Biashara ya dawa za kulevya kurejea kwa kasi? Watanzania 2 wakamatwa na Cocaine kilo 2 tumboni Uwanja wa ndege wa Mumbai

Ni muda sahihi madhambi yote kurudi.
Juzi nimesikia mpuuzi mmoja akisema "mama amesema kazi iendelee, kwahiyo wanafunzi tutawatia mimba na kesi zitaishia police.

Vibaka, najambazi mitaani wanatamba hawana wa kuwazuia.

Nidhamu ya kazi maofisini imepungua.

Yeyote aliemuona jpm mbaya amini nawaambia miaka itapita mingi sana bila kupata rais makini kama jpm.
Sisemi kwamba hakuwa na mapungufu ya kibinadamu hapana. Ila kazi amefanya alinyoosha nchi akaiweka kwenye mstari.

"Vita ya siasa na uchumi ni ngumu sana"

Jpm aliposema amejitoa kwa wananchi wanyonge kuna watu hawakumuelewa.

"Ukigusa mzinga wa nyuki lazima uumie"

Pole sana jpm.
Kumpata mtu kama JPM tutasubiri sana!

Nchi imeshashikwa na majambazi!
 
Kwahiyo mnataka kutuambia wakati wa JPM hayo mambo yaliisha, au?

Hapa chini ni February 02, 2020

Mbaya zaidi, mzigo umekamatiwa ndani... yaani ulivuka vikwazo vyote!

Hapa DCEA nao wanatuambia habari za Lina Roman aliyekuwa amedakwa na unga February 2018

Kwa mara nyingine, February 01 DCEA hao hao wanatuambia habari za watu 3 waliokamatwa na dawa za kulevya huko Kunduchi

Hapa tena, tunaambiwa habari za Wanaija waliokuwa wamekamatwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 200 huko Mbezi

Najua mnataka kutuonesha JPM alikuwa kiboko ya wauza unga lakini ukweli ni kwamba, unga umeendelea kuwepo hata wakati wa JPM! Hapo juu ni mifano michache tu, na mbaya zaidi, dawa za kulevya zilikamatwa kwenye nyumba za watu!

Kwa maana nyingine, zilivuka vikwazo vyote, na ukiona wamekamatwa home, ina maana kuna mizigo mingine ilishakuwa mtaani!!!

Na kwa mwaka huu, sijawataja wale madogo wawili waliokutwa na 30kg huko Mbezi!!

Kwahiyo tusidanganyane kwamba leo hii mtu akikamatwa na unga, eti "warejea kwa kasi" wakati waliendelea kuwapo!

Na kuwakumbusha tu ni kwamba, China wame-advance kwenye masuala ya ulinzi kuliko sisi! Mbaya zaidi, kule wanakunyonga kabisa! Pamoja na yote hayo, watu hadi kesho wanaendelea kupeleka mzigo China!!

What's so special kilichokuwapo wakati wa JPM hadi kiwafanye watu waiogope TZ kuliko China au Iran?!

Uhuru wa vyombo vya habari uliminywa kutangazwa matukio kama hayo akabaki tu Herode ndo anatrend ili nchi ionekane safi lakini matukio ni yale yale
 
Na ukweli wenyewe ndo wenyewe!!! Kuna mambo mengi yalikuwa yanapita kimya kimya! Ni ngumu sana kukuta hizo habari kwenye mass media zetu!
 
Kwa masikitiko makubwa naangalia jinsi wasafirishaji wa Madawa ya kulevya wameona kuwa huu ni muda muafaka kuanza biashara yao haramu, baada ya lile tukio la kukamatwa kwa kiwango kikubwa zaidi ya tano moja kule lindi ambapo ukisoma muendelezo wake kwenye magazeti utaona hati ya mashtaka imebadilishwa na kuandika kiwango kidogo cha Madawa kuliko kile cha awali, watanzania wengine wamekamatwa nchini India 🇮🇳 wakiwa na kilo mbili za cocaine kama chanzo kinavyoonyesha kwenye picha, hii inaenda sambamba na idadi kubwa ya watumiaji ambao wameanza kuonekana katika mitaa yetu...swali langu ni kwa nini wanadhani sasa ni muda sahihi?

