Million 200 dhahabu hizo ni kilo si chini 300..habari wanajamii wenzangu ,,, nngependa kupata mawazo hasa kwa waliowajasiliamali,, mm nimekuwa mchimbaji mdogo eneo moja hapa nchini nmeanza kuchimba miaka 9 ilopita ,, kwa bahati wiki ilopita nilibahatika nikapata dhahabu ambayo imeniingizia milioni 200 na kitu,,
nilikuwa nataka kuachana na kazi ya uchimbaji maana ni ngumu sana , napenda nifanye biashara ,, na ni biashara ipi naweza anza na nayo?
Wewe ni mwongo.. Million 200 kwenye dhahabu ni pesa nyingi mno..ni ngumu hii biashara na kuwa dealer mtaji mdgo na kutapeliwa rahisi sana
Na wewe unaisumbua akili yako kwa huu uzushi?Tafuta biashara yoyote uanze na mtaji mdogo kama 20m halafu kuwa nayo mpaka ufikie mtaji wa 200m. I did the same,ila kuanza na 200m kwa kitu kipya, sijui.
It's more safer kujenga nyumba na kuipangisha..Ukijenga nyumba ya m80 unaipangisha kwa bei gani kwa mwezi? 500,000? Fikiria mtu anawekeza kibanda cha TigoPesa mtaji haufiki 5m kwa mwezi anapata over 1m kulingana na eneo, wewe ukajenge nyumba m80 upate kodi kwa mwezi 500,000/-!
Angejua watu wanavyo pukutisha mitaji angebaki huko mana sizani kama kuna njaa sana na ukibahatisha huko unauwezo wa kufanya jambo kubwa.Kwasababu unayajua madini vizuri kwanini usiwe dealer? Unanunua kwa wachimbaji wadogo halafu unawauzia wengine.
Prondo,mimi siyo mtaalamu wa mambo ya biashara lakini kwa mtaji wa milioni themanini na kuingiza laki tano kwa mwezi siyo mbaya. Ni biashara halali chache sana ambazo unaweza kupata faida ya zaidi nusu milioni kwa mwezi kwa mtaji wa milioni themanini.Ukijenga nyumba ya m80 unaipangisha kwa bei gani kwa mwezi? 500,000? Fikiria mtu anawekeza kibanda cha TigoPesa mtaji haufiki 5m kwa mwezi anapata over 1m kulingana na eneo, wewe ukajenge nyumba m80 upate kodi kwa mwezi 500,000/-!
Kujua tu kama wa inautapele imetosha kuifahamu tayar hakuna biashara isio na utapeli ni uwemjanja tu wa huo utapeli tenga kiasi kidogo cha pesa ndo uzungushie huna haja ya kutia yote na muhimu ufanyie maeneo hayo uliokaa kwa miaka 9inautapeli mwingi ndo maana naiepuka bora kuchimba kuliko kuwa dealer ni risk
We jamaa bhana..Nunua mbunge au diwani wa cuf au chadema kisha unawauzia ccm.
Utapiga hela ndefu.
Yaani uwekeze milioni themanini upate laki tano kwa kuwa nyumba sio biashara ni aset sawa ila ukiifanya biashara ni hasara tasilimuProndo,mimi siyo mtaalamu wa mambo ya biashara lakini kwa mtaji wa milioni themanini na kuingiza laki tano kwa mwezi siyo mbaya. Ni biashara halali chache sana ambazo unaweza kupata faida ya zaidi nusu milioni kwa mwezi kwa mtaji wa milioni themanini.
K.koo watu wanabadilishana tu flem hali sio kama ilivyokua imebadilika sanaa hakuna wageni tena wanaokuja kununua bidhaa.Mfano biashara ya nguo from China, unachukua frame kariakoo kwa 6m kwa mwaka. Unaenda China unachukua mzigo wa kama 20m unakuja kuuza. Jinsi utakavyoona biashara inaenda n unavyojifunza mwisho wa siku unakuwa unaleta containers kadhaa kama Wakinga. You grow gradually....
Wakati mtaani kumejaa maneno kama yako wengine mauzo yanaongeka mwezi kwa mwezi. Game ime-change only the fittest will survive. Be the best,unique....biashara ya mazoea haina nafasi sasa hivi.K.koo watu wanabadilishana tu flem hali sio kama ilivyokua imebadilika sanaa hakuna wageni tena wanaokuja kununua bidhaa.
Wale waliokua wanaingiza kontena 4 kwa mwezi kipindi hichoo. basi kwa sasa akimaliza 1 ndani ya mwezi huyo anamali nzuri sana.
Nyumba itabaki kwa myaka mingi lakini wekezo la mda mlefu.Ukijenga nyumba ya m80 unaipangisha kwa bei gani kwa mwezi? 500,000? Fikiria mtu anawekeza kibanda cha TigoPesa mtaji haufiki 5m kwa mwezi anapata over 1m kulingana na eneo, wewe ukajenge nyumba m80 upate kodi kwa mwezi 500,000/-!
Mkuu afadhali umesema wewe sio mtaalam wa biashara. Hata mimi sio mtaalam ila siwezi kuwekeza 80m nipate 500,000!Prondo,mimi siyo mtaalamu wa mambo ya biashara lakini kwa mtaji wa milioni themanini na kuingiza laki tano kwa mwezi siyo mbaya. Ni biashara halali chache sana ambazo unaweza kupata faida ya zaidi nusu milioni kwa mwezi kwa mtaji wa milioni themanini.
Na mimi nimehisi hivyo wenye hamsini wanazunguusha iweje 200 ashindwe kusingizia utapeli na hana ugeni nayoWewe ni mwongo.. Million 200 kwenye dhahabu ni pesa nyingi mno..
Huyu mleta mada anaacha kazi yake ya uchimbaji. Anataka biashara ingine ni wazi anategemea biadhara hio kula,kuvaa etc yrye na familia yake. Sasa nyumba ya kodi 500,000 atakula na kutunza familia yake? Acheni utani.Nyumba itabaki kwa myaka mingi lakini wekezo la mda mlefu.
Yaani kama mtu unawekeza m 80 ukapate laki tano kwa mwezi utakuwa una matatizo ya ufikiriMkuu afadhali umesema wewe sio mtaalam wa biashara. Hata mimi sio mtaalam ila siwezi kuwekeza 80m nipate 500,000!
Ha haa jamaa huenda anapiga sana hela.Prondo,mimi siyo mtaalamu wa mambo ya biashara lakini kwa mtaji wa milioni themanini na kuingiza laki tano kwa mwezi siyo mbaya. Ni biashara halali chache sana ambazo unaweza kupata faida ya zaidi nusu milioni kwa mwezi kwa mtaji wa milioni themanini.
Wewe ni mwongo.. Million 200 kwenye dhahabu ni pesa nyingi mno..
Huwa naepuka being judgemental.Na wewe unaisumbua akili yako kwa huu uzushi?