white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
inategemea unataka kuifanya kwa kutoa wapi huo mchele!!kuna biashara ya jumla au rejareja!!wewe upo wapi tuanzie hapo kwanzaNinampango wa kuanzisha biashara ya mchele dar naomba kujua n mahali gan kunaeza kua na mzunguko mkubwa,garama na mtaji pia
Ndugu angu unaweza kunita mwehu but mm npo kuomba ushauri na information about hii issue maana kujifunza is a process nitajifunza hadi siku ya kufa sio kwsmba I have nothing about this issue but nafaka kuongeza maarifa zaidiBlaza uko Mbeya? Ughonile? Ila ni wehu sana kuwekeza pesa kiasi cha kufikia kununua gunia 500 bila kujua soko liko wapi,ni wehu kwakweli
Kilichonivutia kufanya biashara ya mchele n kua n zao ambalo linatumika sana kwa matumiz ya watanzaniaumevutiwa na nini kufanya biashara ya mchele.?
Nampango wa kuutoa sehem yoyote ambayo itakua karib mfano moro....inategemea unataka kuifanya kwa kutoa wapi huo mchele!!kuna biashara ya jumla au rejareja!!wewe upo wapi tuanzie hapo kwanza
Kilichonivutia kufanya biashara ya mchele n kua n zao ambalo linatumika sana kwa matumiz ya watanzania
Sawa....naomba uniambie mtaj gan mzr wawezakua mzur wa kuanziabasi tafuta kilinge mtaani au sokoni uanze kufanya unachokitaka
ila kama Ni kusafirisha huo mtaji bado ni mdogo
*umewahi Fanya hiyo biashara ya mchele au ya aina yeyote ile.? sehemu gani.?
*Huo mtaji umeupataje.?
Ndo mara ya kwanza naaanza hii biasharabasi tafuta kilinge mtaani au sokoni uanze kufanya unachokitaka
ila kama Ni kusafirisha huo mtaji bado ni mdogo
*umewahi Fanya hiyo biashara ya mchele au ya aina yeyote ile.? sehemu gani.?
*Huo mtaji umeupataje.?
Kwa io mtaj gan unaeza kua mzr wa kuanziaKama utachukulia hukhuk dar sawa ila kwa kutoa morogoro huo mtaji unaweza uskulipe vizur may be kama una mentor amabaye atakushauli
Mm naongea hiv kwa uzoefu wangu
Asante sana mkuu nashukuruAiseee
Hongera ila kwa miaka hii miwili biashara ya mpunga na mchele sio nzuri sana ukilinganisha miaka ya nyuma, kila kona ya nchi mpunga na mchele upo kwa wingi na mipaka nadhani bado haijafunguliwa ili kuwauzia majirani.
Zaidi biashara iko slow sana labda miezi ya january na february 19
Inategemea kwanza fremu utakod kwa sh ngapi lkn pia gharama ya kusafirisha mchele kutoka morogoro ina range kwenye8000-11000 kulingana na eneo huska sasa ukichukua mchele kule unaanzia 1100/= kwa sasa ila bei inabadilika mda wowote kulingana na mahitaji.Kwa io mtaj gan unaeza kua mzr wa kuanzia
Nampango wa kuutoa sehem yoyote ambayo itakua karib mfano moro....
Na pia mostly malengo yang n kufanya mauzo ya jumla meanwhile rejareja....na kwa jumla nauliza capital gan yawzakua nzr kuanzia
Anza kuuza mpunga wako mwezi wa sikukuu ya Christmas's na mwaka Mpya hadi February 2019. Baada ya hapo being hurudi kuwa chini sana.Ndugu angu unaweza kunita mwehu but mm npo kuomba ushauri na information about hii issue maana kujifunza is a process nitajifunza hadi siku ya kufa sio kwsmba I have nothing about this issue but nafaka kuongeza maarifa zaidi
1100 ukinunua kwa dalali,900 ndo bei ukiwa mashineni na kununua toka kwa mkulima mwenyeweInategemea kwanza fremu utakod kwa sh ngapi lkn pia gharama ya kusafirisha mchele kutoka morogoro ina range kwenye8000-11000 kulingana na eneo huska sasa ukichukua mchele kule unaanzia 1100/= kwa sasa ila bei inabadilika mda wowote kulingana na mahitaji.
Then mchele upakwe mafuta kupakia kweny gar n tsh 700/= na kushusha pia hivoo
Sasa angalia hizo gharama then unaweza kupiga mtaji uwe tsh ngap.
Naogopa kukwambia fedha taslimu. Ww angalia mwenyewe
Hapana mkuu mm nimetoka morogoro sehemu inaitwa mtimbira pale nimenunulia hiyo bei japo hata 900/= ipo nimetoka mwez wa nane labda sahz kama imeshukaa1100 ukinunua kwa dalali,900 ndo bei ukiwa mashineni na kununua toka kwa mkulima mwenyewe
Niko mtimbira sasa hv,Jana nlibahatisha kwa iyo Bei km kilo 200 hv ila kwa madalali sasa hv 1300 super kwa kilo.Hapana mkuu mm nimetoka morogoro sehemu inaitwa mtimbira pale nimenunulia hiyo bei japo hata 900/= ipo nimetoka mwez wa nane labda sahz kama imeshukaa
Niliingia kweny magodown na kununua kwa wakulima wakiwa wanatoka huko mashamban