Biashara ya Bwawa la Samaki: Nisaidieni kwa Ushauri

Biashara ya Bwawa la Samaki: Nisaidieni kwa Ushauri

Toa mwanga kidogo kwa wadau namna ya kutengeneza bwawa bila kuchimba unafanyaje?
Kikubwa uwe na eneo . Kuna njia mbili
1. Kuchimba shimo au
2.kutumia tofali kujenga.
Tukianza na hiyo njia kwanza chimba shimo urefu wa mikono yako miwili au robotatu ya mikono yako miwili kwenda chini au chini ya hapo then weka turubai then kandamiza Kwa kitu kizito.
 
Attachments

  • PXL_20250305_083313797.jpg
    PXL_20250305_083313797.jpg
    862.7 KB · Views: 1
Ahsante mkuu nimeliona, labda waweza ntajia ukubwa(ujazo) wa hiyo pond, upatikanaji wake na gharama yake.
Upatikanaji wa vifaranga pamoja na chakula chake.

Hapa nyumbani kuna simtank linazagaa, nimeuliza kama kitaalamu linafaa kudumbukiza hata wawili watatu kwa kujifunzia.
Ahsante.
Pond liner zinauzwa kwa square mita na zinakuwa na ubora tofauti tofauti

Mchanganuo wa bei kwa square mita moja
0.5mm = 5,000,
0.75 mm - 7,000
1mm - 9,000

Vifaranga tunavyo bei ni Tsh 300 kwa kifaranga kimoja

Vyakula vipo, kwa mikoa ya Dar es salaam na Mwanza supplier ni wengi bei ya wastani ni Tsh 3,500/kg

Kama Simtank unayo unaweza kuanza na hiyo ukapata experience, baadae ukafanya kwa ukubwa kama biashara
 
Ahsante mtaalamu.

Mkadirio wa ukubwa wa tank 2000ltrs nianze na wangapi?

Namna ya kupata vifaranga na starter, nyiempo location gani, unaweza kuwatuma?

Fafanua vizuri kwa tulioko mikoani gharama za usafiri zinakuwa inclusive kwenye bei ya kifaranga au gharama za usafiri zinajitegemea na kusafirisha box(container) bei gani?

Na je nikitaka kuanza na madume tupu, vifaranga mnakuwa mshavichambua kabisa huko huko kutokana na mahitaji ya mteja?

Naomba nipate dondoo hizo muhimu ili nizifanyie kazi.
Ahsante.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Muhimu Sana.
Watu wasije ingia kwa group wakatapeliwa nikahusishwa mimi. Kwamba nilisambaza namba nikijua kuna walaghai (tapeli).
Kundi zuri lakini kwenye mazuri kuna mabaya hapo hapo.
Kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo.
Hapa umeiweka vyema mkuu, na ndo inavyo takiwa (huu uandishi watalaamu wa lugha watasahihisha).

Mimi magroup ya kilimo hua nayakubali kwenye sekta nzima ya kupata taarifa mbalimbali za kilimo.
 
Ni sahihi lakini pia kuna njia rahisi, kuna maeneo yametengwa na serikali ambayo yanakodishwa kwa gharama nafuu sana kupitia halmashauri
Aah! kumbe inawezekana?
Sikujua hili mtaalamu wangu, am at infancy of my knowledge application and information acquisition.
Much appreciation mkuu🤝
 
Mimi niko Mwanza, niliingiza pesa ndefu kwenye ufugaji wa vizimba huko eneo moja linaitwa Luchelele, lakini niliangukia pua kwa sababu sikuwa na elimu ya kutosha katika hili......milioni 13 ikazama ziwani bila kuibuka.

Ila mimi sio muumini wa kuanguka mara moja na kulala pale pale, natarajia siku moja nitainuka tena katika mradi huohuo.
 
Aah! kumbe inawezekana?
Sikujua hili mtaalamu wangu, am at infancy of my knowledge application and information acquisition.
Much appreciation mkuu🤝
Options ni nyingi mkuu kuna wengine wanainvest kama out grower, unaingia makubaliano na mtu mwenye kibali then unaweka cages zako kwenye eneo lake

Charges uwa ni kuanzia 250k/cage kwa mwaka

Baadae biashara ikishakua unawenza kuanza process za kupata eneo/kibali chako mwenyewe
 
Mimi niko Mwanza, niliingiza pesa ndefu kwenye ufugaji wa vizimba huko eneo moja linaitwa Luchelele, lakini niliangukia pua kwa sababu sikuwa na elimu ya kutosha katika hili......milioni 13 ikazama ziwani bila kuibuka.

Ila mimi sio muumini wa kuanguka mara moja na kulala pale pale, natarajia siku moja nitainuka tena katika mradi huohuo.
Pole sana mkuu kwa hiyo changamoto, elimu ni muhimu sana ni vizuri kwa mtu yoyote anayetaka kuwekeza amtafute msimamizi mwenye elimu na uzoefu wa kutosha ili kupunguza risk
 
Mimi niko Mwanza, niliingiza pesa ndefu kwenye ufugaji wa vizimba huko eneo moja linaitwa Luchelele, lakini niliangukia pua kwa sababu sikuwa na elimu ya kutosha katika hili......milioni 13 ikazama ziwani bila kuibuka.

Ila mimi sio muumini wa kuanguka mara moja na kulala pale pale, natarajia siku moja nitainuka tena katika mradi huohuo.
Aise vp kuhusu Kodi ya kizimba kimoja pia kwa muda miezi 3 hadi 6 ulipata faida kiasi gani ya kizimba kimoja?
 
Kikubwa uwe na eneo . Kuna njia mbili
1. Kuchimba shimo au
2.kutumia tofali kujenga.
Tukianza na hiyo njia kwanza chimba shimo urefu wa mikono yako miwili au robotatu ya mikono yako miwili kwenda chini au chini ya hapo then weka turubai then kandamiza Kwa kitu kizito.
Mkuu na hiyo njia ya kujenga kwa kutumia tofari, naomba nayo ifafanue ili niielewe vizuri.
 
Mkuu na hiyo njia ya kujenga kwa kutumia tofari, naomba nayo ifafanue ili niielewe vizuri.
Panga tofali kama vile unajenga nyumba ya umbo mstatili bila vyumba. Then valisha turubai .
Nb.
Hii ni njia ya kienyeji ni vyema ukazingatia idadi ya samaki na vipimo vihitajikavyo
 
Attachments

  • PXL_20250305_152807221.jpg
    PXL_20250305_152807221.jpg
    1.9 MB · Views: 1
Options ni nyingi mkuu kuna wengine wanainvest kama out grower, unaingia makubaliano na mtu mwenye kibali then unaweka cages zako kwenye eneo lake

Charges uwa ni kuanzia 250k/cage kwa mwaka

Baadae biashara ikishakua unawenza kuanza process za kupata eneo/kibali chako mwenyewe
Asante sana kwa elimu chief
 
Sasa hapo yale madawa yatayokuwa yanatumika kwenye kuku hayaleti madhara kwenye samaki?
kuku unayefuga kuku kisasa kwa njia zakienyeji.Kuna kuku mnauziwa dar mkijua kienyeji kumbe wakizungu na hii mbinu bado nakupa tena
 
Back
Top Bottom