Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
- #41
Aise ila nadhani nitahitaji wa taalamu wa haya mambo aiseTafuta msingi utapotea kilimo na ufugaji si mwijaku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise ila nadhani nitahitaji wa taalamu wa haya mambo aiseTafuta msingi utapotea kilimo na ufugaji si mwijaku
Moro, Dom...Aise vipi mazingira gani kwa hapa Tanzania naweza kuweka hii biashara in large scale m
Ngoja niulize kama Kuna expert wanaofanya hii type of farmingMoro, Dom...
Na katika tembea tembea nishapata mbinu za kutengeneza bwawa bila kuchimba.
Nikipata nyumba yangu nitafanya
OkNgoja niulize kama Kuna expert wanaofanya hii type of farming
Naunga mkono hoja. Kile chuo kimeshalogwa zamani sanaKozi za SUA miyeyusho sana. Hao jamaa hawana faida yoyote mtaani. Hapo hawawezi kujibu swali lolote.
Mimi ni mdau (mtaalamu) wa ufugaji samaki nina uzoefu wa miaka 4, naomba kuchangia kidogo kwenye hii madaHabari wanaungwana,
Ningependa kujua zaidi kuhusu biashara ya bwawa la samaki. Ningependa kujuzwa kuhusu yafuatayo:
1. Ni samaki gani ni bora kwa biashara hii?
2. Gharama za kuanzisha bwawa ni nini?
3. Ni vifaa gani vinahitajika kwa ajili ya bwawa?
4. Je, biashara hii ina faida gani na changamoto zipi?
5. Soko la samaki linapatikana wapi?
Nashukuru kwa kunikaribisha Mkuu
Nahitaji kufanya large scale mkuu nikipata eneo la hekari kama 5-10 au zaidi si patatosha kuanzisha large scaleMimi ni mdau (mtaalamu) wa ufugaji samaki nina uzoefu wa miaka 4, naomba kuchangia kidogo kwenye hii mada
ufugaji samaki unafaida endapo utafanyika kwa usahihi
1. Samaki bora zaidi kwa ufugaji wa kibiashara ni sato kwa sababu ndio samaki wanaopendwa zaidi, bei yake ni kati ya 10,000 hadi 14,000
2. Gharama za bwawa inategemea na size ya bwawa unalotaka kuchimba au kujenga na aina la bwawa unalotaka kutumia kuna mabwawa ya aina tatu:
I. Bwawa la udogo (Earthen Pond) hili ni nafuu zaidi lakini ni muhimu ardhi yako iwe ya mfinyazi isiyoruhusu maji kupotea kwa haraka
II. Bwawa la kuhamishika (Mobile Pond) Hii ni aina ya bwawa linalotengeneza kwa kutumia pond liner (nylon sheets) au plastic
III. Bwawa la kujengea, aina hii ya bwawa ni yale yanayojegwa kwa cements na totally
Aina ya bwawa utakalo tumia ndio litadetemine gharama
4. Changamoto za ufugaji samaki:
I. Gharama kubwa ya chakula, kilo moja ya chakula cha samaki cha kununua dukani ni kati ya Tsh 3,500 hadi 6,000. Gharama hii inapunguza faida hivyo ni vizuri ujifunze kutengeneza chakula chako mwenyewe ili kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi na kujiongezea faida
II. Mbegu, baadha ya wafugaji wanafuga mbegu zisizofaa kufuga na kupelekea samaki kutokua ndani ya muda uliokusudiwa
III. Maji, vyanzo vya maji wakati mwingine sio vya uhakika havimpi mfugaji uhakika wa kupata maji kwa kipindi chote cha uzalishaji (production cycle)
IV. Usimamizi mbovu, baadha ya miradi inaendesha kienyeji bila muda sahihi wa kulisha, muda wa kubadilisha maji n.k
5. Mahitaji ya samaki ni makubwa sana ukilinganisha na mahitaji, unaweza ukauzia samaki wako hapo hapo unapofugia au ukauzia kwenye soko lolote lililojirani na ulipo
