Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Nishati.

Badala ya kununua generator nunua sola watt 100= Tshs 140000
Betry N 80 =240000

Hii itapunguza gharama za mafuta ya generator, kelele na harufu ya petroli kwa wateja.

Badala ya kununua matv yote hayo anaweza kununua Moja kwa kuanzia baadaye mchongo ukikubali anaweka projector tu
 
Hallo hiyo inabidi uzime kwa ajili y ku recharge au mwendo mdundo nimeipenda hii na je inawasha laptop nikiweka inveta.
 
Kaka upo vzuri asante kwa kutupa nondo za kuongeza kipato zaidi
Kibanda umiza kinalipa sana.

Kuna ukumbi mmoja uko karibu na chuo cha uandishi wa habari kina capacity ya kuingiza watu 270 mechi za simba na Yanga huwa unajaa na kutema sababu ya kuwa kwenye location nzuri.

Tv zipo mbili na projector moja.
 
Mobisol zile watt 200 wanavyokopesha na TV yao ile 42 huwa included kwenye iyo offer yao ya mkopo.
 
Hallo hiyo inabidi uzime kwa ajili y ku recharge au mwendo mdundo nimeipenda hii na je inawasha laptop nikiweka inveta
Sola panel unakuwa unaitoa kila siku inajaza betri unatafuta fundi anakutengenezea inakuwa standby tu umeme ukikata wa sola unaendelea kufanya kazi.
 
Kipindi cha mvua vp hii mkuu haitasumbua.
 
Mobisol zile watt 200 wanavyokopesha na TV yao ile 42 huwa included kwenye iyo offer yao ya mkopo.
Ni njia nzuri pia lakini gharama itakuwa kubwa sana.

Kama sikosei ukikopeshwa na Mobisol kwa sola na tv ya specification hizo unalipia siyo chini ya million 5 kwa miaka hiyo mitano.

Wakati kununua sola ya aina hiyo kwa cash inaweza kuwa around 1m up to 1.5m
 
Sola panel unakuwa unaitoa kila siku inajaza betri unatafuta fundi anakutengenezea inakuwa standby tu umeme ukikata wa sola unaendelea kufanya kazi.
Nieleweshe mkuu unaijaza vp hii.
 
Hii kwel mkuu mm nmejionea huk wilayan watu wanapenda san ligi ya tanzania bara kuliko za ulaya labda iwe big mechi lakin za kibongo ata iwe friend mechi watu wanakuja kuangalia sema uzur huk tunachaji 1000 kwa hyo ata wakija watu 25 fresh tu.
Na hz mechi za kufuz champions league ya africa hela inapatikna coz naweza kupata watu zaid ya 55 kwa 1000 ndio mana naomba kila cku yanga na simba zifike hatua ya makundi nipige hela vzr
 
Unanunua sola Mono ambayo capacity yake kwenye mawingu inakuwa kubwa pia.
After all mvua haiwezi kunyesha siku zote.

Lakini pia tumeweka sola kama backup ya umeme ukikatika.
Yap mawazo mazuri nilichoona mimi kuna vijana wengi wamekulia mjini hawajui hali ikoje huko vijiji vingine.

Kuna kijiji mimi nina shamba langu watu wanalipa kuangalia chochote kwenye tv sababu hata umeme hamna wenye tv hawako kibiashara .

Na ikitokea mechi vijana wengi wenye pikipiki wote wanahama kijini wanafuata game. Kwa mfano mimi siangaliagi mecbi nyi ngine yeyote ila Barca wakicheza nitatoka tu. Nilishawai kuvunja mlango baada ya shemeji yenu kunifungia nisitoke usiku.

Hii kitu inalipa.
 
Kwa vijijini ligi ya Tanzania ndiyo inalipa na mechi za mashindano.

Lakini pia watu bado wanautaratibu wa kuangalia video hivyo siku hakuna mpira unaweka movies unachangisha kidogo kidogo.

Kuna michezo ya mbio za pikipiki na magari ukizitangaza pia zinaweza kuvutia sana nilijaribu kuziintroduce zilivutia wengi sana.
 
Hahahaha siku nyingine usivunje mlango Mkuu.
 
Ni kwel mkuu lakin hapa nilipo mm weng ni boda boda na wazee ndio weng czan kam nitawapat kweny movie.
 
Nunua projector mkuu moja ni 840000 epson eb s05 ata kam kuna mwanga inaonesha vzr tu inatanuka had inch 350 ni automatic unavyokaa mbali na ukuta ndio inazid kuwa kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…