Kwa wahitaji wa aina hizi za decoder.Unaweza nunua decoder zenye uwezo wa kufungua powervu key kwa autoroll na ukapata chanell kadha za mpira kama vile sony na spory24hd
Android TV boxnaipata wapi hyo android tv!
Nauza kwa tsh 120,000Unaweza nisaidia na bei yake
Maana za kulipia zimenichosha sasa
Nenda geekbuying.com au aliexpress.com utazipata za bei mbalimbalinaipata wapi hyo android tv!
Decoder hzo ndo zkojeUnaweza nunua decoder zenye uwezo wa kufungua powervu key kwa autoroll na ukapata chanell kadha za mpira kama vile sony na spory24hd
Na hvo vngamuz klipia n sh ngapNauza kwa tsh 120,000
call/sms 0717 54 57 62
Kama upo dsm utaelekezwa wapi uje uchukue ndipo ufanye malipo.
Kama upo mkoani utatumiwa kwa EMS, baada ya kufanya malipo
Karibu
Habari.Na hvo vngamuz klipia n sh ngap
duuuh ni kutafuta suluhu mkuu kukimbia haifai compact plus sasa hivi ni 122500/= unajikuta pesa yako yote unakilipia chenyeweKiongozi kwa kweli hii biashara mimi ilinishinda yaani nilikuwa nalipia 92 elfu kwa compact + halafu mwisho wa mwezi napata hasara kama ya 20 elfu hapo bado wananzengo wanakopa mechi kulipa ndo mbinde ila naumiza akili nikija kuibuka watanielewa tu kwa nitakachokifanya.
sasa hapo mkuu utatumia account moja katika hizo kadi mbili za hizo decoder tofauti? binafsi nilichoshauriwa ni kuwa decoder mbili ila dish moja kuna kifaa kipo kina njia mbili hiyo inafanya kama connector wa hizo decoder mbili ila katika malipo inajitegemeakwa kuwasaidia tu ni kwamba uwezekano wa tv mbili kuonyesha kwa kutumia kifurushi kimoja inawezekana , sema utahitaji decoder nyingine na dish jingine au kama utapata lnb yenye tundu mbili fresh , hio kitu inaitwa extra view , ipo dstv na inatambulika , na kuwekewa ni bure kabisa ,tusiendekeza wizi jamani dstv wenyew kila siku usiku wanaupgrade software za decoder zao kwahio wizi haudumu, msijisumbue , na huyo anaewaambia hapo sijui atawawekea kwa 410k kuweni nae macho, hio 410k unaweza kupata decoder na ukaweka compact + miezi mitatu , tusipende mteremko hakuna pesa rahisi
hii itabidi niiangalie kiukaribu mkuu mimi natumia alphabox kuna kipindi imesumbua sana sport 24 hd je hiyo android box mpaka mechi inaisha maximum unatumia mb au gb ngapi?Kwa nini hamtumii ANDROID TV BOX? kupitia Android TV Box utapata Mobdro. Ndani ya Mobdro mechi karibu zote zinapatikana.Internet yako tu ya 4G itahusika.Nunua Android TV Box,nunua 4G router.Kazi imeisha
ndio unatumia account moja mkuu, na kifurushi unalipia kimoja tusasa hapo mkuu utatumia account moja katika hizo kadi mbili za hizo decoder tofauti? binafsi nilichoshauriwa ni kuwa decoder mbili ila dish moja kuna kifaa kipo kina njia mbili hiyo inafanya kama connector wa hizo decoder mbili ila katika malipo inajitegemea
Sijafanya utafiti inakula MB ngapi lakini ni chini ya 1 GB. Mechi karibu zote zinakuwa Onlinehii itabidi niiangalie kiukaribu mkuu mimi natumia alphabox kuna kipindi imesumbua sana sport 24 hd je hiyo android box mpaka mechi inaisha maximum unatumia mb au gb ngapi?
pia vipi kuhusu mechi zote huwa zinarushwa online?
asante sana mkubwa na vipi kwenye coverage yake intaneti huwa haisumbui na vipi kinatumia dish?Sijafanya utafiti inakula MB ngapi lakini ni chini ya 1 GB. Mechi karibu zote zinakuwa Online
duuuh na hiki kitu mpaka makao makuu ngoja nikawaone pia hiyo decoder nainunua au unapewa as mteja?ndio unatumia account moja mkuu, na kifurushi unalipia kimoja tu
Kama kweli umeamua kuwa katika ulimwengu wa free to air(FTA) nunua 1.decoder yenye uwezo wa powervu auto rollKwa wenye mabanda bei za vifurushi ni kubwa sana hasa Dstv ili upate ligi ya uingereza epl hapa inakulazimu ununue kifurushi kuanzia hiki cha dstv compact plus 122500(laki moja na ishirini na mbili mia tano) hapo una kimoja kama una Tv mbili inakubidi uwe na decoder mbili na zote uzilipie ile huduma ya kuunganisha tv mbili kwa decoder moja na ionyeshe mechi tofauti wanadai ilitolewa anaejua mautundu tusaidiane.