Karibu sana Mkuu, kama unataka kufanya large scale nashuri ufanye ufugaji samaki kwa njia ya vizimba (cage culture) ndani ya ziwa VictoriaNahitaji kufanya large scale mkuu nikipata eneo la hekari kama 5-10 au zaidi si patatosha kuanzisha large scale
Mkuu maji yanatakiwa kubadilishwa baada ya muda gani?Mimi ni mdau (mtaalamu) wa ufugaji samaki nina uzoefu wa miaka 4, naomba kuchangia kidogo kwenye hii mada
ufugaji samaki unafaida endapo utafanyika kwa usahihi
1. Samaki bora zaidi kwa ufugaji wa kibiashara ni sato kwa sababu ndio samaki wanaopendwa zaidi, bei yake ni kati ya 10,000 hadi 14,000
2. Gharama za bwawa inategemea na size ya bwawa unalotaka kuchimba au kujenga na aina la bwawa unalotaka kutumia kuna mabwawa ya aina tatu:
I. Bwawa la udogo (Earthen Pond) hili ni nafuu zaidi lakini ni muhimu ardhi yako iwe ya mfinyazi isiyoruhusu maji kupotea kwa haraka
II. Bwawa la kuhamishika (Mobile Pond) Hii ni aina ya bwawa linalotengeneza kwa kutumia pond liner (nylon sheets) au plastic
III. Bwawa la kujengea, aina hii ya bwawa ni yale yanayojegwa kwa cements na totally
Aina ya bwawa utakalo tumia ndio litadetemine gharama
4. Changamoto za ufugaji samaki:
I. Gharama kubwa ya chakula, kilo moja ya chakula cha samaki cha kununua dukani ni kati ya Tsh 3,500 hadi 6,000. Gharama hii inapunguza faida hivyo ni vizuri ujifunze kutengeneza chakula chako mwenyewe ili kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi na kujiongezea faida
II. Mbegu, baadha ya wafugaji wanafuga mbegu zisizofaa kufuga na kupelekea samaki kutokua ndani ya muda uliokusudiwa
III. Maji, vyanzo vya maji wakati mwingine sio vya uhakika havimpi mfugaji uhakika wa kupata maji kwa kipindi chote cha uzalishaji (production cycle)
IV. Usimamizi mbovu, baadha ya miradi inaendesha kienyeji bila muda sahihi wa kulisha, muda wa kubadilisha maji n.k
5. Mahitaji ya samaki ni makubwa sana ukilinganisha na mahitaji, unaweza ukauzia samaki wako hapo hapo unapofugia au ukauzia kwenye soko lolote lililojirani na ulipo
Muda wa kubadilisha maji inategemea na idadi ya samaki ulioweka na kiwango cha maji kilichopo (stocking density)Mkuu maji yanatakiwa kubadilishwa baada ya muda gani?
Kwa begginer unamshauri aanze na bwawa la lita ngapi na ambalo lenye uwezo wa kuchukua samaki kiasi gani?
Njia za utengenezaji wa chakula cha samaki mwenyewe ni zipi?
Karibu sana Mkuu, kama unataka kufanya large scale nashuri ufanye ufugaji samaki kwa njia ya vizimba (cage culture) ndani ya ziwa Victoria
Otherwise utafute eneo lenye chanzo cha maji uhakika ili isijetokea shortage katikati ya project
Kwa upande wa mbegu, hakikisha unanunua mbegu toka kwa mzalishaji anaetambulika na mbegu zuri ambayo imeonekana kuprove kwa samaki aina ya Tilapia ni Nile Tilapia
Kwenye chakula ni vizuri kama utanunua machine ya kutengeneza chakula ili uwe unazalisha chakula chako mwenyewe
Management, tafute mtu mwenye ujuzi na uzoefu wa kutosha ili kupunguza makosa
Hii issue ya cage inalipa sana niliwahi kusikia cage moja inatoa almost 15M per yearKaribu sana Mkuu, kama unataka kufanya large scale nashuri ufanye ufugaji samaki kwa njia ya vizimba (cage culture) ndani ya ziwa Victoria
Otherwise utafute eneo lenye chanzo cha maji uhakika ili isijetokea shortage katikati ya project
Kwa upande wa mbegu, hakikisha unanunua mbegu toka kwa mzalishaji anaetambulika na mbegu zuri ambayo imeonekana kuprove kwa samaki aina ya Tilapia ni Nile Tilapia
