Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

Hongera sana mkuu kwa upambanaji wako. Sasa hivi una daladala ngapi ?
 
Hongera sana mkuu, una daladala ngapi sasa hivi ?
 
Ni kweli kabisa mkuu. Ni vema ukatupa uzoefu wako mpaka hii 2020 unaendeleaje na biashara yako ili watu wengi tujifunze kupitia wewe
 
Ipo shughuli nyingine yoyote ungeweza kufanya tofauti na kubeba abiria ukitumia hiyo Hice? Pengine umewahi kuwa na mawazo ya namna hii, labda ukaona hailipi.
Unaweza kushirikisha wadau hapa? Unaweza kuambulia different ideas usilazimike kuuza Hice.
Kabebe watoto wa shule mkuu. Haitakutupa kabisa
 
dereva wa kumpa n kitu cha kwanza kuangalia
Hili ni kweli kabuis aisee. Madereva wengi ni washenzi sana na hasa wakijua tajiri hajui magari ni rahisi sana kukulalia. Kama unataka kuiweza biashara ya daladala na ni mgeni ni vema sana uwe na usimamizi wa mtu mmoja mzoefu sana katika industry ya magari atakayekupa ethics na uzoefu wa uendeshaji wa biashara hiyo. Anaweza pia kukusaidia kutafuta watu wa kufanya kazi na wewe katika hiyo daladala na kuendelea kujifunza kutoka kwake
 
je taratibu za kukodi gari
dereva awe wa tajiri, mimi niwe kondakta
hiyo imekaaje?
 
Duh, huu uzi umejaa comments za kutisha sana kuhusu hii biashara...nimeghairisha kununua Dungu kwa ajili ya biashara hii ya daladala ambayo naikubali sana ndani ya moyo wangu ila hizo mbinde zake ndo zimenikata stim.
 
Pambana mkuu talentboy pengine ndo kipaji chako kilipo ...afu pia sio lazima biashara hii uifanye kama wanavoifanya wengine ..unaweza ukaja na mfumo mwingine ambao ni rafiki kwako
 
Pambana mkuu talentboy pengine ndo kipaji chako kilipo ...afu pia sio lazima biashara hii uifanye kama wanavoifanya wengine ..unaweza ukaja na mfumo mwingine ambao ni rafiki kwako
Shukrani mkuu kwa kunitia moyo...ila najaribu kuchanganua na kufanya utafiti zaidi
 
Shukrani mkuu kwa kunitia moyo...ila najaribu kuchanganua na kufanya utafiti zaidi
Kweli Mkuu fanya tafiti kwanza ujiridhishe mwwnyewe then uingie ni biashara nzuri sana ila ukiingia kichwa kichwa utajuta.
Mimi iliniacha na madeni hata sina hamu, tatizo sikufanya tafiti za kutosha nilikurupuka.
 
duh, poa mkuu nitazingatia hilo..ila pole ndo mambo ya kutafuta yalivyo
 
Biashara ya daladala ni sawa na kufuga kuku! Kama hufugi au huendeshi mwenyewe personally, hesabu umeumia. Sasa subiri nyepesinyepesi kuwa dereva wako naye kanunua daladala, mjini hapa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji1666][emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…