Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Serikali haiwezi taifisha mahindi ya mtu, ila wasiwasi ni kwamba kwa sasa serikali ina hifadhiu kubwa sana ya chakula hasa mahindi, kwa vyovyote vile mahindi yakipanda bei ,serikali inaweza fungulia magala yake na kushusha bei ya mahindi ko mfanyabiashara faida inakuwa kidogo. maana watu watanunua mahindi ya serikali amabapo pia baadhi ya maeneo yaweza kugawiwa bure.
ushauri wekaza kidogo kwa mahindi, mpunga, maharage na karanga ndo mpango mzima havidanganyi.

Karanga mbona ni kama miyeyusho hivi? Maana sijui mteja wake mkubwa ni nani
 
Ukiwa na muda, naomba unieleweshe hicho kisa kutaifisha sukari.

Binafsi huwa naona biashara nzuri ni kununua mazao kwa bei ya chini, kipindi cha mavuno na kuyahifadhi ili kusubiri bei ipande ndipo uuze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni biashara nzuri hali ya uchumi ikiwa stable ila Kama ukame utashika kasi na kukawa na njaa jiandae kuambiwa umehodh maindi ili yawe scarce ujipatie faida haramu,thubutu utalua labda uwe mkulima afu hata ukiwa mkulima mtayauza kwa bei elekezi ya serikali,mahindi ni suala la national security
 
Serikali haiwezi taifisha mahindi ya mtu, ila wasiwasi ni kwamba kwa sasa serikali ina hifadhiu kubwa sana ya chakula hasa mahindi, kwa vyovyote vile mahindi yakipanda bei ,serikali inaweza fungulia magala yake na kushusha bei ya mahindi ko mfanyabiashara faida inakuwa kidogo. maana watu watanunua mahindi ya serikali amabapo pia baadhi ya maeneo yaweza kugawiwa bure.
ushauri wekaza kidogo kwa mahindi, mpunga, maharage na karanga ndo mpango mzima havidanganyi.
Hifadhi ya serikali kwa sasa haina uwezo wa kuhifadhi mahindi ya zaidi ya miaka 2 ko sio mengi kihivyo in case of prolonged hunger,
Nachosema hakuna mtu ataruhusiwa kuuza zaidi ya Bei itakayopangwa na serikali,hayo maneno yatunze
 
tunanayaficha kama sukari 🙂🙂🙂🙂 watafanyaje?
 
Huu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.
Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.
Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.
Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
Kweli kabisa, tatizo mtaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's a risky business. Kuna jamaa yangu alinunua 2018 magunia 1000 ya mahindi shs. 40,000 akitegemea mwishoni mwa 2018 auze tshs. 80,000 to 120,000,baba kilichotokea imekuwa ni story yake tu ya maisha halafu ndio pesa pekee kubwa aliyowahi kupata from the bank, jamaa unaambiwa akastukia kuna ban marufuku kuuza mahindi nje bei ya mahindi iliporomoka gunia mpaka 30,000.Wadudu walikula yale mahindi kama hawana akili nzuri ikabidi awauzie watu flani walikuwa na mradi haraka haraka kwa tshs.28.,000 angalau asipoteze kabisa.Huyu jamaa hawezi kuelewa kabisa habari za mahindi.Ingawa 2017/2018 watu walipiga sana hela walipata profit more than 100%.Ni ku gamble tu mkuu, our environment and policies and are so unpredictable!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina hakika ni kwa sababu gani ila michango ya wadauwengi ipo NEGATIVE sana, Binafsi nadhani tuangalie tutafanyaje pamoja na

machangamoto ya serikali yetu zaidi ya kukatishana tamaa na maneno kama serikali itaingilia,hutapata soko, sijui utaambiwa

uoneshe shamba. Serikali ina mkono mrefu ila si kwenye mazao kama mahindi ambayo kila nyumba watu wanatumia unaweza

kuwauzia hata majirani tu na hata balozi asijue. anyway nimejaribu tu kuangalia upande wa pili wa shilingi kuna uwezekano watu

wakapiga hela sababu watu wa hali ya hewa wameshasema mwaka huu mvua zitakua chini ya kiwango apo tayari ni ishara nzuri

kwa wataalam wakushikilia dona.
 
It's a risky business. Kuna jamaa yangu alinunua 2018 magunia 1000 ya mahindi shs. 40,000 akitegemea mwishoni mwa 2018 auze tshs. 80,000 to 120,000,baba kilichotokea imekuwa ni story yake tu ya maisha halafu ndio pesa pekee kubwa aliyowahi kupata from the bank, jamaa unaambiwa akastukia kuna ban marufuku kuuza mahindi nje bei ya mahindi iliporomoka gunia mpaka 30,000.Wadudu walikula yale mahindi kama hawana akili nzuri ikabidi awauzie watu flani walikuwa na mradi haraka haraka kwa tshs.28.,000 angalau asipoteze kabisa.Huyu jamaa hawezi kuelewa kabisa habari za mahindi.Ingawa 2017/2018 watu walipiga sana hela walipata profit more than 100%.Ni ku gamble tu mkuu, our environment and policies and are so unpredictable!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah. Huwezi fanya biashara ya mahindi alafu useme hujawahi kucheza kamari.
 
Bei ya mahindi leo. Singida gunia la kilo 100 linauzwa 54000.

Arusha au manyara gunia hilo hilo linauzwa 100,000.

Nikichukua gunia 100 za mahindi singida nitatoa 5.4M. Usafirishaji kwa gunia moja ni 5000 hadi manyara. Kwa gunia 100 nitalipa 500,000 usafiri. Hapo sasa natakiwa kuwa na 5.9M

Nikienda kuuza gunia 100 manyara kwa bei ya 100,000 kila gunia nitapata jumla ya 10M. Nikitoa gharama za usafirishaji na hela ya mtaji nitabakiwa na jumla ya shilingi 4.1M.

Net profit hapa ni 4.1M.
Kazi hii naweza kuifanya ndani ya wiki moja kuanzia kukusanya magunia singida hadi kuyapeleka kuyauza manyara.
................................................................

Oya mwenye 5.9M ya haraka hapo aingie chimbo akapige hiyo hela. Faida ya milioni 4 ndani ya wiki moja sio hela kidogo. Hii ishu ni uhakika, hata kama hutapata hiyo 4M huwezi kukosa hata 2M.

Ngoja niendelee kujichanga kamtaji kakue nikapige hiyo hela.

Jioni njema.
 
Back
Top Bottom