Si kila mtu afanye unacho waza ww mwingine biashara yake ni kutoa mahindi kwa wakulima na kuleta mjini na kuwauzia wafanyabiashara wa mazao na wenye mashine.
Mchakato uko hivi, mkulima analima na kuvuna kisha anauza kwa wafanyabiashara wanao fuata mzigo wake shambani. Kisha huyo mfanyabiashara analeta mjini kuuza kwa wafanyabiashara wa nafaka wenye Fram na wenye mashine.
Sasa ukitaka kila mtu apaki kwenye mifuko unahis nn kitatokea? Anzia mkulima mpaka mfanyabiashara mwenye mashine. Kila kitu ni kutegemea sio kama unavyo fikiria ww.