Hahaha umeongea fact mkuu biashara ya duka inachosha asikwambie mtuWrite your reply... Ukweli haipingiki hiyo biashara haina uhuru yaani ukiiendekeza maisha yote utamaliza sehemu moja tu hapo dukani kuna duka moja hapa maeneo ya mtaani wanafungua saa 12 asubui hapo ni marathon hadi saa 5 usiku kesho tena sasa maisha gani hayo binafsi malengo yangu kuwekeza kwenye biadhara hata nne ambapo watu nimewaajiri arafu moja nakaa mwenyewe hivyo nikiingia kazini nafunga mapema tu naenda home kula movie na mtoto mkali.
Bora poultry kuna Uhuru wa muda
Unaingia shamba saa 7 unawahudumia hadi mida ya saa 8 mchana unawatizama tena then unawez ukaendelea na mambo mengine kijana wa kaz au wife akaja kuwakagua tena in fact poultry hakuna stress
umeongea kwa hisia kama unajua kila kitu kinachoendelea kariakoo in and out..Akili zako maziwa mgando, achana na biashara ya duka sasa kawe mpiga debe ili usiwe unakaa sehemu moja.
.
Kurogwa ni unajiroga mwenyewe na hautofanikiwa kamwee. Biashara inaendeshwa na ubunifu na utayari, ingekuwa hayo unayoyaamini ni ya kweli maduka mengi ya kariakoo yasingekuwepo WEWE UMELAANIWA AKILI MPAKA MWILI
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Wewe utakua sio mwny duka, utakua umewekwa na boss wako au mzazi wako.
Kwa nnavofahamu
mfanyabiashara aliye serious na biashara yake hawez kua na mawazo ya kitoto kama hayo.
(Eti haina freetime, No bataz)
Mfanyabiashara alie serious;
1.Always huwaza jinsi ya kukomaa dukani, kuongeza usimamizi ili aongeze mauzo yake na aweze kupata mafanikio haraka iwezekanavyo.
Na sio kuwaza Kukaa mbali na duka lake.
2.always huwaza jinsi ya kubana matumizi ili aweze kukuza mtaji wake kutokana na faida itokanayo na biashara yake.
Na sio kuwaza kula bats ili kufuja mtaji wa biashara yake.
MTOA MADA INABIDI UJITAFAKARI KWA MAKINI
Movie+mtoto mkali sio?Dogo maliza chuo uje mtaani utajiona ni fala kwa mawazo haya nakwambia.Write your reply... Ukweli haipingiki hiyo biashara haina uhuru yaani ukiiendekeza maisha yote utamaliza sehemu moja tu hapo dukani kuna duka moja hapa maeneo ya mtaani wanafungua saa 12 asubui hapo ni marathon hadi saa 5 usiku kesho tena sasa maisha gani hayo binafsi malengo yangu kuwekeza kwenye biadhara hata nne ambapo watu nimewaajiri arafu moja nakaa mwenyewe hivyo nikiingia kazini nafunga mapema tu naenda home kula movie na mtoto mkali.
Ushawahi kufanya hii biashara mkuu?Uza spea za gari au hata pikipiki hakik hutajuta kwani wateja wake ni mmoja mmoja na unahudumia huku umekaaa na INA faida sana..
Una Maana gani we Jamaa?Hii biashara inawafaa wanawake,duka n gereleza
Movie+mtoto mkali sio?Dogo maliza chuo uje mtaani utajiona ni fala kwa mawazo haya nakwambia.
All the best mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]mtaani simpo tu mkuu
Wanaume wa dar hawataki kazi ngumu mkuu.Una Maana gani we Jamaa?