Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Mkuu zamani ktk kodi zamani tulikuwa tunapata super sport ktk zemtv addon siku hizi hamna je zinaparikana addon gani
 
Mkuu Mwl.RCT unatumia internet provider yupi kustream? Nimejaribu hawa jamaa karibu wote (walio na unlimited internet yaani Smart/Smile/Halotel) ila naona kama vile baada ya mwezi hivi wanapunguza speed wakigundua unanyonya bandwidth kubwa. Sasa najiuliza hivi ni mimi au na nyie mmewahi kukumbwa na hili?
 
Mimi nimefungua banda langu juzi siku ya game ya liverpool vs man utd,,kiukweli si mbaya na njia pekee ya kuwa na matangszo ya uhakika ni dstv,hasa ukijiunga na huduma ya extra view,mechi mbili,kifurushi kimoja decorder mbili,,,hapo unalazimika kulipia jumla ya sh 149000...
 
Mitandao miwili
- voda &
- TTCL
Inakidhi mahitaji yangu.
 
Gharama ya ufundi na vifaa nitakufanyia 410k,maongezi yapo.Napatikana maeneo ya Banana
Nipo mbeya, nawezaje pata huduma?
 
Naweza kukupa huduma hapo Mbeya tuwasiliane 0717 54 57 62
Ninazo android box bora zaid,satellite receivers bora zaid.
Nainjoy home na bandani.

0767791405 (call or whatsapp)
MWANZA
 

Attachments

  • 1485244751941.jpg
    38.6 KB · Views: 124
  • 1485245033335.jpg
    31.3 KB · Views: 104
  • 1485245107972.jpg
    37.4 KB · Views: 114
  • 1485245330663.jpg
    31.3 KB · Views: 107
  • 1485245348374.jpg
    51.3 KB · Views: 112
  • 1485245447216.jpg
    23.3 KB · Views: 124
Wale wa madish sport 24 imegoma siku ya tatu hii au wapo wengine inapiga?
 
Mkuu nilikuwa na idea ya kuanzisha banda na mimi...vipi unaweza kunipa mchanganuo wako wa biashara hii kama hutojali?
 
Mkuu nilikuwa na idea ya kuanzisha banda na mimi...vipi unaweza kunipa mchanganuo wako wa biashara hii kama hutojali?
Mkuu Mimi hii ni moja wapo ya biashara zangu
Ingawa kwa sasa natumia dish mbili tu

Dstv natumia extra view malipo laki moja na nusu
Na kingine hizi za ndani decoder ya Azam

TV ninazo flat mbili na projector moja
Na jenerator plus sabufa mbili basi

Bei star x mbili nilinunua laki Tisa kila moja 450000
Sabyfa mbili

Moja 200000
Nyingine 90000
Ving'amuzi Azam 145000+ ufundi 30000+malipo ya mwezi 15000

Dstv nilinunua 80000 + ufundi 30000
Kifurushi 150000 kwa mwezi

Ila kabla ya Dstv nilikuwa natumia receiver ya alphabox hii nilinunua 250000 pamoja na Vifaa + ufundi
Dish 200000
Basi
Na banda laki saba tu kulijenga


ILa usiogope anza na ulivyo navyo
 
Natumia halotel lakini hii aplication ya Mobdro inakatakata wakati inaonyesha games.
Nifanyeje ili iwe vizuri..( natumia simu)
 
Habari wana jamiiforums natafuta mtu wa kushirikiana katika kuonyesha mpira kupitia dstv.Mimi nina vifaa vyote kinachokosekana ni sehemu ya kuonyeshea na vifaa vingine (labda viti).Hivyo basi kama una sehemu nzuri tunaweza kuongea tukaingia mkataba kwa pamoja.Nipo Dar es salaam

mawasiliano; 0765696086 (watsaap)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…