Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Tanga wanapatikana sana kipumbwi, mwaboza, monga- vyeru, na sehem za bahar like sahare, ila sana kipumbwi mwaboza ni uhakika mkuu
karibuNaomba nije inbox kwa maelezo zaidi
Umeni block then unanikaribisha[emoji23][emoji23][emoji23] anyway! Kazi njemakaribu
nikublock wewe peke yako jf kwa kipi??Umeni block then unanikaribisha[emoji23][emoji23][emoji23] anyway! Kazi njema
Hii ni matatizo yangu au Jf[emoji848][emoji848][emoji848]nikublock wewe peke yako jf kwa kipi??
jibu ni moja nimefunga pm na sio kua umeblockiwaHii ni matatizo yangu au Jf[emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 1112348
Ok poajibu ni moja nimefunga pm na sio kua umeblockiwa
Bei ikoje mkuumafia wapo wengi sana
Kwa nnavojua Mimi Bei yake haipo stable itategemea na upatikanaji wakeBei ikoje mkuu
Kwa uzoefu wako Tangu umeanza biashara hii mpaka sasa hivi unauza kilo ngapi kwa wikiHabari zenu wadau... Leo nataka niwaletee biashara ya kuanza na mtaji mdogo... Biashara ambayo kama wewe Ni mwanafunzi wa chuo au mama wa nyumbani au hata mfanyakazi unaetaka kujipatia kipato Cha ziada itakufaa Sana.. biashara hii usipokua na aibu itakutoa vizuri tuu...
Hii biashara unaweza kuanza na mtaji wa 55,000... Ni biashara ya dagaa...
Kwenye hii ela utapata dagaa ndoo kubwa ambao wanafika kilo kumi...
KWENYE JINSI YA KUWA PACK SASA..
Unaweza ukafunga
gram 100 ukauza TSH 1,000
gram 50 ukuaza TSH 500.....
Sasa kwenye kila kilo moja utapata utapata packet 10 za elfu Moja au packets 20 za 500... Kwenye kila kilo moja utapata faida ya tsh 4500 ambapo kwenye kilo kumi utapata faida ya tsh 45,000 Kama kila week ukiweza kuuza Hadi kilo kumi natano hadi ishirini utajikuta mwisho wa mwezi umesave hela nzuri sanaaa...
Natamani maswali na maoni yote niyajibie humu humu ili hata ambao watakua sio wateja wapate kitu Cha kujifunza..
Kwa shauku yako ukishapewa majibu unatarajia kufanya hiyo biashara ?Kwa uzoefu wako Tangu umeanza biashara hii mpaka sasa hivi unauza kilo ngapi kwa wiki
30 mpaka 50.... Kuna kipindi nlifikisha 70 Ila Mimi siuzi kwa rejareja nauza kwa jumlaKwa uzoefu wako Tangu umeanza biashara hii mpaka sasa hivi unauza kilo ngapi kwa wiki
Unapatikana wap?Habari zenu wadau... Leo nataka niwaletee biashara ya kuanza na mtaji mdogo... Biashara ambayo kama wewe Ni mwanafunzi wa chuo au mama wa nyumbani au hata mfanyakazi unaetaka kujipatia kipato Cha ziada itakufaa Sana.. biashara hii usipokua na aibu itakutoa vizuri tuu...