Biashara ya kuanzia mtaji milion 200

K.koo watu wanabadilishana tu flem hali sio kama ilivyokua imebadilika sanaa hakuna wageni tena wanaokuja kununua bidhaa.

Wale waliokua wanaingiza kontena 4 kwa mwezi kipindi hichoo. basi kwa sasa akimaliza 1 ndani ya mwezi huyo anamali nzuri sana.
wewe endelea kujidanganya tu".... watu wanaendelea kufanya yao ..na maisha yanasonga""....

Aliwahi kusema Abraham Lincoln " Nyakati ngumu hazidumu lakini wagumu wanadumu
 
Yaani kama mtu unawekeza m 80 ukapate laki tano kwa mwezi utakuwa una matatizo ya ufikiri

Ila kama unawekeza hiyo hela kama aset sawa. Au mtu ane ogopa kuharibu hela

Ila mfanya biashara hawezi kukubali kuwekeza hela hiyo kwa hiyo faida
yaaani wawekeza ml.80 iliupate 500k per month ..huo ni zaidi ya uchizi
 
Mi numuuza diwani wangu 1 na Mbunge, bei maelewano!
 
Wazo la 1: Biashara ya duka.
Tafuta miji 20 michanga inayochipukia yenye uhitaji zaidi na mahitaji ya jumla ya nyumbani kama, sabuni, mafuta, n.k fungua maduka20 yenye thamani ya Tshs million 8 kila duka. Tafuta mtalaamu wa masuala ya pesa akutengenezee mfumo wa jumla wa mauzo. Yaani bidhaa zote zinakuwa kwenye system kila inapotoka bidhaa huku inajirekodi na kuongeza kiasi cha pesa. Possibly kwa mtaji wa million 8 mauzo ya siku hayatakuwa chini ya laki 1 kwa siku. So utaingiza million 2 kwa siku na kwa mwezi mmoja itakuwa 2,000,000 x 30= 60,000,000/= hapa rudisha million 50 kununua biadhaa na kulipa wafanyakazi. Baki na 10m faida ukienda kwa mwaka mmoja utakuwa umeshajua biadhara ikoje na changamoto zake kisha kama inalipa ongeza maduka mengin 10. Ukija kufikisha maduka 100 hapa bongo pamoja na hasara za kuibiwa n.k Mengi na MO watakuwa ni rafiki zako.

Wazo no 2.
Ifukie chini million 100 kwenye kilimo cha mpunga Morogoro au nyanda za juu kusini. Ukija kuvuna hii nakuhakikishia zitakuwa 200million. Maelezo zaidi kafanye survey mwenyewe.

Wazo no 3.
Iweke Forex trade na lot size ya 0.5 position mbili tu kwa mwka utapata million zingine 200. Taarifa zaidi muone memmber anaitwa ONTARIO

Wazo namba 4.
Usiogope biashara za risk ndo zenye pesa na hakuna biashara isiyo na risk.
Nunua viwanja kwenye maeneo yanayochipukia kisha uza baada ya mwaka mmoja though faida yake si kubwa sana lakini ni biashara ambayo haina risk.

Wazo na 5.
Nikopeshe mimi million 20 tu dhamana ipo baada ya mwaka nikurudishie million ..........(sema wewe)

Kama vipi nitafute mawazo ya biashara ninayo mengi
 
Sizungushi pesa ndefu wala nini,nina pesa ya kubadilishia mboga na kutunza familia yangu na chenji ya kula bata inabaki.Milioni themanini kama mtaji na kuingiza faida ya laki tano ni pesa nzuri labda kama unategemea faida kuendesha maisha yako na familia,lakini kama hiyo laki tano inaingia kwenye savings account,ukizingatia unaweza ukaiuza hiyo nyumba kwa faida ya hata milioni thelathini baada ya miaka miwili.
 
Imekaa poa sana hiii jamaa, hope nashawisika kuifata
 
Duuu kwa hiyo ukiwekeza Million 80 unapata faida laki 3 kwa mwezi sio .
Kama ndo ivo biashara ngumu basi
 
daah nimekuwa mpole kwakuwa umeshajihami kwamba wewe sio mtaalamu wa biashara,80m kuingiza faida ya 5m ni wendawazimu,mkuu nahisi wewe ni mwalimu wa primary coz umetoa ushauri ukilinganisha na mshahara wako!
 
daah nimekuwa mpole kwakuwa umeshajihami kwamba wewe sio mtaalamu wa biashara,80m kuingiza faida ya 5m ni wendawazimu,mkuu nahisi wewe ni mwalimu wa primary coz umetoa ushauri ukilinganisha na mshahara wako!
Milioni80mtaji kwa mwezi laki tano kwa mwaka milioni sita
daah nimekuwa mpole kwakuwa umeshajihami kwamba wewe sio mtaalamu wa biashara,80m kuingiza faida ya 5m ni wendawazimu,mkuu nahisi wewe ni mwalimu wa primary coz umetoa ushauri ukilinganisha na mshahara wako!
Hiyo milioni themanini baada ya miaka mitatu ni zaidi ya milioni miamoja ishirini +milioni kumi na nane ya kodi ya miaka mitatu na risk ni ndogo.Mtoa mada amesema ana milioni mia mbili na ameomba ushauri na mimi nimetoa ushauri wangu kwa kutolea mfano milioni themanini hasa sielewi kwa nini unaonyesha dharau sijui mshahara wangu utakuwa ka wa walimu.Naomba uniambie kwa milioni themani ya kibantu kwa miaka mitatu unaweza ukazalisha shilingi ngapi kwa biashara unayolipa kodi halali na mimi nijifunze kitu.
 
Unamaanishaa nn hapa,,,,dhahabu hizo ni kilo si chini 300??
Inawezekana kabisa kupata 200m kwa mda aliopambanaa na ni dhahabu kg mbili na gram kadhaa waweza pata m 200 kutegemeana na bei ya soko
Yes, uko sahihi.. nilichanganya gram na kg
 
Kwa mwezi? Yaani niweke 80m nisubiri 500,000/- kwa mwezi? Hapana aisee bakini na uwekezaji wenu wa nyumba. Hata Uber inaishinda hio nyumba!
Mkuu unabishana na watu ambao mawazo yao sio saizi ya hiyo hela ndo mana wanaona Hata laki kwa mwezi ni sawa tuu.

Ila kiukweli kwa M 80 Hata kama sio faida basi isipungue mzunguka wa M 1 kwa siku ndo utaona faida ya kuwekeza kiasi hicho
 
Mkuu unabishana na watu ambao mawazo yao sio saizi ya hiyo hela ndo mana wanaona Hata laki kwa mwezi ni sawa tuu.

Ila kiukweli kwa M 80 Hata kama sio faida basi isipungue mzunguka wa M 1 kwa siku ndo utaona faida ya kuwekeza kiasi hicho
Mkuu sasa ukisoma mtu anasema 500,000/- kwa mwezi poa tu, unaweza kumwambia habari za 1m+ kwa siku? Nashukuru tunaongea same page.
 
Ukiweka Utt hiyo fedha (mfano Jikimu) utapata returns za a bit over 9% per annum. Hii ni sawa na sh 1,500,000 kwa mwezi. Minimal risk.

Halafu unaendelea kutafuta dhahabu.
 
Tafuta biashara yoyote uanze na mtaji mdogo kama 20m halafu kuwa nayo mpaka ufikie mtaji wa 200m. I did the same,ila kuanza na 200m kwa kitu kipya, sijui.
Kuanza na kitu kipya na kuinvest yote 200m ni very risk!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…