Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Mkuu Arusha kuna fursa na unaweza piga hela njoo pm

King'amuzi kipya cha Canal + ni 160k kinakuja na malipo ya mwezi mmoja bure hivyo ukinunua kwa mara ya kwanza hautalipia na utapata chanel zote za mpira yaani canal sport, 1,2,3 na 4.
Vinapatikana wapi hivi mkuu wana wakala hapa bongo ? Na kulipa malipo ya mwezi unalipaje

Vinapatikana wapi hivi mkuu wana wakala hapa bongo ? Na kulipa malipo ya mwezi unalipaje
Vinapatiakana Kigoma , Burundi na Rwanda na malipo ya mwezi kama unataka kutazama chaneli za mpira unatakiwa ulipie elfu 45000 kwa mwezi kuna jamaa yupo kigoma anaitwa Shankur ndie wakala pekee wa Canal + kwa hapa Tanzania , au kwa maelezo na habari zaidi tafuta ukurasa wa canal + east africa kama upo facebnok au tafuta uzi uliandikwa Sasa ni mwendo wa canal + jipatie dekoda yako kwa bei nafuu .

Hiyo biashara naitamani sana niifanye, hivi kwa kuanzia capital nisikose sh ngapi kwa miundombinu ukiondoa pango ya banda?

Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.

Betting only

mimi nakitaka kile kimashine cha kubetishia mkuu vipi nitaweza kupata abc zake kama unajua pliz maelezo au yeyote humu

Hiyo biashara naitamani sana niifanye, hivi kwa kuanzia capital nisikose sh ngapi kwa miundombinu ukiondoa pango ya banda?
usiogope kuanzisha biashara mkuu itafuatana nawe Tv zako na decoder basi mengine ndani ya mchezo kama hapa tunavyojuzana kuzikwepa baadhi gharama maana dstv anaumiza huyo

Kwa nini hamtumii ANDROID TV BOX? kupitia Android TV Box utapata Mobdro. Ndani ya Mobdro mechi karibu zote zinapatikana.Internet yako tu ya 4G itahusika.Nunua Android TV Box,nunua 4G router.Kazi imeisha
Kiasi gani cha data kinagharimu kwa kutazama mechi moja..?

Kwa nini hamtumii ANDROID TV BOX? kupitia Android TV Box utapata Mobdro. Ndani ya Mobdro mechi karibu zote zinapatikana.Internet yako tu ya 4G itahusika.Nunua Android TV Box,nunua 4G router.Kazi imeisha
Sijakuelewa vema kwenye Android TV box maana mm nanavyojua mobdro ni app? Mm ninayo lakini inasubua sana kwenye cm na ninatumia 4g

Nakipataje na malipo yake VIP?
Unaagiza kutoka kigoma kwa Shankur utaletewa popote ulipo Tanzania, na kuhusu malipo ya mwezi kama unahitaji chanel za michezo utalipia elfu 45 kwa mwezi ,mwezi mmoja baada ya kununua ila utakaponunua kwa mara ya kwanza hautakiwi kulipia mpaka mwezi unaofuata, Shukrani.

Back
Top Bottom