Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na mhusika yupo maeneo gan?Hawa si dagaa mchele wanakausha na chumvi
Niliambiwa bagamoyo na Kilwa. Ndo mambo yao
Nimekupa maelezo mkuu PM kama ulivoniuliza.AhsantehKuna maelezo nitakupatia lkn ni lazima nijue unapatikana wapi/Makazi yako au wapi umelenga liwe soko lako baada ya kuwapata, ili nikupe njia raisi kulingana na wapi unapatikana
Shukrani mkuu kama kuna nyama unaweza ongezea mkuu.Hawa si dagaa mchele wanakausha na chumvi
Niliambiwa bagamoyo na Kilwa. Ndo mambo yao
Shukrani Mkuu check PM pia kama kuna nyama yeyote unaweza ongezea wana jukwaa wafaidike.Inategemea na mhusika yupo maeneo gan?
Hao ni Dagaa mchele kwa ugari ndio hatar huku kigambon ndio mboga yangu iyo
Kuna muda bei hushuka kwa ndoo had 25 30 inategema na soko ila kuna wakat hupanda mpaka 70 80 elf
Shukrani mkuu pia kama kuna nyama waweza jazia wana jukwaa pia wafaidike na check PM yako mkuu.Tanga
Mkuu biashara hii bado unaifanya?Natoa heshima kubwa mbele yenu waheshimiwa na members woote wa JF, napenda kutambulisha biashara yangu mpya ya dagaa safi wasi wasio na mchanga, dagaa hawa tayali wanawekwa viungo kama chumvi, tangawizi, ndimu na pilipili kwa mbali, aina hii ya dagaa wanakahushwa na automatic dryer machine kwa kiwango cha juu kabisa, moisture content inayobaki ktk dagaa baada ya kukahushwa ni chini ya 3% of total wetness baada ya kuvuliwa. kwa kuweka hapa tunategemea kuanza uzalishaji week hii, naomba kama kutakuwa na mtu anayehitaji basi aweze ku pm, bei ya kuanzia kuuza mzigo ni TZs 4500 kwa kg, bei hii ni door delivery kwa wateja wooote waliopo njia ya kwenda Dar es salaam kutokea Mwanza, kwa maana ya wateja wa kuanzia Shinyanga, Singida, Dodoma, Morogoro na pia Dar es salaa. karibuni kwa mchango wenu wana JF, nawakilisha
Huko wanauzwaje?kwa bei ya jumlaZanzibar huku ni wengi mnoo mkuu hela yko tyu, na wanafaida sana huko baraaa
Ni kama wale wa Tanga?Zanzibar huku ni wengi mnoo mkuu hela yko tyu, na wanafaida sana huko baraaa
Hao soko lake bado sijalijua vizuri mkuu ila inaonekana ni pesa nzuri ipo hapo.Kama upo tayari ibuka tuu Mbinga, kuna dagaa wa Nyasa, japo sijajua kwa sasa, wakati mzurii huwa wanauzwa kwa sado mpaka shilingi 5,000 😵😵 Eeeh ni buku tano hiyo
Huwa wanafanyiwa packaging katika mifuko laini kabisa, ambapo kisado kimoja kinaweza kikakupa packages kama 4 hivi, hesabu yake kwa kila mfuko wanauza kwa shilingi 7,000 ikishuka sana ndio hivyo buku 5
Napafahamu, but skumbuki tuu ni miezi gani huwa wanatoka sana.
Sana, mara ya mwisho niliona wanauzwa pale Ubungo, then sikuwaonaga tena. Sijui soko ni la kutafuta sana, ila naona kule wanatoka sanaHao soko lake bado sijalijua vizuri mkuu ila inaonekana ni pesa nzuri ipo hapo.
Bibie mbona unanitenga?mimi nimewatamani tu ngoja waje
Dar soko ndo ishu pia inategemea na walaji wa hao dagaa maana dagaa mchele wote wanakula ila kuna baadhi ya watu mfano mimi hao dagaa si mpenzi hili sio swala ila muhimu ni soko lake gumu maana nilipita masoko kama matatu sikuwahi kuwaona hawa dagaa zaidi ya wale wa Mwanza na hawa mchele,ila nahitaji kufahamu zaidi kuhusu hili mkuu acha niingie chimbo kuulizia soko ntarudi kwako boss.Sana, mara ya mwisho niliona wanauzwa pale Ubungo, then sikuwaonaga tena. Sijui soko ni la kutafuta sana, ila naona kule wanatoka sana
If you are excel at marketing, it's possible to sell a pen in hundred dollarsDar soko ndo ishu pia inategemea na walaji wa hao dagaa maana dagaa mchele wote wanakula ila kuna baadhi ya watu mfano mimi hao dagaa si mpenzi hili sio swala ila muhimu ni soko lake gumu maana nilipita masoko kama matatu sikuwahi kuwaona hawa dagaa zaidi ya wale wa Mwanza na hawa mchele,ila nahitaji kufahamu zaidi kuhusu hili mkuu acha niingie chimbo kuulizia soko ntarudi kwako boss.