Kwahiyo mnataka kutuambia wakati wa JPM hayo mambo yaliisha, au?
Hapa chini ni February 02, 2020
Mbaya zaidi, mzigo umekamatiwa ndani... yaani ulivuka vikwazo vyote!
Hapa
DCEA nao wanatuambia habari za Lina Roman aliyekuwa amedakwa na unga February 2018
Kwa mara nyingine, February 01
DCEA hao hao wanatuambia habari za watu 3 waliokamatwa na dawa za kulevya huko Kunduchi
Hapa tena, tunaambiwa habari za Wanaija waliokuwa wamekamatwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 200 huko Mbezi
Najua mnataka kutuonesha JPM alikuwa kiboko ya wauza unga lakini ukweli ni kwamba, unga umeendelea kuwepo hata wakati wa JPM! Hapo juu ni mifano michache tu, na mbaya zaidi, dawa za kulevya zilikamatwa kwenye nyumba za watu!
Kwa maana nyingine, zilivuka vikwazo vyote, na ukiona wamekamatwa home, ina maana kuna mizigo mingine ilishakuwa mtaani!!!
Na kwa mwaka huu, sijawataja wale madogo wawili waliokutwa na 30kg huko Mbezi!!
Kwahiyo tusidanganyane kwamba leo hii mtu akikamatwa na unga, eti "warejea kwa kasi" wakati waliendelea kuwapo!
Na kuwakumbusha tu ni kwamba, China wame-advance kwenye masuala ya ulinzi kuliko sisi! Mbaya zaidi, kule wanakunyonga kabisa! Pamoja na yote hayo, watu hadi kesho wanaendelea kupeleka mzigo China!!
What's so special kilichokuwapo wakati wa JPM hadi kiwafanye watu waiogope TZ kuliko China au Iran?!