Kikubwa uwe na eneo . Kuna njia mbiliToa mwanga kidogo kwa wadau namna ya kutengeneza bwawa bila kuchimba unafanyaje?
Pond liner zinauzwa kwa square mita na zinakuwa na ubora tofauti tofautiAhsante mkuu nimeliona, labda waweza ntajia ukubwa(ujazo) wa hiyo pond, upatikanaji wake na gharama yake.
Upatikanaji wa vifaranga pamoja na chakula chake.
Hapa nyumbani kuna simtank linazagaa, nimeuliza kama kitaalamu linafaa kudumbukiza hata wawili watatu kwa kujifunzia.
Ahsante.
Ahsante mtaalamu.Pond liner zinauzwa kwa square mita na zinakuwa na ubora tofauti tofauti
Mchanganuo wa bei kwa square mita moja
0.5mm = 5,000,
0.75 mm - 7,000
1mm - 9,000
Vifaranga tunavyo bei ni Tsh 300 kwa kifaranga kimoja
Vyakula vipo, kwa mikoa ya Dar es salaam na Mwanza supplier ni wengi bei ya wastani ni Tsh 3,500/kg
Kama Simtank unayo unaweza kuanza na hiyo ukapata experience, baadae ukafanya kwa ukubwa kama biashara
Hapa umeiweka vyema mkuu, na ndo inavyo takiwa (huu uandishi watalaamu wa lugha watasahihisha).Muhimu Sana.
Watu wasije ingia kwa group wakatapeliwa nikahusishwa mimi. Kwamba nilisambaza namba nikijua kuna walaghai (tapeli).
Kundi zuri lakini kwenye mazuri kuna mabaya hapo hapo.
Kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo.
Naam hizi ndo taarifa za kupeana,Ni sahihi lakini pia kuna njia rahisi, kuna maeneo yametengwa na serikali ambayo yanakodishwa kwa gharama nafuu sana kupitia halmashauri
Aah! kumbe inawezekana?Ni sahihi lakini pia kuna njia rahisi, kuna maeneo yametengwa na serikali ambayo yanakodishwa kwa gharama nafuu sana kupitia halmashauri
Options ni nyingi mkuu kuna wengine wanainvest kama out grower, unaingia makubaliano na mtu mwenye kibali then unaweka cages zako kwenye eneo lakeAah! kumbe inawezekana?
Sikujua hili mtaalamu wangu, am at infancy of my knowledge application and information acquisition.
Much appreciation mkuu🤝
Pole sana mkuu kwa hiyo changamoto, elimu ni muhimu sana ni vizuri kwa mtu yoyote anayetaka kuwekeza amtafute msimamizi mwenye elimu na uzoefu wa kutosha ili kupunguza riskMimi niko Mwanza, niliingiza pesa ndefu kwenye ufugaji wa vizimba huko eneo moja linaitwa Luchelele, lakini niliangukia pua kwa sababu sikuwa na elimu ya kutosha katika hili......milioni 13 ikazama ziwani bila kuibuka.
Ila mimi sio muumini wa kuanguka mara moja na kulala pale pale, natarajia siku moja nitainuka tena katika mradi huohuo.
Aise vp kuhusu Kodi ya kizimba kimoja pia kwa muda miezi 3 hadi 6 ulipata faida kiasi gani ya kizimba kimoja?Mimi niko Mwanza, niliingiza pesa ndefu kwenye ufugaji wa vizimba huko eneo moja linaitwa Luchelele, lakini niliangukia pua kwa sababu sikuwa na elimu ya kutosha katika hili......milioni 13 ikazama ziwani bila kuibuka.
Ila mimi sio muumini wa kuanguka mara moja na kulala pale pale, natarajia siku moja nitainuka tena katika mradi huohuo.
Mkuu na hiyo njia ya kujenga kwa kutumia tofari, naomba nayo ifafanue ili niielewe vizuri.Kikubwa uwe na eneo . Kuna njia mbili
1. Kuchimba shimo au
2.kutumia tofali kujenga.
Tukianza na hiyo njia kwanza chimba shimo urefu wa mikono yako miwili au robotatu ya mikono yako miwili kwenda chini au chini ya hapo then weka turubai then kandamiza Kwa kitu kizito.
Panga tofali kama vile unajenga nyumba ya umbo mstatili bila vyumba. Then valisha turubai .Mkuu na hiyo njia ya kujenga kwa kutumia tofari, naomba nayo ifafanue ili niielewe vizuri.
Asante sana kwa elimu chiefOptions ni nyingi mkuu kuna wengine wanainvest kama out grower, unaingia makubaliano na mtu mwenye kibali then unaweka cages zako kwenye eneo lake
Charges uwa ni kuanzia 250k/cage kwa mwaka
Baadae biashara ikishakua unawenza kuanza process za kupata eneo/kibali chako mwenyewe
Sasa hapo yale madawa yatayokuwa yanatumika kwenye kuku hayaleti madhara kwenye samaki?Hii ni sample ambayo unafuga kuku na samaki .
Hapo bado zijakupa maelezo ya maji kwenye samaki faida yake kwenye umwagiliziaji
View attachment 3257636
kuku unayefuga kuku kisasa kwa njia zakienyeji.Kuna kuku mnauziwa dar mkijua kienyeji kumbe wakizungu na hii mbinu bado nakupa tenaSasa hapo yale madawa yatayokuwa yanatumika kwenye kuku hayaleti madhara kwenye samaki?
Wanaenda kutiana tu kwenye mahotel ya kifahali nothing elseHuwa najiuliza watu wakienda ulaya na viongozi wao wanaenda kushangaa magorofa.
Au babalevo dotto magari kupiga debe tu ndio kazi zao mwenge kariakooo mwenge buguruni kariakooTafuta msingi utapotea kilimo na ufugaji si mwijaku