Mianzin Arusha
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 132
- 139
Kwa arusha wanapenda sana sinoray,skygo,boxer au kinglion ila ni chaguo la kijana unayempa anataka ipiWakuu a-saamu aleykum...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina mpango wa kuwekeza kwenye biashara ya bodaboda. Nipeni ushauri, aina gani ya pikipiki ni nzuri, ntapataje dereva na kwa siku ataniletea kiasi gani..
Mtaji mil 6.5
Maeneo Arusha Mjini
Nitangulize shukrani[emoji120]
Kikubwa hapo n mkataba wa mwanasheria au wakili
Na muhusika lazima umjue anapoishi pia lazima awe na wadhamini