Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

Yeah ni kweli hii biashara ni tangu sodoma na gomora kama nilivoelezea kwenye chapisho langu
 
unachokisema ni kweli kabisa
 
Hivi jamani wahaya wauza mbususu bado wapo? Anzi hizo huko ndiko nilikojifunzia kandanda, nilipelekwa na mwanangu wa kitaa enz hizo za ubalu balu za barehe, akaulizwa leo umekuja na mukaka wako.
hii sasa sio ya wahaya tu imekuwa ni kwa makabila yote Tanzania
 
Hitimisho lako halijaeleweka wewe unaamini kipi.
Mara useme serikali isimamie iwe halali mala tena viongozi wa dini wasimame kidete isitishwe coz ina madhara mengi. Unaamini kipi mkuu??
Natoa uhuru pande zote mbili kwa wanaoitaji uhalari wa hii biashara na wale wanaoona ni kinyume na maadili
 
Kujiuza ni hulka ugumu wa maisha sio kigezo.
Wanaingiza pesa nyingi Sana kama shida ni mtaji ina maana miaka yote hio ashindwe kukusanya mtaji afanye biashara.
Pili ni ngumu kuthibiti sababu wengi ufanya kupitia mitandao pia
Ni biashara anaifanya yupo nyumbani na sasa wengi wana vyumba vyao ukihitaji huduma unawafata
 
kwel kabisa na imeajiri vijana wengi wakiwa madalali kwa kuanzisha makundi ambayp yana huduma izo
 
Unadhani wewe tu ndio una dem? Hata yesu alikua nae.... [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila binadamu [emoji119]
Mkuu unafika mbali kuwa na mpaka kidogo kwenye baadhi ya mambo hasa yanayohusu imani za watu
 
Dah mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…