Hahahhahha nashukuru kwa angalizo Niko.makin na nitaongeza umakini.Angalia vitoto vya CHUO.
Vita kuliza na kukurudisha kijijini ukiwa choka MBAYA SAAAANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana mkuuKama upo maeneo ya chuo nivizurii sanaa ukiweka nahuduma zakipesa kama vile m-pesa, tigo pesa na airtel money utojutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua huu ushauri mkuu.Namna nyingine ya kuboresha ni pmoja na kuwa na daftari la kuorodhesha bidhaa ambazo huna na mteja ameiulizia, mteja akiuliza bidhaa wewe note mahali mwambie imeisha tutaileta, then unasikilizia wngapi wataiulizia kisha unaileta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fair competition au sio?NITAJIE MTAA ULIOPO ILI NA MIMI NIJE KUFUNGUA KWA PEMBENI YAKO ILI TUCHANGAMSHE KIJIWE- WAJE WATEJA WENGI!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
kcmc, karibuNITAJIE MTAA ULIOPO ILI NA MIMI NIJE KUFUNGUA KWA PEMBENI YAKO ILI TUCHANGAMSHE KIJIWE- WAJE WATEJA WENGI!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua huu ushauri mkuu.
Huwezi kuchukua assumptions za watu tu, angalia kitu gani kinauliziwa
Ngoja nami nikupe ushauri wangu kwa kipindi ambacho wanaingia wanachuo wa mwaka wa Kwanza (wapya) basi hapo mbele ya duka lako weka meza na uuze vitu vya electronic kama charge, USB, flash drive, Bluetooth speaker, memory card, earphones, cover za simu n.k
Note: Ni kwa kipindi tu ambacho first year wanaingia (biashara ya msimu).
Pia usisahau Jagi la Heater la kuchemshia maji na chai, Pasi, extension cable, plug, Pia ndoo za maji, jaba, Mapazia, na mashuka hivi ni vitu commoni sana tumiwa shule. Kama upo karibu na hostel Basi weka na kabati la kuzia bite bite, sambusa,maajdazi chapati nk ukipata na oven ndio utaipenda hii bishara mteja akija unampashia kabisa.
Pia usisahau Jagi la Heater la kuchemshia maji na chai, Pasi, extension cable, plug, Pia ndoo za maji, jaba, Mapazia, na mashuka hivi ni vitu commoni sana tumiwa shule. Kama upo karibu na hostel Basi weka na kabati la kuzia bite bite, sambusa, maajdazi chapati nk ukipata na oven ndio utaipenda hii bishara mteja akija unampashia kabisa
Ushauri wako ni muhimu maana una experience/ uzoefu wa kutosha na unaweza share na mm/ sisi sababu zilizokupelekea ukafilisiki ili na sisi tunaoingia tuwe makini.