeulizia nimeambiwa hawakati bima kubwa,bodaboda kweli ukipata dereva asiejua maisha utalia tatizo letu wengi wetu tukiona vijana wamekaa maskani tunawapa bodaboda wengine hawawezi kazi bora utafute mtu aliesota na maisha huwa waaminifu sanaHii bishara kwa kweliii inahitaji moyo mm nilinunua last year mwezi wa kumi ilinipa changamoto kubwa sana hasa kwa dereva..
Yan dereva alikua mwongo afu boda anaigawa kama karanga za kuonja..
Worse case ikaibiwa this year mwezi wa nane.. ninachoshukuru Mungu wakati nanunua niliiweka bima kubwa hivyo bima now wamenilipa ila kwa kifupi biashara hii wanafanya iwe ngumu ni madereva hesabu....
Now nmeamua kufanya biashara ya kukopesha (microfinance) nayo inachangamoto zake ila sio kama boda boda...
Kama utanunua boda boda uwe na dereva mzuri na uweke bima kubwa....
Wanakata kaka mm nlikata Jubilee Insurance bima ilikua 162,500 we ulizia jubilee Insurance vizur..Vizuri sana mbona nimeskia bodaboda hawakati bima kubwa mm nimenunua zangu nimeulizia nimeambiwa hawakati bima kubwa,bodaboda kweli ukipata dereva asiejua maisha utalia tatizo letu wengi wetu tukiona vijana wamekaa maskani tunawapa bodaboda wengine hawawezi kazi bora utafute mtu aliesota na maisha huwa waaminifu sana
1.makazi ya dereva,kujua sehemu anayotoka ni muhimu,ikiwemo barua ya utambulisho .Unatumia mbinu gani kwenye Ku manage hapo vijana?
usimbane saana sasa mwanasheria utampata vipi wanasheria si wanalipwa hela nyingi sio wengine hatuna uwelewa huo1.makazi ya dereva,kujua sehemu anayotoka ni muhimu,ikiwemo barua ya utambulisho .
2.mdhamini wa dereva mwenye kueleweka.
3.shirikiana na mwenyeji mfano mwenyekiti wa mtaa kuwabaini dereva mzuri,kwani huko mikataba mbalimbali husainiwa,vile vile vijiwe vya bodaboda.
4.kufunga mfumo wa ulinzi kwenye chombo chako,mfano tracking system, bima kubwa.
5.pokea pesa kwa siku,maana kuna madereva wengine wakishalundika huona ugumu kuzitoa zote.
6.hakikisha mkataba una mashiko kisheria,ikibidi tafuta mwanasheria akusaidie kudrafti.
Sio lazima mwanasheria kamili,hao ni ghali,wapo wa bei cheVizuri sana na vilevile dereva
usimbane saana sasa mwanasheria utampata vipi wanasheria si wanalipwa hela nyingi sio wengine hatuna uwelewa huo
Sio lazima mwanasheria kamili,hao ni ghali,wapo wa bei che
Mtaani wapo pia, wazee wa mahakama hata hao wanafaa,wapo kwa wingi ,jaribu kuuliza kwa mwenyekiti wa mtaa.Hawa wanasheria wanapatikana wapi
Njoo tuongee kama tutafika makubaliano 0713 727478hiyo hela yako ya kununua boda boda bora unipe mimi niizungushe tu non risk.. nikurudishie kwa mfumo ambao boda boda ya mkataba inampa mmiliki..
tofauti yake ni kwamba mimi nakupa faida nusu ya boda wa mkataba angekupa... sabab hutakuwa na risk yoyote tofauti na boda boda inaweza ikagongwa au kuibiwa before mkataba kuisha...ukala hasara..
mimi naitumia kwenye tshirt business tu... naongeza tu mtaji na naagiza zangu plain tu somewhere
Tshirt Garage Mabibo Hostel (@tshirt_garage_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos
na loundry shop yangu naongeza hela nanunua mashine heavy duty
Nina Jamaa Yangu Aliibiwa Tena Kwa Uzembe Wa Dereva Analewa Anaenda Nayo Bar,ila Alilipwa Pesa Yake Japo Kwa Awamu
Mimi Nimejifunza Biashara Ndogo Ndogo Za Mtaji Midogo No Stress Wala Nguvu Wala Akili Na Zinanipa Hizo 10,000 Au 20,000 Kwa Siku Ila Hiyo Hapana Aisee
Ha ha ha!Utaendesha mwenyewe....???
Utanyanganywa.
Utampa dereva..??
Itaibiwa
Achana na hiyo biashara kichaa
Kila biashara ina changamoto mbona kuna watu wanafanikiwa kwenye bodaboda wanamiliku mpaka 20,mm ni mmiliki nnazo kadhaa mbona changamoto za kawaida tu.Utaendesha mwenyewe....???
Utanyanganywa.
Utampa dereva..??
Itaibiwa
Achana na hiyo biashara kichaa
Hii biashara inahitaji usimamizi wa hali ya juu sana, usiwe mtu wa kupiga simu mara zote. Mfuatilie hatua kwa hatuaAisee Shida Vijana Vijana Wakija Vichwa Chini,mikono Nyuma Mkishakabidhiana Maumivu Sijui Kama Mfumo Umebadilika Nlinunua Boda Moja 2015 mpya tukaenda kwa mwanasheria yeye akiwa na mdhamini wake ,service juu yake kila siku anatakiwa alete 10,000 (hapa Nlimuambia Awe Anarusha Kwa Fahari Huduma Crdb)Ikiisha Mwaka Inakuwa Yake,akizidisha Siku 5 Yaani Deni Hajaleta Tunaterminate Contract,nachukua Boda Bila Kumrudishia,ila Nlifanyia Kazi Mwezi 1 tu nikaiuza na nliyemuuzia nae akaiuza ndani ya mwezi maana pasua kichwa hiyo biashara.
kijana alikuwa haleti pesa,nkampa simu tuwasiliane simu hapatikani,kwake hayupo mke na mtoto mchanga wakawa wanalia njaa kwangu kwa kujua hela zote mume analeta kwangu,nkimsaka anajificha,nkawa mbabe nikaweka dau kijiweni atakayefanikisha nimkamate nampa 15,000 siku hiyo nlimpata akakabidhi funguo zote ila ilishaanza kuchoka no service nikauza na nliyemuuzia baada ya mda akaniambia ameuza pasua kichwa
ila kuna mdada kaifanikisha hii biashara anazo boda kama 15 hivi
Kuna biashara nyengine mtu anaweza kuidharau haswa za uswahilini ila zinapesa japo sio nyingi ila hukosi faida kati ya 20-40 kila sikuNina Jamaa Yangu Aliibiwa Tena Kwa Uzembe Wa Dereva Analewa Anaenda Nayo Bar,ila Alilipwa Pesa Yake Japo Kwa Awamu
Mimi Nimejifunza Biashara Ndogo Ndogo Za Mtaji Midogo No Stress Wala Nguvu Wala Akili Na Zinanipa Hizo 10,000 Au 20,000 Kwa Siku Ila Hiyo Hapana Aisee