Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Si kila mtu afanye unacho waza ww mwingine biashara yake ni kutoa mahindi kwa wakulima na kuleta mjini na kuwauzia wafanyabiashara wa mazao na wenye mashine.

Mchakato uko hivi, mkulima analima na kuvuna kisha anauza kwa wafanyabiashara wanao fuata mzigo wake shambani. Kisha huyo mfanyabiashara analeta mjini kuuza kwa wafanyabiashara wa nafaka wenye Fram na wenye mashine.

Sasa ukitaka kila mtu apaki kwenye mifuko unahis nn kitatokea? Anzia mkulima mpaka mfanyabiashara mwenye mashine. Kila kitu ni kutegemea sio kama unavyo fikiria ww.
Itakuwa vizuri, maana tutakuwa tumewaondoa hao madalali hapo katikati ambao wanalalia sana wakulima.
 
Itakuwa vizuri, maana tutakuwa tumewaondoa hao madalali hapo katikati ambao wanalalia sana wakulima.
Madalali wanawalalia vipi wakulima? Mkulima kalima shamba lake la mahindi kisha baada ya mda anapeleka kuuza hayo mahindi. Aya Dalali yy ni mjuzi wa masoko, sasa unataka akutafutie soko bure?
 
Tatizo Zambia kuna settlers waliokimbia toka Zimbabwe, wamelima mahindi mengi sana, tena ni GMO crops bei zao ni za kutupa. Hii imepelekea kupata soko zuri sana Kenya baada ya Tanzania kusitisha kuwauzia mahindi mwaka jana.
 
Usiwe na haraka endelea kuhold tu kama yapo sehemu nzuri kuanzia mwezi wa tatu hapo bei ndo zinapandaga kwa kasi hata zisipopanda tunza tu utauza hata mwakani. Au pia unaweza kukoboa na uuze unga hapo utaona faida kama utapata tenda za kupeleka unga mashuleni.
Aliyekushauri kuongeza dhamani itakuwa nzuri sana.mwezi wa tatu mwishoni huku tukuyu mbeya tunaanza kuvuna
 
Kwa ex0erience yangu kuhusu biashara ya mahindi ukishaona kuanzia mwez wa12 ad wa pili bei haijapanda bora uuze kwa beio ilioko sokon coz mwez wa nne na na watano mahind mapya yanaaza kuingia sokon so ni ngum sna kupanda mara nyng bei hua inapanda mwez wa pili na watatu ispopanda hapo ni bas tena ad next season...
 
Madalali wanawalalia vipi wakulima? Mkulima kalima shamba lake la mahindi kisha baada ya mda anapeleka kuuza hayo mahindi. Aya Dalali yy ni mjuzi wa masoko, sasa unataka akutafutie soko bure?
Wananunua kwa bei ndogo sana ili wapate mwanya wa kutengeneza faida.
 
Usiwe na haraka endelea kuhold tu kama yapo sehemu nzuri kuanzia mwezi wa tatu hapo bei ndo zinapandaga kwa kasi hata zisipopanda tunza tu utauza hata mwakani. Au pia unaweza kukoboa na uuze unga hapo utaona faida kama utapata tenda za kupeleka unga mashuleni.
Jambo la uhakika litakalomsaidia mkulima na mfanyabiashara ni kuomba kuruhusiwa kuuza mahindi nje ya nchi.
 
Kuwa mvumilivu mkuu msimu ujao mahindi yatakuw na bei sana hali ya mazao shamban sio nzur mvua hazinyesh mahind yanakauka huku
 
Kuyatunza ndio mtihani mkubwa, kama huna mahali salama pa kutunzia ni loss kubwa sana hiyo
 
Kwa ex0erience yangu kuhusu biashara ya mahindi ukishaona kuanzia mwez wa12 ad wa pili bei haijapanda bora uuze kwa beio ilioko sokon coz mwez wa nne na na watano mahind mapya yanaaza kuingia sokon so ni ngum sna kupanda mara nyng bei hua inapanda mwez wa pili na watatu ispopanda hapo ni bas tena ad next season...

exactly
 
Pole sana ndugu... ila kwa biashara ya mazao ni kawaida saana....

Na km ni mfanyabiashara hauwez pagawa na issue ndogo km uyo.

La msingi km unayo pesa ya kujikimu endelea na maisha ya kawaida... mahind piga dawa yaache usiwe na mapepe....

Huu mwaka demand itakuwa kubwa tu...

Baadh ya mikoa mvua zimezngua....

Ila usitegemee mwez wa 3... ni mpaka wa 6 iyo.... wa3 bei inakuwa chini ndio muda mahindi yanaanza vunwa na vyakula vinakua vingi tu.

Mi pia ninayo... nishapiga dawa yako store nanunua teena na huu mwaka nachanganya.... km kawaida wa 7 napiga bei.
 
Hivi kuna yale mahind ya rangi ya njano.. Kama yale kikwete analima msoga . Hivi bei yake kwa gunia ni sasa na haya meuoe au yana bei tofauti ??
 
Huwa nafuatilia sana news za Kenya, njaa inakolea soon. Na suala la mizengwe ya Biashara Rais Magufuli kawaagiza mawaziri wamalize hivyo sio ajabu soko LA Kenya likafunguka hivyo vuta subira.
Acha kuwapa hope watu, stock ni kubwa mno zaidi ya mahitaji.
 
Usiwe na haraka endelea kuhold tu kama yapo sehemu nzuri kuanzia mwezi wa tatu hapo bei ndo zinapandaga kwa kasi hata zisipopanda tunza tu utauza hata mwakani. Au pia unaweza kukoboa na uuze unga hapo utaona faida kama utapata tenda za kupeleka unga mashuleni.
Auze mwakani wakati shimo linataka kutema tena! Mwaka huu yamelimwa kwa wingi mwezi wa 3 wengi wanaanza kuvuna!
 
Back
Top Bottom