Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Kuwa makini majambaka yasikubake tu
 
Kuwa makini pia kuna matapeli wengi nowadays hususani masuala ya kumtumia pesa mtu usiyemfahamu
 
Mimi nafanya bussiness hiyo kwa zaidi ya miaka minne sasa, offer nakusafirishia free mpaka ubungo.
Nauza kiasi chochote utakacho, na nina aina tano za dagaa zote kutoka mwanza, sample zipo ukitaka.
Karibu PM
Kwa ambae yuko tanga na afanya biashara ya dagaa namuomba tuwasiliane
 
Tatizo biashara za Tanzania za kuigana mtu akiona mwenzake anauza dagaa na yeye atauza
Ubaya mwingine haongezi la maana
Dagaa wenyewe wachafu
Mafuta wanayotumia machafuuuuu
 
Mimi nafanya bussiness hiyo kwa zaidi ya miaka minne sasa, offer nakusafirishia free mpaka ubungo.
Nauza kiasi chochote utakacho, na nina aina tano za dagaa zote kutoka mwanza, sample zipo ukitaka.
Karibu PM
Mkuu unauza dagaa wa aina gani na gharama zako zikoje? Pia nimeona kwenye thread unasema unauza dagaa aina tano ni zipi hizo
 
ambaye ameshaanza kuifanya hii biashara tunaomba a-confirm bei ya soko tafadhali
 
Habari wana jf nina mtaji wa Tsh300000 nipo mwanza visiwani nataka kufanya biashara ya dagaa kuwatoa visiwani kupeleka mikoani target (singida) na kuwauza ila sijui taratibu za kusafirisha dagaa changamoto za biashara hii wenye huelewa na hii biashara naomba mnisaidie
 
mkuu nipo arusha nina wazo la kuagiza dagaa kutoka hiko kuleta huku kwa ajili ya kuuza namba yangu hii 0652130833 tunawezakuwasiliana tuyajenge
 
Nashukuru sana mkuu wangu kwa msaada wako na mawazo yako mazuri na ya maana, yeah nitakucheck tuongee vizuri zaidi kaka wala hamna tatizo kabisaa.
Biashara ya dagaa inalipa sana,na ni ngumu kupata hasara.
Just do it utafanikiwa.
Just do it
 
Mkuu uliweza fanikisha mchakato wa hii biashara...!? Me nipo mbeya nilitaka tubadirishane uzoefu kama ilifanikiwa kuingia kwa hii kazi
 
Mkuu naomba uni pm tubadilishane mawasiliano ili nipate kuchimba zaidi hii nondo
 
Asante kwa bandiko mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…