Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Kuna maelezo nitakupatia lkn ni lazima nijue unapatikana wapi/Makazi yako au wapi umelenga liwe soko lako baada ya kuwapata, ili nikupe njia raisi kulingana na wapi unapatikana
 
Ni

Nimekupa maelezo mkuu PM kama ulivoniuliza.Ahsanteh
 
Inategemea na mhusika yupo maeneo gan?

Hao ni Dagaa mchele kwa ugari ndio hatar huku kigambon ndio mboga yangu iyo

Kuna muda bei hushuka kwa ndoo had 25 30 inategema na soko ila kuna wakat hupanda mpaka 70 80 elf
Shukrani Mkuu check PM pia kama kuna nyama yeyote unaweza ongezea wana jukwaa wafaidike.
 
Natoa heshima kubwa mbele yenu waheshimiwa na members woote wa JF, napenda kutambulisha biashara yangu mpya ya dagaa safi wasi wasio na mchanga, dagaa hawa tayali wanawekwa viungo kama chumvi, tangawizi, ndimu na pilipili kwa mbali, aina hii ya dagaa wanakahushwa na automatic dryer machine kwa kiwango cha juu kabisa, moisture content inayobaki ktk dagaa baada ya kukahushwa ni chini ya 3% of total wetness baada ya kuvuliwa. kwa kuweka hapa tunategemea kuanza uzalishaji week hii, naomba kama kutakuwa na mtu anayehitaji basi aweze ku pm, bei ya kuanzia kuuza mzigo ni TZs 4500 kwa kg, bei hii ni door delivery kwa wateja wooote waliopo njia ya kwenda Dar es salaam kutokea Mwanza, kwa maana ya wateja wa kuanzia Shinyanga, Singida, Dodoma, Morogoro na pia Dar es salaa. karibuni kwa mchango wenu wana JF, nawakilisha
Mkuu biashara hii bado unaifanya?
 
Kama upo tayari ibuka tuu Mbinga, kuna dagaa wa Nyasa, japo sijajua kwa sasa, wakati mzurii huwa wanauzwa kwa sado mpaka shilingi 5,000 😵😵 Eeeh ni buku tano hiyo

Huwa wanafanyiwa packaging katika mifuko laini kabisa, ambapo kisado kimoja kinaweza kikakupa packages kama 4 hivi, hesabu yake kwa kila mfuko wanauza kwa shilingi 7,000 ikishuka sana ndio hivyo buku 5

Napafahamu, but skumbuki tuu ni miezi gani huwa wanatoka sana.
 
Hao soko lake bado sijalijua vizuri mkuu ila inaonekana ni pesa nzuri ipo hapo.
 
Sana, mara ya mwisho niliona wanauzwa pale Ubungo, then sikuwaonaga tena. Sijui soko ni la kutafuta sana, ila naona kule wanatoka sana
 
Dar soko ndo ishu pia inategemea na walaji wa hao dagaa maana dagaa mchele wote wanakula ila kuna baadhi ya watu mfano mimi hao dagaa si mpenzi hili sio swala ila muhimu ni soko lake gumu maana nilipita masoko kama matatu sikuwahi kuwaona hawa dagaa zaidi ya wale wa Mwanza na hawa mchele,ila nahitaji kufahamu zaidi kuhusu hili mkuu acha niingie chimbo kuulizia soko ntarudi kwako boss.
 
If you are excel at marketing, it's possible to sell a pen in hundred dollars
 
Back
Top Bottom