Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Msiwataje Wazazi, pambaneni wenyewe kwa wenyewe tu nawasihiMuuza ngada umepaniki.
Kwahiyo mama yako anavyouza papuchi unashangilia badala ya kumkanya!?
Fanya kazi halali achana na biashara za ngada na udangaji.
Kumpata mtu kama JPM tutasubiri sana!Ni muda sahihi madhambi yote kurudi.
Juzi nimesikia mpuuzi mmoja akisema "mama amesema kazi iendelee, kwahiyo wanafunzi tutawatia mimba na kesi zitaishia police.
Vibaka, najambazi mitaani wanatamba hawana wa kuwazuia.
Nidhamu ya kazi maofisini imepungua.
Yeyote aliemuona jpm mbaya amini nawaambia miaka itapita mingi sana bila kupata rais makini kama jpm.
Sisemi kwamba hakuwa na mapungufu ya kibinadamu hapana. Ila kazi amefanya alinyoosha nchi akaiweka kwenye mstari.
"Vita ya siasa na uchumi ni ngumu sana"
Jpm aliposema amejitoa kwa wananchi wanyonge kuna watu hawakumuelewa.
"Ukigusa mzinga wa nyuki lazima uumie"
Pole sana jpm.
Hapo na wewe unaweza ukakuta una watoto.Acha watafute fedha. Wengine wametafuna mabilioni ya umma lakini no action taken.
Acha wajihangaikie na riziki zao.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sawa mama Gamba. Ila mateja kama nyie ni mtaji mzuri sana.Muuza ngada umepaniki.
Kwahiyo mama yako anavyouza papuchi unashangilia badala ya kumkanya!?
Fanya kazi halali achana na biashara za ngada na udangaji.
Mama yako anajua kama unauza ngada?Sawa mama Gamba. Ila mateja kama nyie ni mtaji mzuri sana.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huyo ndio muuza ngada namba moja akishirikiana na wanawe!Kikwete yuko kimya kwenye hili kwa nini?
Uzee wake uko wapi?
Uhuru wa vyombo vya habari uliminywa kutangazwa matukio kama hayo akabaki tu Herode ndo anatrend ili nchi ionekane safi lakini matukio ni yale yaleKwahiyo mnataka kutuambia wakati wa JPM hayo mambo yaliisha, au?
Hapa chini ni February 02, 2020
Mbaya zaidi, mzigo umekamatiwa ndani... yaani ulivuka vikwazo vyote!
Hapa DCEA nao wanatuambia habari za Lina Roman aliyekuwa amedakwa na unga February 2018
Kwa mara nyingine, February 01 DCEA hao hao wanatuambia habari za watu 3 waliokamatwa na dawa za kulevya huko Kunduchi
Hapa tena, tunaambiwa habari za Wanaija waliokuwa wamekamatwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 200 huko Mbezi
Najua mnataka kutuonesha JPM alikuwa kiboko ya wauza unga lakini ukweli ni kwamba, unga umeendelea kuwepo hata wakati wa JPM! Hapo juu ni mifano michache tu, na mbaya zaidi, dawa za kulevya zilikamatwa kwenye nyumba za watu!
Kwa maana nyingine, zilivuka vikwazo vyote, na ukiona wamekamatwa home, ina maana kuna mizigo mingine ilishakuwa mtaani!!!
Na kwa mwaka huu, sijawataja wale madogo wawili waliokutwa na 30kg huko Mbezi!!
Kwahiyo tusidanganyane kwamba leo hii mtu akikamatwa na unga, eti "warejea kwa kasi" wakati waliendelea kuwapo!
Na kuwakumbusha tu ni kwamba, China wame-advance kwenye masuala ya ulinzi kuliko sisi! Mbaya zaidi, kule wanakunyonga kabisa! Pamoja na yote hayo, watu hadi kesho wanaendelea kupeleka mzigo China!!
