Biashara ya Bwawa la Samaki: Nisaidieni kwa Ushauri

Kuna jamaa kawafuga sato lakin nashindwa kuelewa kakosa soko au anataka kupata faida kubwa,maana nakuwa namuona anakuwa anatoa kidogo kidogo anawauzia raia,wakat huku kuna wanunuz wakubwa tu wa samaki
Wapi huko mkuu?
 
Namaanisha jamaa hapo juu alisema ukiweka chakula kwa kiasi fulani per day basi return yako ni 10% sasa 10% ya 1M ni 10M, ndio nikasema ukiweka 1M per day return yako inakuwa 10M
Dah 10% ya 1M ni 1M?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134]
 
Kwa hiyo hapa kinyesi cha kuku hugeuka chakula cha samaki?
Hapana samaki ali kinyesi cha kuku, kinyesi cha kuku kinatumika kurutubisha bwawa/maji

Then, kinyesi cha kuku kinapo decompose kina zalisha nutrients ambazo zinaongeza uzalishaji wa mimea midogo midogo na wadudu wadogo wadogo kitaalamu tunaita phytoplanktons & zooplanktons

Hizi zooplanktons na phytoplanktons ndio uliwa na samaki kama chakula
 
Moro, Dom...
Na katika tembea tembea nishapata mbinu za kutengeneza bwawa bila kuchimba.
Nikipata nyumba yangu nitafanya
Unataka ufuge kwenye Moja ya chumba Cha nyumba yako au? Kwann usubir kufuga pindi ukiwa na nyumba yako?
 
Tatizo la biashara ya ufugaji kambare soko lake la ndani dogo hasa wabichi.
Tilapia(Sato) siku zote wana soko zuri ukiwatunza vizuri.
 
Kuna WhatsApp group kubwa sana la Ufugaji Samaki.
Utapata majibu yote.
Muombe huyu mmojawapo wa admins +255 769 214 218 akuunge uulize maswali yote.
Utapata muongozo, vitabu, na ushauri bure.
Pia utapata wachimbaji wa mabwawa, mbegu ya samaki, vifaa, na mashine mbalimbali zinazotumika kwenye ufugaji samaki.

Angalizo: Usifanye miamala yoyote bila kufuatilia uhakika au usalama wa pesa yako.
Mimi siyo admin ni member tu.

Disclaimer: I will not be responsible for any loss or any fraud committed by any member of that group. Do your communications and business transactions at your own risk.
 
Reactions: Lax


Shukrani mkuu
 
Inategemea na ukubwa, mfano cage moja yenye ukubwa wa 6m urefu, 6m upana na 4m kina inagharimu milioni 3 hadi 4
Aise mkuu itabidi nifanye research nitafute wadau wa haya mambo ziwa Victoria kule lakini pia kuhusu issue ya ulinzi vipi?
 
Basi ufugaji wa kwenye cage ni mzuri faida yake ipo kuliko kwenye bwawa hapa itabidi ni invest kwenye hii issue aise.

Pia nadhani risk ya samaki kufa kwenye cage ni ndogo
 
Hua nakubaligi sana mambo ya disclaimer. Safi sana
 
Lakini gharama ya uendeshaji ni kubwa pia mkuu, hapo kuna kuandaa na Business plans ili upewe kibali cha kuanzisha hiyo project yako, na si chini ya 10M kuandaa hiyo
Basi ufugaji wa kwenye cage ni mzuri faida yake ipo kuliko kwenye bwawa hapa itabidi ni invest kwenye hii issue aise.

Pia nadhani risk ya samaki kufa kwenye cage ni ndogo
 
Safi mtaalam, jukwaa la kilimo na ufugaji lilikua limepoa poa sana
 
Hua nakubaligi sana mambo ya disclaimer. Safi sana
Muhimu Sana.
Watu wasije ingia kwa group wakatapeliwa nikahusishwa mimi. Kwamba nilisambaza namba nikijua kuna walaghai (tapeli).
Kundi zuri lakini kwenye mazuri kuna mabaya hapo hapo.
Kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo.
 
Reactions: Lax
Moro, Dom...
Na katika tembea tembea nishapata mbinu za kutengeneza bwawa bila kuchimba.
Nikipata nyumba yangu nitafanya
Toa mwanga kidogo kwa wadau namna ya kutengeneza bwawa bila kuchimba unafanyaje?
 
Toa mwanga kidogo kwa wadau namna ya kutengeneza bwawa bila kuchimba unafanyaje?
Yapo mabwawa ya kuamishika yanatengenezwa kwa kutumia nylon sheets (Pond liner), kama hili hapa
 

Attachments

  • a07612ef4afe49dfa12f504d0733a69d.mp4
    2.1 MB
Lakini gharama ya uendeshaji ni kubwa pia mkuu, hapo kuna kuandaa na Business plans ili upewe kibali cha kuanzisha hiyo project yako, na si chini ya 10M kuandaa hiyo
Ni sahihi lakini pia kuna njia rahisi, kuna maeneo yametengwa na serikali ambayo yanakodishwa kwa gharama nafuu sana kupitia halmashauri
 
Reactions: Lax
Yapo mabwawa ya kuamishika yanatengenezwa kwa kutumia nylon sheets (Pond liner), kama hili hapa
Ahsante mkuu nimeliona, labda waweza ntajia ukubwa(ujazo) wa hiyo pond, upatikanaji wake na gharama yake.

Upatikanaji wa vifaranga pamoja na chakula chake.

Hapa nyumbani kuna simtank linazagaa, nimeuliza kama kitaalamu linafaa kudumbukiza hata wawili watatu kwa kujifunzia.
Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…