View attachment 1771724

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Ni muda sahihi madhambi yote kurudi.
Juzi nimesikia mpuuzi mmoja akisema "mama amesema kazi iendelee, kwahiyo wanafunzi tutawatia mimba na kesi zitaishia police.

Vibaka, najambazi mitaani wanatamba hawana wa kuwazuia.

Nidhamu ya kazi maofisini imepungua.

Yeyote aliemuona jpm mbaya amini nawaambia miaka itapita mingi sana bila kupata rais makini kama jpm.
Sisemi kwamba hakuwa na mapungufu ya kibinadamu hapana. Ila kazi amefanya alinyoosha nchi akaiweka kwenye mstari.

"Vita ya siasa na uchumi ni ngumu sana"

Jpm aliposema amejitoa kwa wananchi wanyonge kuna watu hawakumuelewa.

"Ukigusa mzinga wa nyuki lazima uumie"

Pole sana jpm.
nidhamu ya kazi iliwahi kuwa nzuri?
 
Kwahiyo mnataka kutuambia wakati wa JPM hayo mambo yaliisha, au?

Hapa chini ni February 02, 2020

Mbaya zaidi, mzigo umekamatiwa ndani... yaani ulivuka vikwazo vyote!

Hapa DCEA nao wanatuambia habari za Lina Roman aliyekuwa amedakwa na unga February 2018

Kwa mara nyingine, February 01 DCEA hao hao wanatuambia habari za watu 3 waliokamatwa na dawa za kulevya huko Kunduchi

Hapa tena, tunaambiwa habari za Wanaija waliokuwa wamekamatwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 200 huko Mbezi

Najua mnataka kutuonesha JPM alikuwa kiboko ya wauza unga lakini ukweli ni kwamba, unga umeendelea kuwepo hata wakati wa JPM! Hapo juu ni mifano michache tu, na mbaya zaidi, dawa za kulevya zilikamatwa kwenye nyumba za watu!

Kwa maana nyingine, zilivuka vikwazo vyote, na ukiona wamekamatwa home, ina maana kuna mizigo mingine ilishakuwa mtaani!!!

Na kwa mwaka huu, sijawataja wale madogo wawili waliokutwa na 30kg huko Mbezi!!

Kwahiyo tusidanganyane kwamba leo hii mtu akikamatwa na unga, eti "warejea kwa kasi" wakati waliendelea kuwapo!

Na kuwakumbusha tu ni kwamba, China wame-advance kwenye masuala ya ulinzi kuliko sisi! Mbaya zaidi, kule wanakunyonga kabisa! Pamoja na yote hayo, watu hadi kesho wanaendelea kupeleka mzigo China!!

What's so special kilichokuwapo wakati wa JPM hadi kiwafanye watu waiogope TZ kuliko China au Iran?!
Watu wana yao
 
Hawa wasukuma wachache ni wakupuuzwa tu, wanamsakama mama, lengo wamkwamishe, dawa yake awanyooshe tu ili wamsahau uyo mungu wao
 
Ni muda sahihi madhambi yote kurudi.
Juzi nimesikia mpuuzi mmoja akisema "mama amesema kazi iendelee, kwahiyo wanafunzi tutawatia mimba na kesi zitaishia police.

Vibaka, najambazi mitaani wanatamba hawana wa kuwazuia.

Nidhamu ya kazi maofisini imepungua.

Yeyote aliemuona jpm mbaya amini nawaambia miaka itapita mingi sana bila kupata rais makini kama jpm.
Sisemi kwamba hakuwa na mapungufu ya kibinadamu hapana. Ila kazi amefanya alinyoosha nchi akaiweka kwenye mstari.

"Vita ya siasa na uchumi ni ngumu sana"

Jpm aliposema amejitoa kwa wananchi wanyonge kuna watu hawakumuelewa.

"Ukigusa mzinga wa nyuki lazima uumie"

Pole sana jpm.
Mchukueni gwajima muende mkamfufue uyo mungu wenu wa bandia kenge nyinyi, msitake kumkwamisha rais mbuzi wachache wenye ukabila
 
Back
Top Bottom