Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ngoja nimtume chambo wetu Analyse 🤣🤣Mzee wa kupambania, ni boxer, njoo ubebe mlima wa udzungwa 😂😂
kama nilivosema, kuna mambo mengi.... ninachojaribu kukuambia ni kwamba kama untaka kufika level a hao majamaa kuna vitu vingi vibaya lazima ufanye, utakua ukikinzana na dhamira yako....Nimeona, ila usisahau musk alitoka kuuza kampuni yake.
👉Na wao walihitaji muwekezaji, company ilianzishwa 2003-2008- alipoamua musk kuongoza.💪
👉Wao walikuwa na wazo ila walishindwa kuendelea. Na ndo Mana walimuuzia. Wakahamia utengenezaji wa even batteries
tena sana😂Elon Musk ni tajiri mwenye maneno mengi sana
Mdogomdogo watu walianza na boda sasa hivi wana Bajaj. Nidhamu ya matumizi, usimamizi mzuri madereva sio wa kucheka naoMzee wa kupambania, ni boxer, njoo ubebe mlima wa udzungwa 😂😂
Kaka ntakupinga kwa musk, Kumbuka alinunua hisa kidogo 2003,kama nilivosema, kuna mambo mengi.... ninachojaribu kukuambia ni kwamba kama untaka kufika level a hao majamaa kuna vitu vingi vibaya lazima ufanye, utakua ukikinzana na dhamira yako....
Namkubali Sana, amepingwa na matajiri wengi mfano bill gates, Charlie munger, Warren buffet but still tupo kule 🔥🔥Elon Musk ni tajiri mwenye maneno mengi sana
Number of Elon Musk tweets:tena sana😂
Mi mchimba chumvi tu, Niko nanjilinjiiMdogomdogo watu walianza na boda sasa hivi wana Bajaj. Nidhamu ya matumizi, usimamizi mzuri madereva sio wa kucheka nao
Jamaa yuko vizuri sema ndo ile sijui tuseme kujimwambafai kumezidiNamkubali Sana, amepingwa na matajiri wengi mfano bill gates, Charlie munger, Warren buffet but still tupo kule 🔥🔥
Elon Musk’s journey:Mzee wa kupambania, ni boxer, njoo ubebe mlima wa udzungwa 😂😂
Elon Musk’s richest person in the world ranking by the year:Mzee wa kupambania, ni boxer, njoo ubebe mlima wa udzungwa 😂😂
Iam coming soon💪, I mean no malice to nobody.Elon Musk’s richest person in the world ranking by the year:
2012: 634
2013: 527
2014: 158
2015: 100
2016: 94
2017: 80
2018: 54
2019: 32
2020: 2
2021: 1
2022: 1
2023: 2
Iam bringing IB soon💪💪Time it took to achieve a $1 trillion market capitalization:
Apple Inc. 38 years,
Microsoft Inc. 33 years,
Amazon Inc. 23 years,
Alphabet Inc. 16 years,
Tesla 11 years.
Hardworking and admirableIam coming soon💪, I mean no malice to nobody.
Critical thinking and analyse mentHardworking and admirable
Nipo mzee baba Intelligent businessman 🤣Mzee wa kupambania, na mshamba_hachekwi mmepotea🤔🤔
Ndio maana tunashindwa kushindana na wahindi na wachina. Wenzetu hiyo faida ya 3000 kwa siku ni nyingi mno na kwa kuwa wana nidhamu ya biashara wanafanikiwa sana.Daaaa!!Kweli ni hatari yaani mtaji wa 2.3 milioni ikuletee faida ya tsh.100,000 kwa mwezi sawa na tsh.3300 kwa siku?!!!! Hapana ni uwekezaji usio na afya kabisa!!! Hiyo faida hata mwenye mtaji wa 50000 anaweza pata mala tatu yake kama amewekeza sehemu nzuri.Hata bajaji ni uwekezaji usio na afya kabisa,