Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Unaweza nunua decoder zenye uwezo wa kufungua powervu key kwa autoroll na ukapata chanell kadha za mpira kama vile sony na spory24hd
Kwa wahitaji wa aina hizi za decoder.

Ninauza kwa TSH 120,000

Ni autoroll , zipo za kawaida na combo

Mawasilino: 0717 54 57 62
 
Unaweza nisaidia na bei yake
Maana za kulipia zimenichosha sasa
Nauza kwa tsh 120,000
call/sms 0717 54 57 62

Kama upo dsm utaelekezwa wapi uje uchukue ndipo ufanye malipo.
Kama upo mkoani utatumiwa kwa EMS, baada ya kufanya malipo

Karibu
 
Nauza kwa tsh 120,000
call/sms 0717 54 57 62

Kama upo dsm utaelekezwa wapi uje uchukue ndipo ufanye malipo.
Kama upo mkoani utatumiwa kwa EMS, baada ya kufanya malipo

Karibu
Na hvo vngamuz klipia n sh ngap
 
Kiongozi kwa kweli hii biashara mimi ilinishinda yaani nilikuwa nalipia 92 elfu kwa compact + halafu mwisho wa mwezi napata hasara kama ya 20 elfu hapo bado wananzengo wanakopa mechi kulipa ndo mbinde ila naumiza akili nikija kuibuka watanielewa tu kwa nitakachokifanya.
duuuh ni kutafuta suluhu mkuu kukimbia haifai compact plus sasa hivi ni 122500/= unajikuta pesa yako yote unakilipia chenyewe
 
kwa kuwasaidia tu ni kwamba uwezekano wa tv mbili kuonyesha kwa kutumia kifurushi kimoja inawezekana , sema utahitaji decoder nyingine na dish jingine au kama utapata lnb yenye tundu mbili fresh , hio kitu inaitwa extra view , ipo dstv na inatambulika , na kuwekewa ni bure kabisa ,tusiendekeza wizi jamani dstv wenyew kila siku usiku wanaupgrade software za decoder zao kwahio wizi haudumu, msijisumbue , na huyo anaewaambia hapo sijui atawawekea kwa 410k kuweni nae macho, hio 410k unaweza kupata decoder na ukaweka compact + miezi mitatu , tusipende mteremko hakuna pesa rahisi
sasa hapo mkuu utatumia account moja katika hizo kadi mbili za hizo decoder tofauti? binafsi nilichoshauriwa ni kuwa decoder mbili ila dish moja kuna kifaa kipo kina njia mbili hiyo inafanya kama connector wa hizo decoder mbili ila katika malipo inajitegemea
 
Kwa nini hamtumii ANDROID TV BOX? kupitia Android TV Box utapata Mobdro. Ndani ya Mobdro mechi karibu zote zinapatikana.Internet yako tu ya 4G itahusika.Nunua Android TV Box,nunua 4G router.Kazi imeisha
hii itabidi niiangalie kiukaribu mkuu mimi natumia alphabox kuna kipindi imesumbua sana sport 24 hd je hiyo android box mpaka mechi inaisha maximum unatumia mb au gb ngapi?
pia vipi kuhusu mechi zote huwa zinarushwa online?
 
sasa hapo mkuu utatumia account moja katika hizo kadi mbili za hizo decoder tofauti? binafsi nilichoshauriwa ni kuwa decoder mbili ila dish moja kuna kifaa kipo kina njia mbili hiyo inafanya kama connector wa hizo decoder mbili ila katika malipo inajitegemea
ndio unatumia account moja mkuu, na kifurushi unalipia kimoja tu
 
hii itabidi niiangalie kiukaribu mkuu mimi natumia alphabox kuna kipindi imesumbua sana sport 24 hd je hiyo android box mpaka mechi inaisha maximum unatumia mb au gb ngapi?
pia vipi kuhusu mechi zote huwa zinarushwa online?
Sijafanya utafiti inakula MB ngapi lakini ni chini ya 1 GB. Mechi karibu zote zinakuwa Online
 
Kwa wenye mabanda bei za vifurushi ni kubwa sana hasa Dstv ili upate ligi ya uingereza epl hapa inakulazimu ununue kifurushi kuanzia hiki cha dstv compact plus 122500(laki moja na ishirini na mbili mia tano) hapo una kimoja kama una Tv mbili inakubidi uwe na decoder mbili na zote uzilipie ile huduma ya kuunganisha tv mbili kwa decoder moja na ionyeshe mechi tofauti wanadai ilitolewa anaejua mautundu tusaidiane.

