Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia


Wenzenu wa Korosho wanalia

Ukusanye Mahindi ya 10 Million Halafu huna Shamba, Ombea WaJamaa Na kujitegemea wasikustukie
 

..hakuna guarantee kabisa....wakati wa njaa serikali inaweza kutamka kwamba mwisho wa kuuza ni gunia tano zilizobaki zote free au inazinunua yenyewe na lazima ukaonyeshe shamba liko wapi...
 
Kumbuka kuning'ing'iza kitambulisho cha elf 20 au leseni unapopeleka kuuza
 
Utatakiwa uonyeshe shamba kama walivyotakiwa wa korosho mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaishi Tanzania mkuu?

Hukuona sukari ilivyotaifishwa kile kipindi !

Hii awamu sio ya kuwekeza pesa, ukiwekeza jiandae kwa lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapokuwa na sera za nchi ambazo ziko so dynamic, tahadhari ni muhimu. Kama jamaa ana shamba aendelee na mpango wa kuwekeza mil 10.
Mkuu Huu woga wa waTz ndo hugeuka kuwa opportunity kwa wageni kuwekeza sehemu ambayo wengi tunaogopa km hivi

Wazo la Mkuu hapo juu ni zuri sana na sio lazima mtu uwe na 10ml. ndo uwekeze ata mtaji mdogo unaeza fanya hivo ukazalisha ata mara mbili ya mtaji wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usijaribu ata kidogo..utakuja kulia maana jamaa watakuja hadi na bunduki kwenye ghala kuwa umeficha chakula..ila kama utanunua kwa milioni 20 alafu wakati wa njaa ukayatoa sadaka kwa milioni 15 hakika watakupa zawadi wakati wa siku za neema
 
Mkuu sina tatizo na wazo la mjumbe kabisa. Its fantastic idea. Tatizo huchelewi kuulizwa shamba na wenye mamlaka. Kuna msemo kuwa wasiwasi ni akili na kunguru mwoga............. Ila hoja ni nzuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…