Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Kama kawaida ya jukwaa letu kushauriana na kuelimishana, hatimaye nimefanikiwa kuanzisha biashara ya chips ila tatizo nakuwa busy mpaka saa 12 jioni, je nifanyeje ili niweze kuweka strong internal control ili kuthibiti kuibiwa? Asanteni!

Nani anakula chips?
 
Wakati mwingine pia uwe unamtokea kwa muda ambao hakukutegemea;
sometimes wananunua viazi vyao;
ukienda unakuta gunia lako limejaa vile vile anasema biashara hakuna
kumbe mwenzio kutwa nzima anauza vyake.
 
Mods mnisaidie kuunganisha na topic as updates! Asanteni sana ndugu zangu kwa mawazo, ushauri mpana mlionipa ktk kufanikisha biashara yangu, i real value your advice and comments na kwa kiasi kukubwa mmenibadilisha kutoka hatua 1 hadi nyingine! Mungu awabariki na ainue zaidi biashara zenu!
 
Kwa muuza chips mzoefu kukuibia lazima. Chamsingi zingatia kama unapata faida tu. Vilevile mjenge kisaokolojia akufanyie kazi bila vikwazo. Nikiwa namaana kwamba usimtishe sana wala usimlegezee sana. Wazo la kuweka kiwango cha mauzo kwa siku ni zuri pia japokuwa siku hazifanani kwenye biashara yoyote so unatakiwa kuwa flexible pia. Siku ukipata hasara kuwa makini isiguse mtaji wako. Zingatia hesabu za kwenye biashara yako hata kwa vitu vilivyolala mfano kuku, mayai ama viepe. Usisahau kumpa compliments mfanyakazi wako siku mojamoja hasa yule wa kitengo cha pesa ama msimamizi mkuu wa biashara yako usipokuwepo.
 
Mods mnisaidie kuunganisha na topic as updates! Asanteni sana ndugu zangu kwa mawazo, ushauri mpana mlionipa ktk kufanikisha biashara yangu, i real value your advice and comments na kwa kiasi kukubwa mmenibadilisha kutoka hatua 1 hadi nyingine! Mungu awabariki na ainue zaidi biashara zenu!

Biashara ya Chipsi ina kanuni zake mfano ijumaa,jumamosi,jumapili na jumatatu ni siku za biashara ila jumanne na jumatano ni mbaya na alhamisi ni siku ya majanga upende usipende kwahiyo kuna siku inakubidi uwe tayari Ku break even na sio kupata faida
 
Na kama.ni mfanyakazi achukue likizo hata ya wiki.

Asimamie mauzo na kusoma biashara. Inakwendahe. Nini kinatoka sana nini aboreshe nk

Then mpe anweza mpa limit au amweleze bila kiasi kadhaa hatomwelewa

Ushauri mzuri

Pia atapata kujua Average earnings pale maana kwa wiki kuna wkend na siku za kawaida mauzo tofauti.
 
tafuta kijana muoga kutoka bush kisha mlipe kwa mwezi usitafute watoto wa mjini na hakikisha asiwe na majukumu yaani awe kijana wa single tu
 
BIASHARA YA CHIPS IPO HIVI
Biashara hii inafanywa kwa makubaliana ya kumpangishia kijana mahala pakufanyia kazi,mahitajio yote muhimu km viazi,kalai,sahani,jiko,mafuta na pesa,tomato na vingine ikiwezekana na pesa kidogo ya dharura..sasa kinachotakiwa kwenye mkataba wenu ni kwamba yeye aendeshe hiyo biashara anavyojua yeye ameuza hajauza lazima akupe kiasi fulani ambacho ww utakiona kitafaa kukulipa kwa mtaji uliouanzisha,malipo mtalipana kwa jinsi eneoo la biashara litakavyokuwa aidha kwa siku au kwa wiki is it up to nyinyi..HAKUNA HAJA YA KUMFATILIA WEWE FANYA SHUGHULI ZAKO,ikifika muda wa kukupa fedha yako fasta usichelewe nenda kaichukue...km itakuwa anakupa pungufu ya ile mliokubaliana mvumilie kwa kipindi fulani tu nasi mda mwingi,lingine hakikisha unapata muda wa kuhakiki mtaji km unaendelea vizuri.

