Biashara ya Bwawa la Samaki: Nisaidieni kwa Ushauri

Hee ikiwa karibu na miji Kuna dalili ya magonjwa
Mifugo kama kuku ni rahisi kupata magonjwa sababu ya muingiliano kama niliotaja sababu ya urahisi wa magonjwa kuwa mkubwa kati ya muingiliano mfano panya,watu,hewa na maji.
 
Dah aise ni kweli mkuu hata ukienda kwenye mabanda ya kuku lazima uoge kwanza ndio uingie ila Mimi kwa upande wangu naomba nisaidie kureseach eneo ambalo ntaweza kuajiri watu na kuweka large scale ya production ya samaki hata huko bush
 
Gosho kwa kiswahili yani unatakiwa kuingia na mavazi ambayo yenye dawa ili kuepuka hayo
 
Kama umeweka 1M per day ni 10M.

Unamaanisha nini hapa.

Walioelewa lambda wamechagua majibu yao wenyewe, na usikute sio unachokimaanisha wewe.
Namaanisha jamaa hapo juu alisema ukiweka chakula kwa kiasi fulani per day basi return yako ni 10% sasa 10% ya 1M ni 10M, ndio nikasema ukiweka 1M per day return yako inakuwa 10M
 
Kama umeweka 1M per day ni 10M.

Unamaanisha nini hapa.

Walioelewa lambda wamechagua majibu yao wenyewe, na usikute sio unachokimaanisha wewe.
Au ulimaanisha 10% ya 1M ambayo ni 100K au 10% ×1M!!
 
Back
Top Bottom