Kawaida dagaa waliokaangwa/kukaushwa kwa mafuta huweza kukaa muda mrefu sana bila kuharibika huzidi hata dagaa waliokaushwa kwa jua kawaida kwa ubora ila tunasema "best before"wanakaa mda gani hadi kuharibika?
Mkuu dagaa wa kawaida wapo wengi tu unataka kiasi gani?mkuu mi nataka wasio kaangwa bei gani kwa debe
Kwanini dagaa wa kukaanga ni bora zaidi kibiashara ukilinganisha na dagaa wengine au Samaki.
Kwanza ni bei rahisi
Wanalika hata bila viungo vingine
Hawahitaji maandalizi ukitaka kuwaunga
Ni watamu sanaa (wenye chumvi)
Hawaaribiki kirahisi.
Ni kati ya bidhaa ngeni hasa maeneo yasiyo na ziwa. (wengi wanapenda vyakula vigeni)
Mfanyabiashara utaweza kuwapima katika vipimo tofauti kuendana na soko Lako.
Habari zenu wadau
Pata dagaa safi wakubwa waliokaangwa katika hali ya usafi kabisa.
Dagaa hawa wametiwa chumvi na tunaanza kupima kuanzia debe 5 na kuendelea.
Dagaa wanapatikana Mwanza na utatumiwa mahali popote Tanzania kwa usafiri wa uhakika.
Bei kwa wengi tunauza Tsh 35,000 kwa debe moja na kama utafunga kwenye small containers unaweza mpaka kujipatia 100,000 Tsh
Mawasiliano ni 0622193871 masaa 24/7 press order kubwa mapema ili kupata mzigo kwa wakati.
Nyote mnakaribishwa jumla na rejareja pesa nje-nje.
Mkuu tunauza wa kibiashara kwa wingi pia kuwatia dagaa chumvi inasaidia wasiharibike kwa urahisi pamoja na kwamba wanaongeza ladha japo hatuweki chunvi nyingi.Kwa mimi nisetumia chumvi mkuu hao hawanifai au mnauza na wasio na chumvi?
Mimi nahitaji mkuu
nipo dsm kwa sasa
Karibuni tujadiliane: Mawasiliano ni 0622193871 masaa 24/7.Mkuu, Mimi nipo Dar (Kongowe Temeke) na ninahitaji debe 1 kila week (kwa kuanzia,itategemea biashara itakavyoenda) itakuwa ni beo gani?!
nahitaji za kutosha ila kwanza nijuze..debe nini kiasi ganiMkuu dagaa wa kawaida wapo wengi tu unataka kiasi gani?
Mkuu debe ya dagaa wa kawaida wanaenda kati ya 11,000 mpaka 14,000 kuendana na upatikanaji.nahitaji za kutosha ila kwanza nijuze..debe nini kiasi gani
sawaa mkuu..ngoja nikuPM tufanye biashara.Mkuu debe ya dagaa wa kawaida wanaenda kati ya 11,000 mpaka 14,000 kuendana na upatikanaji.
Hawana mchanga hawa wa kukaanga sababu wanaanikwa juu ya nyavu kwenye kama vizimba na wakishakauka maji wanawekwa kwenye mafuta hivyo hawaguzi chini wanakaangwa kama samaki wa kawaida.Wanakuwaga na michanga hao
Mkuu tuna siku 3 mbele tuanze giza ambapo ndio shughuli itaanza.Mkuu lin mzigo unatoka huko mwanza kuja dsm
Mkuu tuna siku 3 mbele tuanze giza ambapo ndio shughuli itaanza.
Debe lina Kilo ngapi (NET)?Mkuu debe ya dagaa wa kawaida wanaenda kati ya 11,000 mpaka 14,000 kuendana na upatikanaji.
Mkuu wakati wa giza ndio dagaaa huvuliwa kipindi mwezi ni mchanga ili wakiweka taa dagaa wananaswa kwa wingi tofauti na wakati mwezi ni mkubwa au mbalamwezi kunakua na mwanga angani hata wakiweka taa dagaa hawaji kwa wingi sababu ya ukali wa mbalamwezi.Mkuu lugha yako mbona ni technical sana. Unamaanisha nini kuanza giza.
Mkuu nakukaribisha sana Arusha nafikiri soko ni kubwa sana.Nikupongeze mtangaza fursa,binafsi nitakupigia nipo Arusha tufanye biashara
4 mpaka 4.5 kgDebe lina Kilo ngapi (NET)?
Na Debe lina gharimu kiasi gani Mpaka lifike Dar es Salaam?