Erick Richard R-Madrid
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 399
- 282
Muda unaenda siku zinayoyoma, muda wa kuanza project ndo huu mkuu.Nna wazo kama lako mkuu nitafungua na mm soon
Kila la kheri ukipata mtaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda unaenda siku zinayoyoma, muda wa kuanza project ndo huu mkuu.Nna wazo kama lako mkuu nitafungua na mm soon
Hallo hiyo inabidi uzime kwa ajili y ku recharge au mwendo mdundo nimeipenda hii na je inawasha laptop nikiweka inveta.Nishati.
Badala ya kununua generator nunua sola watt 100= Tshs 140000
Betry N 80 =240000
Hii itapunguza gharama za mafuta ya generator, kelele na harufu ya petroli kwa wateja.
Badala ya kununua matv yote hayo anaweza kununua Moja kwa kuanzia baadaye mchongo ukikubali anaweka projector tu
Kibanda umiza kinalipa sana.Kaka upo vzuri asante kwa kutupa nondo za kuongeza kipato zaidi
Mobisol zile watt 200 wanavyokopesha na TV yao ile 42 huwa included kwenye iyo offer yao ya mkopo.Nishati.
Badala ya kununua generator nunua sola watt 100= Tshs 140000
Betry N 80 =240000
Hii itapunguza gharama za mafuta ya generator, kelele na harufu ya petroli kwa wateja.
Badala ya kununua matv yote hayo anaweza kununua Moja kwa kuanzia baadaye mchongo ukikubali anaweka projector tu
Sola panel unakuwa unaitoa kila siku inajaza betri unatafuta fundi anakutengenezea inakuwa standby tu umeme ukikata wa sola unaendelea kufanya kazi.Hallo hiyo inabidi uzime kwa ajili y ku recharge au mwendo mdundo nimeipenda hii na je inawasha laptop nikiweka inveta
Kipindi cha mvua vp hii mkuu haitasumbua.Nishati.
Badala ya kununua generator nunua sola watt 100= Tshs 140000
Betry N 80 =240000
Hii itapunguza gharama za mafuta ya generator, kelele na harufu ya petroli kwa wateja.
Badala ya kununua matv yote hayo anaweza kununua Moja kwa kuanzia baadaye mchongo ukikubali anaweka projector tu
Ni njia nzuri pia lakini gharama itakuwa kubwa sana.Mobisol zile watt 200 wanavyokopesha na TV yao ile 42 huwa included kwenye iyo offer yao ya mkopo.
Nieleweshe mkuu unaijaza vp hii.Sola panel unakuwa unaitoa kila siku inajaza betri unatafuta fundi anakutengenezea inakuwa standby tu umeme ukikata wa sola unaendelea kufanya kazi.
Unanunua sola Mono ambayo capacity yake kwenye mawingu inakuwa kubwa pia.Kipindi cha mvua vp hii mkuu haitasumbua
Hauna uelewa kidogo na umeme wa sola unavyofanya kazi?Nieleweshe mkuu unaijaza vp hii
Hii kwel mkuu mm nmejionea huk wilayan watu wanapenda san ligi ya tanzania bara kuliko za ulaya labda iwe big mechi lakin za kibongo ata iwe friend mechi watu wanakuja kuangalia sema uzur huk tunachaji 1000 kwa hyo ata wakija watu 25 fresh tu.Biashara yakuonyesha mpira inalipa kama itakuwa karibu na maeneo haya.
1 chuo
2 shule za boarding
3 vituo vya magari hasa dalala na parking za magari makubwa.
4 Mijini sehemu yoyote yenye kusanyiko kubwa la vijana.
Vijijini watu wanafuatilia ligi ya Tanzania tu na mechi za mashindano kama AFCON EURO na World cup.
Kama anataka kuweka vijijini simshauri kupeleka supersport labda ajiridhishe hapo anapopeleka anauhakika walau wa watu hamsini kila mechi wanaweza ingia kuangalia EPL.
faida atakuwa anaipata kunapokuwa na mechi kubwa kubwa kwani zina mashabiki wengi maeneo mengi.
Siku ya simba na yanga anapandisha kiingilio kuwa 1000 watu wataingia wengi bila kujali kiingilio na atapata faida.
NdioHauna uelewa kidogo na umeme wa sola unavyofanya kazi ?
Yap mawazo mazuri nilichoona mimi kuna vijana wengi wamekulia mjini hawajui hali ikoje huko vijiji vingine.Unanunua sola Mono ambayo capacity yake kwenye mawingu inakuwa kubwa pia.
After all mvua haiwezi kunyesha siku zote.