Binafsi baada ya kuona hizo gharama hiyo ya kifurushi bado hujalipa kodi na umeme na kibaya eneo nilipoweka hii biashara haijachangamka kivile NILIFANYA HILI KUJIPUNGUZIA GHARAMA.

Nikanunua sattellite dish lile kubwa na receiver ili nipate chanell za bure kweli sport 24 Hd inarusha karibu mechi zote inanisaidia japo hapa karibuni imesumbua sana hii sport 24 Hd signal zilikuwa chini sana now ipo vizuri ila changamoto yake kuu NIONAVYO HII INAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI SIO KIBIASHARA.

SOLUTION NYINGINE KUNA HAWA WANAWEKA channell za mpira katika azam au star times hawa sijawajaribu kama yupo anaezitumia tusaidiane.

ILA NI BIASHARA NZURI UKIWA NA LOCATION NZURI INGAWA MAUMIVU VIFURUSHI wageni karibuni katika hii bussiness leteni na maswali.

Mliopo humu na mna mabanda ya mpira tushaurine tufanye nini tuendeshe kifaida zaidi.

Je, Bien Sport au super Sport hizo zinazowekwa kwenye decoder zinadumu kwa muda gani?
Kama kweli umeamua kuwa katika ulimwengu wa free to air(FTA) nunua 1.decoder yenye uwezo wa powervu auto roll
( 160000-250000) 2.dish 6/8ft( 120000/25000) 3.lnb cband@sh13000/25000 kama3 nakuendelea 3.disc switch4ways/8ways25000 4.pini @500/1000 5.waya kama 25000/= kwa siku yakwanza itakuwa gharama baada ya hapo utaenjoy kweli achana na mambo ya malipo wala usihangaike kuchakachua decoder za watu watakushtaki, ww fuata hayo maelekezo utapata chanell ambazo hata kwenye dstv hazimo
 
mkuu hivi vitu vyote unavyosema ninavyo na nilianza huku kuikwepa dstv lakini nimerudi baada ya kuonekana FTA huwa mara nyingi signal ni low
na kama upo kibiashara kiukweli kuitegemea FTA naona utakuwa unaongopa maana wanarusha game wanazotaka wao hasa zikiwa nyingi maana ni chanel moja tu inayorusha sport 24HD
au kwako ni tofauti?
 
Gharama ya ufundi na vifaa nitakufanyia 410k,maongezi yapo.Napatikana maeneo ya Banana
Hebu fanya breakdown ya hiyo 410,000 ,kwa uelewa wangu kariakoo dish la fut 6 ni sh 75,000 mpaka 80,000,receiver zinazosupport powervu(tiger freesat,freteck na zinginezo) ni sh 100,000 mpaka120,000,cable mita 35 sh 7,000 mpaka 10,000,lnb 3@10,000 sawa na sh 30,000,diseque switch ya njia 4 sh 4,000 jumla kuu inakuja 240,000(maxmam),kwenye 410,000 inabaki 170,000,swali hii kazi ya kufunga inaworth sh 170,000 kwa usawa huu wa magufuri?,aisee watu tuwe serious aisee
 
hii android box yenyewe bei gani mkuu
 
duuuh na hiki kitu mpaka makao makuu ngoja nikawaone pia hiyo decoder nainunua au unapewa as mteja?
hakuna haja ya makao makuu tafuta fundi tu official ambaye atakuunganishia na yeye ndo inabidi apige simu hq , decoder inabidi ugharamie mkuu
 
asante sana mkubwa na vipi kwenye coverage yake intaneti huwa haisumbui na vipi kinatumia dish?
Hakuna dish japo kuna zenye sehemu za kuweka dish kwa ajili ya free to air.Lakini hiyo ya Mobdro haina uhitaji wa dishi.Mbali na mpira kuna chanel nyingi sana humo.TV zote za UK kama ITV 1,2,3,4. BBC 1,2,3,4 zimo Skysport1,2,3,4 .Bein,Fox etc. baadae nitaweka picha
 
Back
Top Bottom