MJADALA UMEFUNGWA LETE MADA INGINE.:bump:
 
wewe AQUATIC umemshauri vizuri huyo jamaa maana kuna mabepari uchwara humu tanganyika wao hutaka kumbana tu manamba wake ili amtajirishe bila kujua hata huyo manamba nae anahitaji atajirikie hapo na ndio maana anafanya kazi hiyo
 
Kuna dogo alikuwa ananipigia kazi maeneo ya Tabata alikuwa muaminifu sana,sema tu biashara eneo lile ilikuwa ngumu that's why nikaachana nayo.Kama utamhitaji mfanyakaz muaminifu uni pm coz dogo mpaka leo anahita kazi.
Kama kawaida ya jukwaa letu kushauriana na kuelimishana, hatimaye nimefanikiwa kuanzisha biashara ya chips ila tatizo nakuwa busy mpaka saa 12 jioni, je nifanyeje ili niweze kuweka strong internal control ili kuthibiti kuibiwa? Asanteni!
 
HIzo shauri zote zilizo tolewa ni kwa short run, Ila Kama unataka ku kukua ni lazima uchague mawili, Kuacha kazi na kuingia full katika biashara au kuendela na kaza na kujikuta mshahra ndo unatumika kulipia hadi pango, Wewe ndo unauchungu na biashara yako, wewe ndo mwenye wazo wewe ndo unajua unataka biashara yako ifike wapi so ni lazima uwe full katika biashara yako.
 
BIASHARA YA CHIPS IPO HIVI
Biashara hii inafanywa kwa makubaliana ya kumpangishia kijana mahala pakufanyia kazi,mahitajio yote muhimu km viazi,kalai,sahani,jiko,mafuta na pesa,tomato na vingine ikiwezekana na pesa kidogo ya dharura..sasa kinachotakiwa kwenye mkataba wenu ni kwamba yeye aendeshe hiyo biashara anavyojua yeye ameuza hajauza lazima akupe kiasi fulani ambacho ww utakiona kitafaa kukulipa kwa mtaji uliouanzisha,malipo mtalipana kwa jinsi eneoo la biashara litakavyokuwa aidha kwa siku au kwa wiki is it up to nyinyi..HAKUNA HAJA YA KUMFATILIA WEWE FANYA SHUGHULI ZAKO,ikifika muda wa kukupa fedha yako fasta usichelewe nenda kaichukue...km itakuwa anakupa pungufu ya ile mliokubaliana mvumilie kwa kipindi fulani tu nasi mda mwingi,lingine hakikisha unapata muda wa kuhakiki mtaji km unaendelea vizuri.

MJADALA UMEFUNGWA LETE MADA INGINE.:bump:

Watu wa mabasi siwanatumia hii njia na still wanalizwa? Hawezi kosa sababu kamwe, Suluhisho pekee ni Mtu mwenyewe kujupima, iether aingie full au iwe kama hivyo,
 
Usiiogope kuendeshewa biashara kijana cha msingi ni jinsi ya kumanage hiyo biashara, km ndio hivyo watu wasingeajiliwa mabosi wenyewe ndio wangekuwa front....FEAR OF FAILURE ASSURES FAILURE
 
Si dhani kama utanielewa, Biashara ndogo ni sawa na mtoto mdogo, wakati ambapo biashara inahitaji care ya hali ya juu kabisa ni wakati ikiwa ndogo, inahitaji initiator awepo full time, na ndo maana ukisoma story za wote walio fanikiwa walianza wao kama wao, mwanzo ni mugumu sana, Biashara inapo kuwa kubwa hapo ndo sasa unaweza kuwa na watu wengi wa kukusaidia, Sisemi mwanzo usiwe na watu kinacho takiwa ni wewe uwepo full time, Unless kama biashara hiyo huna malengo nayo.

