Biashara ya duka stress tupu

Naomba niweke kumbukumbu sawa nafanya biashara ya duka mwaka wa 3 sasa na inaenda vizur ila na inanipa faida nzur tu

Ila haina free time yani no bataz muda wote upo shop

But my future nanza kukita mizizi kwenye poultry cuz ndo itanipa free time
huna msaidizi?
 
Watu mnajua kuhukumu wengine duuuh" WEWE UMEKAANIWA AKILI MPK MWILI" Hii si sawa kwa kweli
 
Bora poultry kuna Uhuru wa muda

Unaingia shamba saa 7 unawahudumia hadi mida ya saa 8 mchana unawatizama tena then unawez ukaendelea na mambo mengine kijana wa kaz au wife akaja kuwakagua tena in fact poultry hakuna stress
Jaribu huko!!
 
Fikrahasi hizi mkuu embu tumia akili yako vizuri.
1/Swala la wachawe wewe mtafute MUNGU huyo ndio kinga na dawa yako, mchawi hakusogelei ng'oo.
2/Free time ni swla la wewe kupanga ratiba yako. Unaweza tenga mida au siku za kufurahia maisha hasa wikiend au ukiona utapoteza wateja sio mbaya ukamwacha mtu dukani kwako kwa hizo siku halafu the siku nyingine unakua unasimamia wewe peke yako.
3/Yawezekana unapenda sana bata ndio maana hupendi kujishangaisha kwasababu kwa mtu wa kawaida masaa au siku chache zinakutosha kabisa kufurahi.
 
Mkuu biashara ya duka inahitaji moyo sana cuz masaa 24 ya muda wako unaumalizia shop
Sidhan kama bongo tushafikia levo za kuuza duka 24hr non-stop.

Sjaelewa unauza bidhaa gan hizo ambazo 24hr duka lako linakua wazi kuwasubir wateja.

Ufafanuz
 
Naomba niweke kumbukumbu sawa nafanya biashara ya duka mwaka wa 3 sasa na inaenda vizur ila na inanipa faida nzur tu

Ila haina free time yani no bataz muda wote upo shop

But my future nanza kukita mizizi kwenye poultry cuz ndo itanipa free time
Wewe utakua sio mwny duka, utakua umewekwa na boss wako au mzazi wako.

Kwa nnavofahamu
mfanyabiashara aliye serious na biashara yake hawez kua na mawazo ya kitoto kama hayo.
(Eti haina freetime, No bataz)

Mfanyabiashara alie serious;
1.Always huwaza jinsi ya kukomaa dukani, kuongeza usimamizi ili aongeze mauzo yake na aweze kupata mafanikio haraka iwezekanavyo.

Na sio kuwaza Kukaa mbali na duka lake.

2.always huwaza jinsi ya kubana matumizi ili aweze kukuza mtaji wake kutokana na faida itokanayo na biashara yake.

Na sio kuwaza kula bats ili kufuja mtaji wa biashara yake.

MTOA MADA INABIDI UJITAFAKARI KWA MAKINI
 
Ajiri mtu then uendelee na bata batani
 
Ama kweli biashara huanza na Positive Mind.
Mtaji bila positive mind kumbe si chochote.
 
Ukitaka kujua uzuri wa D pata F, usiache kitu ulichokijenga for 3 years, kumbuka principle of consistency kijana..yajayo hayana uhakika.😱😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…