What's so special kilichokuwapo wakati wa JPM hadi kiwafanye watu waiogope TZ kuliko China au Iran?!
Na ukweli wenyewe ndo wenyewe!!! Kuna mambo mengi yalikuwa yanapita kimya kimya! Ni ngumu sana kukuta hizo habari kwenye mass media zetu!Uhuru wa vyombo vya habari uliminywa kutangazwa matukio kama hayo akabaki tu Herode ndo anatrend ili nchi ionekane safi lakini matukio ni yale yale
Mwanao ni Teja.Acha watafute fedha. Wengine wametafuna mabilioni ya umma lakini no action taken.
Acha wajihangaikie na riziki zao.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwa masikitiko makubwa naangalia jinsi wasafirishaji wa Madawa ya kulevya wameona kuwa huu ni muda muafaka kuanza biashara yao haramu, baada ya lile tukio la kukamatwa kwa kiwango kikubwa zaidi ya tano moja kule lindi ambapo ukisoma muendelezo wake kwenye magazeti utaona hati ya mashtaka imebadilishwa na kuandika kiwango kidogo cha Madawa kuliko kile cha awali, watanzania wengine wamekamatwa nchini India 🇮🇳 wakiwa na kilo mbili za cocaine kama chanzo kinavyoonyesha kwenye picha, hii inaenda sambamba na idadi kubwa ya watumiaji ambao wameanza kuonekana katika mitaa yetu...swali langu ni kwa nini wanadhani sasa ni muda sahihi?
View attachment 1771724
Utamkumbuka ww na shangazi zako'Mtanikumbuka'.......by mwendazake!
Kwaiyo suluhisho, Gwajima akafufue mtu aje amalizie ingwe au?!!!Bado madini, kisha twiga wataanza kupanda ndege!
nidhamu ya kazi iliwahi kuwa nzuri?Ni muda sahihi madhambi yote kurudi.
Juzi nimesikia mpuuzi mmoja akisema "mama amesema kazi iendelee, kwahiyo wanafunzi tutawatia mimba na kesi zitaishia police.
Vibaka, najambazi mitaani wanatamba hawana wa kuwazuia.
Nidhamu ya kazi maofisini imepungua.
Yeyote aliemuona jpm mbaya amini nawaambia miaka itapita mingi sana bila kupata rais makini kama jpm.
Sisemi kwamba hakuwa na mapungufu ya kibinadamu hapana. Ila kazi amefanya alinyoosha nchi akaiweka kwenye mstari.
"Vita ya siasa na uchumi ni ngumu sana"
Jpm aliposema amejitoa kwa wananchi wanyonge kuna watu hawakumuelewa.
"Ukigusa mzinga wa nyuki lazima uumie"
Pole sana jpm.
Watu wana yaoKwahiyo mnataka kutuambia wakati wa JPM hayo mambo yaliisha, au?
Hapa chini ni February 02, 2020
Mbaya zaidi, mzigo umekamatiwa ndani... yaani ulivuka vikwazo vyote!
Hapa DCEA nao wanatuambia habari za Lina Roman aliyekuwa amedakwa na unga February 2018
Kwa mara nyingine, February 01 DCEA hao hao wanatuambia habari za watu 3 waliokamatwa na dawa za kulevya huko Kunduchi
Hapa tena, tunaambiwa habari za Wanaija waliokuwa wamekamatwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 200 huko Mbezi
Najua mnataka kutuonesha JPM alikuwa kiboko ya wauza unga lakini ukweli ni kwamba, unga umeendelea kuwepo hata wakati wa JPM! Hapo juu ni mifano michache tu, na mbaya zaidi, dawa za kulevya zilikamatwa kwenye nyumba za watu!
Kwa maana nyingine, zilivuka vikwazo vyote, na ukiona wamekamatwa home, ina maana kuna mizigo mingine ilishakuwa mtaani!!!
Na kwa mwaka huu, sijawataja wale madogo wawili waliokutwa na 30kg huko Mbezi!!
Kwahiyo tusidanganyane kwamba leo hii mtu akikamatwa na unga, eti "warejea kwa kasi" wakati waliendelea kuwapo!
Na kuwakumbusha tu ni kwamba, China wame-advance kwenye masuala ya ulinzi kuliko sisi! Mbaya zaidi, kule wanakunyonga kabisa! Pamoja na yote hayo, watu hadi kesho wanaendelea kupeleka mzigo China!!
What's so special kilichokuwapo wakati wa JPM hadi kiwafanye watu waiogope TZ kuliko China au Iran?!
Hawa wasukuma wachache ni wakupuuzwa tu, wanamsakama mama, lengo wamkwamishe, dawa yake awanyooshe tu ili wamsahau uyo mungu waoKwahiyo mnataka kutuambia wakati wa JPM hayo mambo yaliisha, au?
Hapa chini ni February 02, 2020
Mbaya zaidi, mzigo umekamatiwa ndani... yaani ulivuka vikwazo vyote!
Hapa DCEA nao wanatuambia habari za Lina Roman aliyekuwa amedakwa na unga February 2018
Kwa mara nyingine, February 01 DCEA hao hao wanatuambia habari za watu 3 waliokamatwa na dawa za kulevya huko Kunduchi
Hapa tena, tunaambiwa habari za Wanaija waliokuwa wamekamatwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 200 huko Mbezi
Najua mnataka kutuonesha JPM alikuwa kiboko ya wauza unga lakini ukweli ni kwamba, unga umeendelea kuwepo hata wakati wa JPM! Hapo juu ni mifano michache tu, na mbaya zaidi, dawa za kulevya zilikamatwa kwenye nyumba za watu!
Kwa maana nyingine, zilivuka vikwazo vyote, na ukiona wamekamatwa home, ina maana kuna mizigo mingine ilishakuwa mtaani!!!
Na kwa mwaka huu, sijawataja wale madogo wawili waliokutwa na 30kg huko Mbezi!!
Kwahiyo tusidanganyane kwamba leo hii mtu akikamatwa na unga, eti "warejea kwa kasi" wakati waliendelea kuwapo!
Na kuwakumbusha tu ni kwamba, China wame-advance kwenye masuala ya ulinzi kuliko sisi! Mbaya zaidi, kule wanakunyonga kabisa! Pamoja na yote hayo, watu hadi kesho wanaendelea kupeleka mzigo China!!
What's so special kilichokuwapo wakati wa JPM hadi kiwafanye watu waiogope TZ kuliko China au Iran?!
Mchukueni gwajima muende mkamfufue uyo mungu wenu wa bandia kenge nyinyi, msitake kumkwamisha rais mbuzi wachache wenye ukabilaNi muda sahihi madhambi yote kurudi.
Juzi nimesikia mpuuzi mmoja akisema "mama amesema kazi iendelee, kwahiyo wanafunzi tutawatia mimba na kesi zitaishia police.
Vibaka, najambazi mitaani wanatamba hawana wa kuwazuia.
Nidhamu ya kazi maofisini imepungua.
Yeyote aliemuona jpm mbaya amini nawaambia miaka itapita mingi sana bila kupata rais makini kama jpm.
Sisemi kwamba hakuwa na mapungufu ya kibinadamu hapana. Ila kazi amefanya alinyoosha nchi akaiweka kwenye mstari.
"Vita ya siasa na uchumi ni ngumu sana"
Jpm aliposema amejitoa kwa wananchi wanyonge kuna watu hawakumuelewa.
"Ukigusa mzinga wa nyuki lazima uumie"
Pole sana jpm.
na hivi jamaa fulani karejea home na kukumbatiwa, it's only a matter of time!Bado madini, kisha twiga wataanza kupanda ndege!
Acha yaje kwani MTU analazimoshwa kununua??? Mradi ajira ziwepo na mshahara uongezeke'Mtanikumbuka'.......by mwendazake!