Biashara nyingi sana hufa kwa sababu ya kuendeshwa kwa simu, uko ofisi unauliza leo wamekuja wateja wangapi? e kuku wamepewa dawa? hapo ndo unamkumbusha awapatie dawa, Ni vigumu sana kufanikiwa kwa staili hii, that is why ni kaseama kama kweli umeamua kuingia kwenye biashara na unatageti mbali ni lazima uchague moja, najua ni ngumu sana ila ukweli ndo huo
 
Simamia business kwa kama wiki, check trend ikoje. Sio siku zote mahesabu sawa. Then mwekee minimum ya kuleta kwa siku ambayo hupati hasara. Hapo akipata ziada ya kqake roho isikuume sana. La muhimu ujue viazi ananunua wapi na bei. Pia check trend ya mikaa nk. Ukiwa msimu wa viazi bei zimeshuka usimbane, hatakuibia sana
 
Si dhani kama utanielewa, Biashara ndogo ni sawa na mtoto mdogo, wakati ambapo biashara inahitaji care ya hali ya juu kabisa ni wakati ikiwa ndogo, inahitaji initiator awepo full time, na ndo maana ukisoma story za wote walio fanikiwa walianza wao kama wao, mwanzo ni mugumu sana, Biashara inapo kuwa kubwa hapo ndo sasa unaweza kuwa na watu wengi wa kukusaidia, Sisemi mwanzo usiwe na watu kinacho takiwa ni wewe uwepo full time, Unless kama biashara hiyo huna malengo nayo.

Biashara nyingi sana hufa kwa sababu ya kuendeshwa kwa simu, uko ofisi unauliza leo wamekuja wateja wangapi? e kuku wamepewa dawa? hapo ndo unamkumbusha awapatie dawa, Ni vigumu sana kufanikiwa kwa staili hii, that is why ni kaseama kama kweli umeamua kuingia kwenye biashara na unatageti mbali ni lazima uchague moja, najua ni ngumu sana ila ukweli ndo huo
Nimekuelewa Bro zipo biashara za ww kuanza toka mwanzo coz investment yake kwanza nikubwa,sasa kwa biashara ya chips itakufanya kweli uache kazi uliyoajiliwa ili uifatilie?..zipo biashara za kuacha kazi na kuingia mzima mzima coz investment yake ni kilio lakini sio chips au daladala,,huo ni mtazamo tu
 
Dats gud..biashara km hiyo ukianza unabidi kwanza ufahamu gunia moja linatoa ndoo ngapi za viazi,nakila ndoo hutoa sahani ngapi..itakuwa rahisi kujua faida yako na hasara,kwani hata utajua kilo moja ya nyama inatoa mishikaki mingapi,au faida ya kila trei ya mayai..nisimple biznes to maintain..poteza siku zako mbili tu!utajua mtililiko mzima wa mauzo,kwa kuangalia kwa siku anemeuza ndoo ngapi za viazi ndio utajua kauza sahani ngapi..

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Nimekuelewa Bro zipo biashara za ww kuanza toka mwanzo coz investment yake kwanza nikubwa,sasa kwa biashara ya chips itakufanya kweli uache kazi uliyoajiliwa ili uifatilie?..zipo biashara za kuacha kazi na kuingia mzima mzima coz investment yake ni kilio lakini sio chips au daladala,,huo ni mtazamo tu

Biashara zote huanza kidogo, Hakuna biashara iliyo anza kubwa, tatizo tunakuwa tuna amka tunawaza kuuza magari kwamba ndo yanalipa, Biashara inategemea malengo yako, Tatizo ni kwamba huwa watu wanaanza biashara bila malengo mtu anakuambia anaanz abiashara fulani ili anunue gari that is why, ila hata hiyo biashara ya Chips inaweza kuja kuwa kubwa kabisa kabisa,
 
Back
Top Bottom