Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Unapatikana wap?
Dagaa zinatokea wap?
Dagaa ni wa aina gani?
Je? Una safirisha mkoa had mkoa

Asante [emoji120][emoji120][emoji120]
Napatikana tanga mjini...

Dagaa zinatokea huku tanga....

Nna dagaa nyama ( dagaa uono),,, na dagaa wakavu ambao wameanikwa tuu... Yaan Hawa dagaa wakavu wapo Kama wale dagaa wa mwanza isipokuwa Hawa Ni wa maji chumvi...
Lakini hapa nmetangaza dagaa nyama......

Mikoani pia nasafirisha kwa uaminifu mkubwa..
 
Dah umenikumbusha uono....ntakuja siku niwale tena...tanga kitambo sana
 
Pw pw.
 
Nitakuja na kufikia hapo kiboma guest then nitakutafuta je unapafahamu?
 
ndoo kubwa ya kg 10 Ni tsh 55,000.....

kwa maana hiyo kilo Ni 5,500
 
Ukichukuwa kutoka Kilwa ni rahisi mno.
Pia unawapata wapya kabisa.
Nipm kwa ufafanuzi zaidi
 






Brother picha iusike
hao dagaa nyama Ni wapi hao ( weka picha yao )
pia weka picha ya dagaa unao wauza ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…