Kwenye chakula ni vizuri kama utanunua machine ya kutengeneza chakula ili uwe unazalisha chakula chako mwenyewe
Management, tafute mtu mwenye ujuzi na uzoefu wa kutosha ili kupunguza makosa
Ahsante mkuuMuda wa kubadilisha maji inategemea na idadi ya samaki ulioweka na kiwango cha maji kilichopo (stocking density)
Kwa makadilio ya kawaida unatakiwa ubadili maji kila baada ya mwezi mmoja,
Mfano mfugaji anayeweka idadi ya samaki 8 - 10 kwa lita 1,000 (1m³) na mfugaji aliyeweka samaki 20 kwenye kila lita 1,000 (1m³) wanatofautiana muda wa kubadilisha maji aliyeweka samaki wengi atabadilisha maji mapema/mara nyingi zaidi kuliko aliyepandikiza samaki wachache kwa sababu maji yake yatawai kuchafuka
Kwa bigginer ili uone matokeo mazuri atleast anza kwa kufuga samaki 500, utahitaji bwawa lenye lenye mita za mraba 50 (50m²), ujazo wa maji lita 50,000 (50m³)
Chakula cha samaki, ingredients za samaki ni kama tu zinazotumika kutengeneza chakula cha kuku, mfano pumba za mahindi, pumba za mchele, dagaa/uduvi (fish meal), mashudu ya alizeti/pamba
Utofauti wa chakula cha samaki na cha kuku ni kuwa chakula cha samaki kinapaswa kuelea juu ya maji
Ili kielee unaweza kusaga na kulisha chakula in powder form au kama unauwezo unauwezo unaweza nunua machine maalumu za kutengeza chakula cha samaki extruder pellet machine, ambayo inatoa chakula kikiwa in pellet form
Mkuu hivi cage moja inaweza kugharimu kiasi gani Cha pesa?Muda wa kubadilisha maji inategemea na idadi ya samaki ulioweka na kiwango cha maji kilichopo (stocking density)
Kwa makadilio ya kawaida unatakiwa ubadili maji kila baada ya mwezi mmoja,
Mfano mfugaji anayeweka idadi ya samaki 8 - 10 kwa lita 1,000 (1m³) na mfugaji aliyeweka samaki 20 kwenye kila lita 1,000 (1m³) wanatofautiana muda wa kubadilisha maji aliyeweka samaki wengi atabadilisha maji mapema/mara nyingi zaidi kuliko aliyepandikiza samaki wachache kwa sababu maji yake yatawai kuchafuka
Kwa bigginer ili uone matokeo mazuri atleast anza kwa kufuga samaki 500, utahitaji bwawa lenye lenye mita za mraba 50 (50m²), ujazo wa maji lita 50,000 (50m³)
Chakula cha samaki, ingredients za samaki ni kama tu zinazotumika kutengeneza chakula cha kuku, mfano pumba za mahindi, pumba za mchele, dagaa/uduvi (fish meal), mashudu ya alizeti/pamba
Utofauti wa chakula cha samaki na cha kuku ni kuwa chakula cha samaki kinapaswa kuelea juu ya maji
Ili kielee unaweza kusaga na kulisha chakula in powder form au kama unauwezo unauwezo unaweza nunua machine maalumu za kutengeza chakula cha samaki extruder pellet machine, ambayo inatoa chakula kikiwa in pellet form
Inategemea na ukubwa, mfano cage moja yenye ukubwa wa 6m urefu, 6m upana na 4m kina inagharimu milioni 3 hadi 4Mkuu hivi cage moja inaweza kugharimu kiasi gani Cha pesa?
Ndio mkuu inalipa maana kwenye eneo dogo unaweka samaki wengi kuliko kwenye bwawa, mfano cage moja inaweza chukua kati ya samaki 12,000 hadi 15,000Hii i
Hii issue ya cage inalipa sana niliwahi kusikia cage moja inatoa almost 15M per year
Kwa hiyo hapa kinyesi cha kuku hugeuka chakula cha samaki?Hii ni sample ambayo unafuga kuku na samaki .
Hapo bado zijakupa maelezo ya maji kwenye samaki faida yake kwenye umwagiliziaji
View attachment 3257636