Binafsi baada ya kuona hizo gharama hiyo ya kifurushi bado hujalipa kodi na umeme na kibaya eneo nilipoweka hii biashara haijachangamka kivile NILIFANYA HILI KUJIPUNGUZIA GHARAMA.
Nikanunua sattellite dish lile kubwa na receiver ili nipate chanell za bure kweli sport 24 Hd inarusha karibu mechi zote inanisaidia japo hapa karibuni imesumbua sana hii sport 24 Hd signal zilikuwa chini sana now ipo vizuri ila changamoto yake kuu NIONAVYO HII INAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI SIO KIBIASHARA.
SOLUTION NYINGINE KUNA HAWA WANAWEKA channell za mpira katika azam au star times hawa sijawajaribu kama yupo anaezitumia tusaidiane.
ILA NI BIASHARA NZURI UKIWA NA LOCATION NZURI INGAWA MAUMIVU VIFURUSHI wageni karibuni katika hii bussiness leteni na maswali.
Mliopo humu na mna mabanda ya mpira tushaurine tufanye nini tuendeshe kifaida zaidi.
Je, Bien Sport au super Sport hizo zinazowekwa kwenye decoder zinadumu kwa muda gani?
mkuu hivi vitu vyote unavyosema ninavyo na nilianza huku kuikwepa dstv lakini nimerudi baada ya kuonekana FTA huwa mara nyingi signal ni lowKama kweli umeamua kuwa katika ulimwengu wa free to air(FTA) nunua 1.decoder yenye uwezo wa powervu auto roll
( 160000-250000) 2.dish 6/8ft( 120000/25000) 3.lnb cband@sh13000/25000 kama3 nakuendelea 3.disc switch4ways/8ways25000 4.pini @500/1000 5.waya kama 25000/= kwa siku yakwanza itakuwa gharama baada ya hapo utaenjoy kweli achana na mambo ya malipo wala usihangaike kuchakachua decoder za watu watakushtaki, ww fuata hayo maelekezo utapata chanell ambazo hata kwenye dstv hazimo
Hebu fanya breakdown ya hiyo 410,000 ,kwa uelewa wangu kariakoo dish la fut 6 ni sh 75,000 mpaka 80,000,receiver zinazosupport powervu(tiger freesat,freteck na zinginezo) ni sh 100,000 mpaka120,000,cable mita 35 sh 7,000 mpaka 10,000,lnb 3@10,000 sawa na sh 30,000,diseque switch ya njia 4 sh 4,000 jumla kuu inakuja 240,000(maxmam),kwenye 410,000 inabaki 170,000,swali hii kazi ya kufunga inaworth sh 170,000 kwa usawa huu wa magufuri?,aisee watu tuwe serious aiseeGharama ya ufundi na vifaa nitakufanyia 410k,maongezi yapo.Napatikana maeneo ya Banana
hii android box yenyewe bei gani mkuuHebu fanya breakdown ya hiyo 410,000 ,kwa uelewa wangu kariakoo dish la fut 6 ni sh 75,000 mpaka 80,000,receiver zinazosupport powervu(tiger freesat,freteck na zinginezo) ni sh 100,000 mpaka120,000,cable mita 35 sh 7,000 mpaka 10,000,lnb 3@10,000 sawa na sh 30,000,diseque switch ya njia 4 sh 4,000 jumla kuu inakuja 240,000(maxmam),kwenye 410,000 inabaki 170,000,swali hii kazi ya kufunga inaworth sh 170,000 kwa usawa huu wa magufuri?,aisee watu tuwe serious aisee
hakuna haja ya makao makuu tafuta fundi tu official ambaye atakuunganishia na yeye ndo inabidi apige simu hq , decoder inabidi ugharamie mkuuduuuh na hiki kitu mpaka makao makuu ngoja nikawaone pia hiyo decoder nainunua au unapewa as mteja?
Hakuna dish japo kuna zenye sehemu za kuweka dish kwa ajili ya free to air.Lakini hiyo ya Mobdro haina uhitaji wa dishi.Mbali na mpira kuna chanel nyingi sana humo.TV zote za UK kama ITV 1,2,3,4. BBC 1,2,3,4 zimo Skysport1,2,3,4 .Bein,Fox etc. baadae nitaweka pichaasante sana mkubwa na vipi kwenye coverage yake intaneti huwa haisumbui na vipi kinatumia dish?