Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Wewe unatumia decoder gani kupata mechi za mpira huenda nawe una wazo lako.Mbona kimya sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unatumia decoder gani kupata mechi za mpira huenda nawe una wazo lako.Mbona kimya sana!
Huyo jamaa ni tapeli tu, jiingize kichwa kichwa upigwe. Kuna uzi upo humu humu watu wametahadharishwa kumuepuka huyo mtu.wapo nadhani hata ukiingia kupatana au hata humu kuna baadhi ya matangazo yao shida inadumu kwa muda gani?
Duuuh! Kuna mtu kapigwa? au ni hadithi kiufupi niliongea nae ingawa bado sijawa inerested sana na huko maana najua vya bure it cost.Huyo jamaa ni tapeli tu, jiingize kichwa kichwa upigwe. Kuna uzi upo humu humu watu wametahadharishwa kumuepuka huyo mtu.
Duuh! Lakini wapo waliowekewa? tena anadai hata Star Times ya ndani anakuwekea pia.Huyo jamaa anayeweka Chanel za mpira,alileta Uzi hapa,wachangiaji walimshukia kwamba Ni taperi na haiwekani..akashindwa kutoa maelezo akakimbia Uzi wake.
Kwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani?Kwa wenye mabanda bei za vifurushi ni kubwa sana hasa Dstv ili upate ligi ya uingereza epl hapa inakulazimu ununue kifurushi kuanzia hiki cha dstv compact plus 122500(laki moja na ishirini na mbili mia tano) hapo una kimoja kama una Tv mbili inakubidi uwe na decoder mbili na zote uzilipie ile huduma ya kuunganisha tv mbili kwa decoder moja na ionyeshe mechi tofauti wanadai ilitolewa anaejua mautundu tusaidiane.
Binafsi baada ya kuona hizo gharama hiyo ya kifurushi bado hujalipa kodi na umeme na kibaya eneo nilipoweka hii biashara haijachangamka kivile NILIFANYA HILI KUJIPUNGUZIA GHARAMA.
Nikanunua sattellite dish lile kubwa na receiver ili nipate chanell za bure kweli sport 24 Hd inarusha karibu mechi zote inanisaidia japo hapa karibuni imesumbua sana hii sport 24 Hd signal zilikuwa chini sana now ipo vizuri ila changamoto yake kuu NIONAVYO HII INAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI SIO KIBIASHARA.
SOLUTION NYINGINE KUNA HAWA WANAWEKA channell za mpira katika azam au star times hawa sijawajaribu kama yupo anaezitumia tusaidiane.
ILA NI BIASHARA NZURI UKIWA NA LOCATION NZURI INGAWA MAUMIVU VIFURUSHI wageni karibuni katika hii bussiness leteni na maswali.
Mliopo humu na mna mabanda ya mpira tushaurine tufanye nini tuendeshe kifaida zaidi.
Je, Bien Sport au super Sport hizo zinazowekwa kwenye decoder zinadumu kwa muda gani?
Kuna chanel za nyumbani ngapi zinazokuwa zinaonekana pamoja na hizo za michezoKwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani?
Misimu ya ligi za soka ndio inaendelea
Pata channel 4 za soka bure kwaajili ya kuangalia ligi kubwa duniani yaani English Premier League(EPL), Spanish LALIGA, Bundesliga, Serie A, French Ligue 1 pamoja na mashindano makubwa duniani kama UEFA, FA, Capital One, International Champion,Super Cup na Olympic
Pia utaweza kuangalia mashindano mengine ya tennis, golf, mbio za magari, ngumi nk
Huhitaji kulipia kwa mwezi hata thumuni ya pesa yako, gharama itahitajika mwanzoni tu kwaajili ya vifaa na ufundi
Mahitaji;
-Dish kubwa (ft 6 au ft 8)
-Satellite receiver(yenye mfumo wa pv)
-C band LNB
-LNB cable(wire)
-Diseqc switch
Vifaa hivi vyote vinapatikana kwangu pamoja na ufundi
Pia utapata channel zinaonyesha movies,series, mieleka, wanyama, utafiti na sayansi
Mfumo huu una stability 90% reliability 90%, usihofu kukatiwa matangazo au utapeli
Mawasiliano(Call or text/whatsapp)
-0686811173
-0764453848
Hapo utapata za nyumbani 4 ila kama upo Dar tutaongeza mfumo wa terestrial ili kupata local channels nyingi zaidi.Kuna chanel za nyumbani ngapi zinazokuwa zinaonekana pamoja na hizo za michezo
Gharama ya ufundi na vifaa nitakufanyia 410k,maongezi yapo. Napatikana maeneo ya Banana.Gharama kiasi gani? Dstv wakichange frequency zao bado zitaendelea kuonelana?..Hapa Dar upo wapi?,Ili Kama imebuma nijue wapi kwa kukupata.
Mbona me walitapeli hadi leo sina hamu. na ni wengi tu wametapeliwa.Wapo nadhani hata ukiingia kupatana au hata humu kuna baadhi ya matangazo yao shida inadumu kwa muda gani?
Kilio cha kimyakimyambona me walitapeli hadi leo sina hamu. na ni wengi tu wametapeliwa.
Dicoder zenye uwezo wa powervu ni zipi hizo?Unaweza nunua decoder zenye uwezo wa kufungua powervu key kwa autoroll na ukapata chanell kadha za mpira kama vile sony na spory24hd
Ziko nyingi kwa mfano freesat digisat alphabox gsky na hata qsat q13 11 15 23 26 na q28Dicoder zenye uwezo wa powervu ni zipi hizo?
Unaweza nisaidia na bei yake. Maana za kulipia zimenichosha sasa.Ziko nyingi kwa mfano freesat digisat alphabox gsky na hata qsat q13 11 15 23 26 na q28
Asante mkuu.kwa kuwasaidia tu ni kwamba uwezekano wa tv mbili kuonyesha kwa kutumia kifurushi kimoja inawezekana , sema utahitaji decoder nyingine na dish jingine au kama utapata lnb yenye tundu mbili fresh , hio kitu inaitwa extra view , ipo dstv na inatambulika , na kuwekewa ni bure kabisa ,tusiendekeza wizi jamani dstv wenyew kila siku usiku wanaupgrade software za decoder zao kwahio wizi haudumu, msijisumbue , na huyo anaewaambia hapo sijui atawawekea kwa 410k kuweni nae macho, hio 410k unaweza kupata decoder na ukaweka compact + miezi mitatu , tusipende mteremko hakuna pesa rahisi