Mkuu Baraka Rabson .....Wazo lako ni zuri lakini kwa mtaji ulionao una uwezo wa kuanzisha biashara nzuri na yenye kulipa zaidi ya hiyo...Mimi ni mshauri wa biashara toka CPM business consultant...Kama upo serious na ulichokiandika nicheki kwa 0655040772,Nikufumbue macho.
Ila sio wote wapo Tanzania mkuu, au unapatikana whatsapp?Ni kweli kwamba ni vizuri kuweka public ili na wengine wajifunze..lakini mtoa mada yeye ameomba ashauriwe juu ya hizo biashara alizozitaja.Mimi lengo langu ni kumfumbua macho aone na fursa nyingine na mimi nadhani kuliko niandike mpaka nichoke mtu anaweza akanicheki kwa hiyo namba tukashauriana..na ni kwa mtu yeyote si aliyetoa mada tu.0655040772
Wazo lako ni zuri lakini kwa mtaji ulionao una uwezo wa kuanzisha biashara nzuri na yenye kulipa zaidi ya hiyo...Mimi ni mshauri wa biashara toka CPM business consultant...Kama upo serious na ulichokiandika nicheki kwa 0655040772,Nikufumbue macho.
acha utapel kwan yeye ajui kuna hiz kampun c angekuj moja kwa mojaNi kweli kwamba ni vizuri kuweka public ili na wengine wajifunze..lakini mtoa mada yeye ameomba ashauriwe juu ya hizo biashara alizozitaja.Mimi lengo langu ni kumfumbua macho aone na fursa nyingine na mimi nadhani kuliko niandike mpaka nichoke mtu anaweza akanicheki kwa hiyo namba tukashauriana..na ni kwa mtu yeyote si aliyetoa mada tu.0655040772
BIASHARA YA CHIPS IPO HIVI
Biashara hii inafanywa kwa makubaliana ya kumpangishia kijana mahala pakufanyia kazi,mahitajio yote muhimu km viazi,kalai,sahani,jiko,mafuta na pesa,tomato na vingine ikiwezekana na pesa kidogo ya dharura..sasa kinachotakiwa kwenye mkataba wenu ni kwamba yeye aendeshe hiyo biashara anavyojua yeye ameuza hajauza lazima akupe kiasi fulani ambacho ww utakiona kitafaa kukulipa kwa mtaji uliouanzisha,malipo mtalipana kwa jinsi eneoo la biashara litakavyokuwa aidha kwa siku au kwa wiki is it up to nyinyi..HAKUNA HAJA YA KUMFATILIA WEWE FANYA SHUGHULI ZAKO,ikifika muda wa kukupa fedha yako fasta usichelewe nenda kaichukue...km itakuwa anakupa pungufu ya ile mliokubaliana mvumilie kwa kipindi fulani tu nasi mda mwingi,lingine hakikisha unapata muda wa kuhakiki mtaji km unaendelea vizuri.
MJADALA UMEFUNGWA LETE MADA INGINE.:bump:
Kwasasa nipo mwanza wakuu nimefungua na banda la kuuza kitimoto... Vijana biashara yalipa.. Kwa siku unapiga faida sometimes mpaka 50000 as profit. Sometimes petty business payz... Haya maisha kweli ni ku explore opportunities, mtaji ni laki 3 tu ndo nilianza nao.. Nkanunua fridge then na other materials... Tafuta maeneo ya bar au maeneo yenye watu weng inalipa sana..
Hongera sanaKwasasa nipo mwanza wakuu nimefungua na banda la kuuza kitimoto... Vijana biashara yalipa.. Kwa siku unapiga faida sometimes mpaka 50000 as profit. Sometimes petty business payz... Haya maisha kweli ni ku explore opportunities, mtaji ni laki 3 tu ndo nilianza nao.. Nkanunua fridge then na other materials... Tafuta maeneo ya bar au maeneo yenye watu weng inalipa sana..
Siku Mteja akifa na maambukizo ya mafua ya nguruwe Utakaa Butimba mpaka wakusahau.
Badalisha biashara fasta mkuu.
Nguruwe mnyama Hatari sana.