Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Namna nyingine ya kuboresha ni pmoja na kuwa na daftari la kuorodhesha bidhaa ambazo huna na mteja ameiulizia, mteja akiuliza bidhaa wewe note mahali mwambie imeisha tutaileta, then unasikilizia wngapi wataiulizia kisha unaileta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua huu ushauri mkuu.

Huwezi kuchukua assumptions za watu tu, angalia kitu gani kinauliziwa
 
Habari,

Mimi nina bakery yangu nataka kuboresha, nataka kuuza bidhaa mnazipenda. Swali langu changamoto gani mnazipata ktk bidhaa mnazonunua ktk bakery nyingine na bidhaa gani huwa mnanunua zaidi?
 
Ngoja nami nikupe ushauri wangu kwa kipindi ambacho wanaingia wanachuo wa mwaka wa Kwanza (wapya) basi hapo mbele ya duka lako weka meza na uuze vitu vya electronic kama charge, USB, flash drive, Bluetooth speaker, memory card, earphones, cover za simu n.k

Note: Ni kwa kipindi tu ambacho first year wanaingia (biashara ya msimu).
 
Nashukuru sana

nashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia usisahau Jagi la Heater la kuchemshia maji na chai, Pasi, extension cable, plug, Pia ndoo za maji, jaba, Mapazia, na mashuka hivi ni vitu commoni sana tumiwa shule. Kama upo karibu na hostel Basi weka na kabati la kuzia bite bite, sambusa,maajdazi chapati nk ukipata na oven ndio utaipenda hii bishara mteja akija unampashia kabisa.
 
Nashukuru sana napata ufahamu wa mambo mengi sana
Pia usisahau Jagi la Heater la kuchemshia maji na chai, Pasi, extension cable, plug, Pia ndoo za maji, jaba, Mapazia, na mashuka hivi ni vitu commoni sana tumiwa shule. Kama upo karibu na hostel Basi weka na kabati la kuzia bite bite, sambusa, maajdazi chapati nk ukipata na oven ndio utaipenda hii bishara mteja akija unampashia kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom