Serikali haiwezi taifisha mahindi ya mtu, ila wasiwasi ni kwamba kwa sasa serikali ina hifadhiu kubwa sana ya chakula hasa mahindi, kwa vyovyote vile mahindi yakipanda bei ,serikali inaweza fungulia magala yake na kushusha bei ya mahindi ko mfanyabiashara faida inakuwa kidogo. maana watu watanunua mahindi ya serikali amabapo pia baadhi ya maeneo yaweza kugawiwa bure.
ushauri wekaza kidogo kwa mahindi, mpunga, maharage na karanga ndo mpango mzima havidanganyi.
kama zipi hizo mdau share chochote basiMishe za pesa mingi kwa muda mfupi zipo ni wewe kuamua tu..
Mtaji wa laki 3-5 leo hii unaweza kuukuza hadi million 2-3 au zaidi ndani ya miezi miwili...
Hapa ndio mawazo ya biashara yaliko lala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni biashara nzuri hali ya uchumi ikiwa stable ila Kama ukame utashika kasi na kukawa na njaa jiandae kuambiwa umehodh maindi ili yawe scarce ujipatie faida haramu,thubutu utalua labda uwe mkulima afu hata ukiwa mkulima mtayauza kwa bei elekezi ya serikali,mahindi ni suala la national securityUkiwa na muda, naomba unieleweshe hicho kisa kutaifisha sukari.
Binafsi huwa naona biashara nzuri ni kununua mazao kwa bei ya chini, kipindi cha mavuno na kuyahifadhi ili kusubiri bei ipande ndipo uuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeipenda hii, GO BIG OR GO HOME!Go Big or Go Home
Mawazo ya wengi humu ni ya uoga sana
Mfanyabiashara mzuri anapaswa kuwa mjasiliamali fursa ipo kwa nini mtu asichukue
Hifadhi ya serikali kwa sasa haina uwezo wa kuhifadhi mahindi ya zaidi ya miaka 2 ko sio mengi kihivyo in case of prolonged hunger,Serikali haiwezi taifisha mahindi ya mtu, ila wasiwasi ni kwamba kwa sasa serikali ina hifadhiu kubwa sana ya chakula hasa mahindi, kwa vyovyote vile mahindi yakipanda bei ,serikali inaweza fungulia magala yake na kushusha bei ya mahindi ko mfanyabiashara faida inakuwa kidogo. maana watu watanunua mahindi ya serikali amabapo pia baadhi ya maeneo yaweza kugawiwa bure.
ushauri wekaza kidogo kwa mahindi, mpunga, maharage na karanga ndo mpango mzima havidanganyi.
tunanayaficha kama sukari 🙂🙂🙂🙂 watafanyaje?Hifadhi ya serikali kwa sasa haina uwezo wa kuhifadhi mahindi ya zaidi ya miaka 2 ko sio mengi kihivyo in case of prolonged hunger,
Nachosema hakuna mtu ataruhusiwa kuuza zaidi ya Bei itakayopangwa na serikali,hayo maneno yatunze
Kweli kabisa, tatizo mtajiHuu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.
Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.
Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.
Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
Yeah. Huwezi fanya biashara ya mahindi alafu useme hujawahi kucheza kamari.It's a risky business. Kuna jamaa yangu alinunua 2018 magunia 1000 ya mahindi shs. 40,000 akitegemea mwishoni mwa 2018 auze tshs. 80,000 to 120,000,baba kilichotokea imekuwa ni story yake tu ya maisha halafu ndio pesa pekee kubwa aliyowahi kupata from the bank, jamaa unaambiwa akastukia kuna ban marufuku kuuza mahindi nje bei ya mahindi iliporomoka gunia mpaka 30,000.Wadudu walikula yale mahindi kama hawana akili nzuri ikabidi awauzie watu flani walikuwa na mradi haraka haraka kwa tshs.28.,000 angalau asipoteze kabisa.Huyu jamaa hawezi kuelewa kabisa habari za mahindi.Ingawa 2017/2018 watu walipiga sana hela walipata profit more than 100%.Ni ku gamble tu mkuu, our environment and policies and are so unpredictable!
Sent using Jamii Forums mobile app
100% true!Kwa hii serikali hali ikiwa mbaya jeshi litaingizwa kuyatafuta yalipo na utanyang'anywa mahindi yako bila kujali cost uliyoingia ogopa sana sera za nchi zinapokuwa unpredictable
Wazo gani hilooMishe za pesa mingi kwa muda mfupi zipo ni wewe kuamua tu..
Mtaji wa laki 3-5 leo hii unaweza kuukuza hadi million 2-3 au zaidi ndani ya miezi miwili...
Hapa ndio mawazo ya biashara yaliko lala.
Sent using Jamii Forums mobile app