Lakini pia tumeweka sola kama backup ya umeme ukikatika.
Kwa vijijini ligi ya Tanzania ndiyo inalipa na mechi za mashindano.Hii kwel mkuu mm nmejionea huk wilayan watu wanapenda san ligi ya tanzania bara kuliko za ulaya labda iwe big mechi lakin za kibongo ata iwe friend mechi watu wanakuja kuangalia sema uzur huk tunachaji 1000 kwa hyo ata wakija watu 25 fresh tu.
Na hz mechi za kufuz champions league ya africa hela inapatikna coz naweza kupata watu zaid ya 55 kwa 1000 ndio mana naomba kila cku yanga na simba zifike hatua ya makundi nipige hela vzr
Hahahaha siku nyingine usivunje mlango Mkuu.Yap mawazo mazuri nilichoona mimi kuna vijana wengi wamekulia mjini hawajui hali ikoje huko vijiji vingine.
Kuna kijiji mimi nina shamba langu watu wanalipa kuangalia chochote kwenye tv sababu hata umeme hamna wenye tv hawako kibiashara .
Na ikitokea mechi vijana wengi wenye pikipiki wote wanahama kijini wanafuata game. Kwa mfano mimi siangaliagi mecbi nyi ngine yeyote ila Barca wakicheza nitatoka tu. Nilishawai kuvunja mlango baada ya shemeji yenu kunifungia nisitoke usiku.
Hii kitu inalipa.
Ni kwel mkuu lakin hapa nilipo mm weng ni boda boda na wazee ndio weng czan kam nitawapat kweny movie.Kwa vijijini ligi ya Tanzania ndiyo inalipa na mechi za mashindano.
Lakini pia watu bado wanautaratibu wa kuangalia video hivyo siku hakuna mpira unaweka movies unachangisha kidogo kidogo.
Kuna michezo ya mbio za pikipiki na magari ukizitangaza pia zinaweza kuvutia sana nilijaribu kuziintroduce zilivutia wengi sana.
Nunua projector mkuu moja ni 840000 epson eb s05 ata kam kuna mwanga inaonesha vzr tu inatanuka had inch 350 ni automatic unavyokaa mbali na ukuta ndio inazid kuwa kubwaMoja kati ya michezo pendwa sana kwa vijana na hata wazee na watoto kwa ujumla ni mchezo wa miguu, mpira (Football). Ligi nyingi sana zimeanza na zinatarajiwa kuanza ndani ya mwezi huu, huku tayari ligi pendwa ya EPL imeanza kutimua vumbi huku ligi ya Tanzania soon kuanza nayo.
Napenda kuanza biashara hii ya kuonyesha mpira hasa kwa ving'amuzi vya DSTV na AZAM ikiwa kuonyesha mechi za nje ya nchi na ndani hasa timu pendwa za watani wa jadi (Simba na Yanga).
Huu ndo uchambuzi wangu ambao nategemea kufanya makadirio kabla ya kuanza ujenzi na biashara kwa ujumla:
*Ujenzi wa Banda kwa kutumia Mabati pamoja na umeme hasa kutokana na sehemu niliyopo ni ya kijijini (sio sana) itanigharimu Tshs 900,000
*TV ya Kisasa (LED Inch 43) itanigharimu Tshs 900,000
*Manunuzi ya Ving'amuzi vyote viwili (AZAM - Tshs 135,000 & DSTV - Tshs 109,000)
Jumla = Tshs 244,000
*Vifurushi Vya Kujiunga Ndani husika (AZAM PLUS - Tshs 23,000 & DSTV Compact - Tshs 69,000)
Jumla = Tshs 92,000
*Kabati kwa ajili ya kuwekea/kuhifadhi TV itanigharimu Tshs 85,000
*Matumizi mengine ya dharura (Emergency) ndani ya ujenzi ni Tshs 200,000
Jumla Ya Mahitaji Na Gharama Kwa Ujumla Itanigharimu Kiasi Cha Tshs 2,421,000
Nakaribisha maoni na mapendekezo yenu yaweze kunisaidia mimi pamoja na wanajukwaa wengine wenye malengo kama yangu ya kuanzisha biashara hii.
Asanteni[emoji120]
Basi mbio za magari na pikipiki.Ni kwel mkuu lakin hapa nilipo mm weng ni boda boda na wazee ndio weng czan kam nitawapat kweny movie
Unaweza weka bench na kusheni la kiaina ili watu wasiumie makalio.Vinachukuaa nafasiii kubwaa, benchiii ndo mpango au mnataka vip mlipe mia naneeee