Kama kawaida ya jukwaa letu kushauriana na kuelimishana, hatimaye nimefanikiwa kuanzisha biashara ya chips ila tatizo nakuwa busy mpaka saa 12 jioni, je nifanyeje ili niweze kuweka strong internal control ili kuthibiti kuibiwa? Asanteni!
Mods mnisaidie kuunganisha na topic as updates! Asanteni sana ndugu zangu kwa mawazo, ushauri mpana mlionipa ktk kufanikisha biashara yangu, i real value your advice and comments na kwa kiasi kukubwa mmenibadilisha kutoka hatua 1 hadi nyingine! Mungu awabariki na ainue zaidi biashara zenu!
Na kama.ni mfanyakazi achukue likizo hata ya wiki.
Asimamie mauzo na kusoma biashara. Inakwendahe. Nini kinatoka sana nini aboreshe nk
Then mpe anweza mpa limit au amweleze bila kiasi kadhaa hatomwelewa
Kama kawaida ya jukwaa letu kushauriana na kuelimishana, hatimaye nimefanikiwa kuanzisha biashara ya chips ila tatizo nakuwa busy mpaka saa 12 jioni, je nifanyeje ili niweze kuweka strong internal control ili kuthibiti kuibiwa? Asanteni!
BIASHARA YA CHIPS IPO HIVI
Biashara hii inafanywa kwa makubaliana ya kumpangishia kijana mahala pakufanyia kazi,mahitajio yote muhimu km viazi,kalai,sahani,jiko,mafuta na pesa,tomato na vingine ikiwezekana na pesa kidogo ya dharura..sasa kinachotakiwa kwenye mkataba wenu ni kwamba yeye aendeshe hiyo biashara anavyojua yeye ameuza hajauza lazima akupe kiasi fulani ambacho ww utakiona kitafaa kukulipa kwa mtaji uliouanzisha,malipo mtalipana kwa jinsi eneoo la biashara litakavyokuwa aidha kwa siku au kwa wiki is it up to nyinyi..HAKUNA HAJA YA KUMFATILIA WEWE FANYA SHUGHULI ZAKO,ikifika muda wa kukupa fedha yako fasta usichelewe nenda kaichukue...km itakuwa anakupa pungufu ya ile mliokubaliana mvumilie kwa kipindi fulani tu nasi mda mwingi,lingine hakikisha unapata muda wa kuhakiki mtaji km unaendelea vizuri.
MJADALA UMEFUNGWA LETE MADA INGINE.:bump:
Usiiogope kuendeshewa biashara kijana cha msingi ni jinsi ya kumanage hiyo biashara, km ndio hivyo watu wasingeajiliwa mabosi wenyewe ndio wangekuwa front....FEAR OF FAILURE ASSURES FAILUREWatu wa mabasi siwanatumia hii njia na still wanalizwa? Hawezi kosa sababu kamwe, Suluhisho pekee ni Mtu mwenyewe kujupima, iether aingie full au iwe kama hivyo,
Usiiogope kuendeshewa biashara kijana cha msingi ni jinsi ya kumanage hiyo biashara, km ndio hivyo watu wasingeajiliwa mabosi wenyewe ndio wangekuwa front....FEAR OF FAILURE ASSURES FAILURE
Nimekuelewa Bro zipo biashara za ww kuanza toka mwanzo coz investment yake kwanza nikubwa,sasa kwa biashara ya chips itakufanya kweli uache kazi uliyoajiliwa ili uifatilie?..zipo biashara za kuacha kazi na kuingia mzima mzima coz investment yake ni kilio lakini sio chips au daladala,,huo ni mtazamo tuSi dhani kama utanielewa, Biashara ndogo ni sawa na mtoto mdogo, wakati ambapo biashara inahitaji care ya hali ya juu kabisa ni wakati ikiwa ndogo, inahitaji initiator awepo full time, na ndo maana ukisoma story za wote walio fanikiwa walianza wao kama wao, mwanzo ni mugumu sana, Biashara inapo kuwa kubwa hapo ndo sasa unaweza kuwa na watu wengi wa kukusaidia, Sisemi mwanzo usiwe na watu kinacho takiwa ni wewe uwepo full time, Unless kama biashara hiyo huna malengo nayo.
Biashara nyingi sana hufa kwa sababu ya kuendeshwa kwa simu, uko ofisi unauliza leo wamekuja wateja wangapi? e kuku wamepewa dawa? hapo ndo unamkumbusha awapatie dawa, Ni vigumu sana kufanikiwa kwa staili hii, that is why ni kaseama kama kweli umeamua kuingia kwenye biashara na unatageti mbali ni lazima uchague moja, najua ni ngumu sana ila ukweli ndo huo
Nimekuelewa Bro zipo biashara za ww kuanza toka mwanzo coz investment yake kwanza nikubwa,sasa kwa biashara ya chips itakufanya kweli uache kazi uliyoajiliwa ili uifatilie?..zipo biashara za kuacha kazi na kuingia mzima mzima coz investment yake ni kilio lakini sio chips au daladala,,huo ni mtazamo tu