Kuna WhatsApp group kubwa sana la Ufugaji Samaki.
Utapata majibu yote.
Muombe huyu mmojawapo wa admins +255 769 214 218 akuunge uulize maswali yote.
Utapata muongozo, vitabu, na ushauri bure.
Pia utapata wachimbaji wa mabwawa, mbegu ya samaki, vifaa, na mashine mbalimbali zinazotumika kwenye ufugaji samaki.
Angalizo: Usifanye miamla yoyote bila kufuatilia uhakika au usalama wa pesa yako.
Mimi siyo admin ni member tu.
Disclaimer: I will not be responsible for any loss or any fraud committed by any member of that group. Do your communications and business transactions at your own risk.