Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Habari wanaungwana,
Ningependa kujua zaidi kuhusu biashara ya bwawa la samaki. Ningependa kujuzwa kuhusu yafuatayo:
1. Ni samaki gani ni bora kwa biashara hii?
2. Gharama za kuanzisha bwawa ni nini?
3. Ni vifaa gani vinahitajika kwa ajili ya bwawa?
4. Je, biashara hii ina faida gani na changamoto zipi?
5. Soko la samaki linapatikana wapi?
Aise vipi mazingira gani kwa hapa Tanzania naweza kuweka hii biashara in large scale m. Wanakuja but binafsi niliwahi kuwa msimamizi wa samaki bwawani.
Ni BIASHARA nzuri hasa ukizingatia lishe ya samaki na soko liwwe la uhakika. Unaweza kuzalisha samaki wa kuingia sokoni wengi afu soko halina uhitaji. So inabidi tuendelee kuwalisha. Kwa kipindi chakula Cha siku 3 ilikuwa tsh 125 k
Nb ..
Kuna samaki kama kambare ambaye yeye Bei yake ni ndogo but uendeshaji wa bwawa lake ni nafuu.
Bwawa la samaki linataka uwe na taaluma ya ufugaji na kilimo steji kubwa.Habari wanaungwana,
Ningependa kujua zaidi kuhusu biashara ya bwawa la samaki. Ningependa kujuzwa kuhusu yafuatayo:
1. Ni samaki gani ni bora kwa biashara hii?
2. Gharama za kuanzisha bwawa ni nini?
3. Ni vifaa gani vinahitajika kwa ajili ya bwawa?
4. Je, biashara hii ina faida gani na changamoto zipi?
5. Soko la samaki linapatikana wapi?
Ila uangalizi wake vipi mkuu si inahitajika uangalizi mkubwa sana na kuwalisha kama kukuBwawa la samaki linataka uwe na taaluma ya ufugaji na kilimo steji kubwa.
Ungekuwa na bahati ungetembelea nchi za asia kama china wanavofuga.
Mfano bwawa linaweza kuwa kati likizungukwa na mabanda ya kuku au ngombe (kwa steji kubwa ziaid).mavi ya kuku utengeneza uwezo mkubwa wa wadudu kupata chakula.
Ubadilishaji wa maji kuwe na uwakika wa umwagiliziaji maana maji ya samaki ni mbolea nzuri ya bustani.
Mzunguko wa maji unatakiwa kuwa mkubwa na usambazaji wa hewa ikiwezekana.
Vifaranga vya samaki vinatakiwa kuwa eneo maalumu ambalo sio rahisi kuzulika na ndege wanaopenda kula samaki wadogo.
Biashara hii ukitaka kufanakiwa usijaribu na usiwe mgumu wa kutafuta wataalamu na wekeza kweli kwenye hayo.
Pili hakikisha yani bidhaa yako hata maskini anaweza kumudu ya mboga ikiingia sokoni iwe kama bidhaa ambayo watu wanaweza kununua kwa kila siku.
Madubuwasha ya hayo nenda alibaba unayaona kibao na utapata wataalamu hapo
Kilimo akitaki mguu nje na mguu ndani.Ila uangalizi wake vipi mkuu si inahitajika uangalizi mkubwa sana na kuwalisha kama kuku
Mkuu umewezaje ku-determine faida bila kujua gharama ya uendeshaji? Umecalculate vipi tufafanulieMini najua namba nne.
Biashara hii inachangamoto kidogo sana, kikubwa ni kuzingatia masharti ua kuhudumia bwana na samaki.
Faidi siku ni 10% ya mtaji unaouweka, kwa kipindi cha miezi mitano hadi Sita.
Aise mkuu maeneo gani kwa Tanzania hii ni suitable kwa farming kama hii nijipange hapaHii ni sample ambayo unafuga kuku na samaki .
Hapo bado zijakupa maelezo ya maji kwenye samaki faida yake kwenye umwagiliziaji
View attachment 3257636
Aise Yani kwa maana hiyo kama umeweka 1M per day ni 10MMini najua namba nne.
Biashara hii inachangamoto kidogo sana, kikubwa ni kuzingatia masharti ua kuhudumia bwana na samaki.
Faidi siku ni 10% ya mtaji unaouweka, kwa kipindi cha miezi mitano hadi Sita.
Sehemu ambayo kuwe na hakika ya kisima au vyanzo vya maji kutokatika au sitegemee chanzo kimoja.Aise mkuu maeneo gani kwa Tanzania hii ni suitable kwa farming kama hii nijipange hapa
Kwa mkoa kama morogoro kweli inawezekana kufanya hii mishe na pia nikifanya mixture kama hapo kwenye picha kuku na bwawa itapendeza zaidi ya kuwa nativeSehemu ambayo kuwe na hakika ya kisima au vyanzo vya maji kutokatika au sitegemee chanzo kimoja.
Hakikisha ufungamani na mji wala kijiji kuepuka magonjwa tambua.Kwa mkoa kama morogoro kweli inawezekana kufanya hii mishe na pia nikifanya mixture kama hapo kwenye picha kuku na bwawa itapendeza zaidi ya kuwa native
Mkuu nazan ziwa vicktoria ni sehemu sahihi,unaweza kuwa na vizimba au kuwa na bwawa pembezoni mwa ziwaAise mkuu maeneo gani kwa Tanzania hii ni suitable kwa farming kama hii nijipange hapa
Hee ikiwa karibu na miji Kuna dalili ya magonjwaHakikisha ufungamani na mji wala kijiji kuepuka magonjwa tambua.
Duh ila mkuu huko ziwa Victoria si Kuna kulipia ushuruKuna jamaa kawafuga sato lakin nashindwa kuelewa kakosa soko au anataka kupata faida kubwa,maana nakuwa namuona anakuwa anatoa kidogo kidogo anawauzia raia,wakat huku kuna wanunuz wakubwa tu wa samaki