dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,439
Mkuu Baraka Rabson .....Wazo lako ni zuri lakini kwa mtaji ulionao una uwezo wa kuanzisha biashara nzuri na yenye kulipa zaidi ya hiyo...Mimi ni mshauri wa biashara toka CPM business consultant...Kama upo serious na ulichokiandika nicheki kwa 0655040772,Nikufumbue macho.
sidhani kama ni busara kumwita PM mtu aliyeomba ushauri Public, kama unatoa msaada toa hapa ili watu wengine waweze kunufaika pia. Kumbuka huyu ni mwakilishi tu, wapo weengi wanafuatialia huu Uzi na wana Cash , tatizo ni wazo la biashara,....Kama hutajali elezea hapa.
Last edited by a moderator: