Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Gharama utakazo tumia kwenye bando ni bora tu ununue dstv . Compact elfu 44 tu saivi mbona bei ya kawaida
 
Streaming pia huwa iko nyumba kwa dakika hadi 5.

Sometimes kunawexa kusiwe na option ya ku pin resolusion ya video ukajikuta ina auto. Sasa ikishuka ikafika 144pixel [emoji3][emoji3] utatema pesa za watu maana wataona uchafu tu.
 
Haiwezekani. Kama tu 4g nipo peke yangu na kuna muda inaskratch sembuse bandani watu tumejaa. Halafu inakuwa nyuma kwa dkk kadhaa. Ila afcon yote me nilistream vizuri tu.

Utakula matusi ukimbie.
 
Haiwezekani. Kama tu 4g nipo peke yangu na kuna muda inaskratch sembuse bandani watu tumejaa. Halafu inakuwa nyuma kwa dkk kadhaa. Ila afcon yote me nilistream vizuri tu.

Utakula matusi ukimbie.
Siyo matusi pekee. Huoni hapo juu wamesema watamuua ikikwama kwama. Kuua inaweza ikawa ngumu ila lazima matv wayapasue.
 
Tanzania internet bado haileweki haiko strong,Hiyo Tv yako itavunjwa vunjwa na mashabiki maandazi.
 
Kama upo eneo lenye network nzuri sioni shida, mfano naangalia live stream za Samsung, Apple kwenye TV 1080p bila stutter kwa kutumia Vodacom 4g, nafanyaga video conference na Skype bila shida. Kitu ambacho nimeona kinaletaga shida ni nikiwa najaribu kuangalia content za 4k au 4k hdr kwenye Netflix hapo ndio naonaga kuna buffering.

Tatizo tu litakuwe bei ya vifurushi so bora hiyo DStv au mtoa huduma mwingine.
 
Kuna vitu vitatu ambavyo inabidi uzingatie.

1. Speed yako ya Internet. kama speed yako ipo slow ni lazima itanata tu.
2. Quality ya video (144p 240p 360p 480p 720p 1020p).

hapa 360p - hii ni standard, 720p - ni HD, 1020p - hiini full HD. Jinsi hizo namba zinavyoshuka mahitaji ya internet pia yanashuka lakini muonekano unakua mbaya.

3. Speed ya link yako ya kustream. Hapa ndipo kunawachanganya wengine, inaweza ikawa speed yako ya internet ipo vizuri sana na bado video ikawa inanata vile vile. Hii inawezekana kusababishwa na speed ya link husika, kuna uwezekano wakati huo unaangalia kukawa na watu wengine ambayo wanaangalia kwa kupitia link hiyo hiyo matokeo yake hiyo link ikawa busy sana kiasi kwamba haiwezi kuwarudishia frame za video wote kwa wakati mmoja.

Mwisho utakuja kugundua kuwa links ambazo ni shared na free kwa baadhi ya mechi huwa zipo busy na slow (Ukistream video inaganda lakini ukiingia youtube unaona vizuri tu video bila mnato).

Pia utakuja kugundua ukitaka kuangalia FHD itakutoka zaidi ya GB 1.5 kwa mechi, sasa unaweza ukafanya maamuzi sahihi zaidi.
 
Nataka nifungue biashara ya kuonesha mpira live ligi na makombe ya ulaya.

Nimekua nikifikira kununua dekoda 2 za dstv na vifurushi vyao ila nikawaza hui gharama naweza kuikwepa kwa kutumia laptop, website za mechi live na internet ya smile 4g niwe nazirusha mechi live kwenye flat screen mbili na hii itakuwa sio gharama.

Je, kuna changamoto zipi nazoweza kuzipata nikitumia internet kuoneshea mechi
Sijawahi kutumia smile sema Vodacom nawaelewa zaidi mara zote natumia kustream mechi kwenye apple tv.Uzuri wa haya mambo ni kama vile ulivyosema kuna mechi hazioneshwi kwenye DSTV lakini unaweza ipata kwenye sites.
 
Sio reliable, Mashabiki wenye hasira Kali wanaweza kuvunja TV ikianza kunata nata hasa timu ikiwa imefungwa. Na unaweza unaangalia mpira mwenyewe ikaonesha fresh tu Ila watu wakijazana kwenye Banda signal nazo zikaanza kuleta tabu na speed kudrop.

Kuna jamaa wa canal watu wanatumia Bei zao Ni affordable.

Pia DStv Wana DStv now unaweza ukajaribu kwa decoder moja na service ya DStv now uangalie Kama online inaweza kuwa nzuri.
Hahah hapa kuna ukweli, mashabiki wa man u wasije kunivunjia tv zangu, ila chief umewahi kuwatumia hawa smile??, wana spidi kiasi cha kustream hata mechi 5 kwa mpigo na nimejaribu hii, ila huenda watu wakijaa network unaweza kusumbua.

Hawa canal ndio nawaskia kwako, kwa huku mikoani sijawai kuwasikia, bei zao vp?
 
Hahah hapa kuna ukweli, mashabiki wa man u wasije kunivunjia tv zangu, ila chief umewahi kuwatumia hawa smile??, wana spidi kiasi cha kustream hata mechi 5 kwa mpigo na nimejaribu hii, ila huenda watu wakijaa network unaweza kusumbua.

Hawa canal ndio nawaskia kwako, kwa huku mikoani sijawai kuwasikia, bei zao vp
Canal Ni 40,000 ama 50,000 kwa mwezi, na Kama mikoa ya baharini inapatikana nafkiri Tanzania nzima itakuwepo sababu tunaibia hii satellite toka Congo.

Kuna wadau wanatangaza humu.

Na kwa mitandao Nafkiri Voda wapo vizuri zaidi sema hawana kifurushi Cha kuenjoy hiyo speed Yao. Smile wapo vizuri pia kiasi Chao.
 
Sio reliable, Mashabiki wenye hasira Kali wanaweza kuvunja TV ikianza kunata nata hasa timu ikiwa imefungwa. Na unaweza unaangalia mpira mwenyewe ikaonesha fresh tu Ila watu wakijazana kwenye Banda signal nazo zikaanza kuleta tabu na speed kudrop.

Kuna jamaa wa canal watu wanatumia Bei zao Ni affordable.

Pia DStv Wana DStv now unaweza ukajaribu kwa decoder moja na service ya DStv now uangalie Kama online inaweza kuwa nzuri.

Hawa Canal nawapataje mkuu, na gharama zao zikoje?
 
Nataka nifungue biashara ya kuonesha mpira live ligi na makombe ya Ulaya.

Nimekua nikifikira kununua dekoda 2 za dstv na vifurushi vyao ila nikawaza hui gharama naweza kuikwepa kwa kutumia laptop, website za mechi live na internet ya smile 4g niwe nazirusha mechi live kwenye flat screen mbili na hii itakuwa sio gharama.

Je, kuna changamoto zipi nazoweza kuzipata nikitumia internet kuoneshea mechi

Nunua moja ya pili tumia DSTV now! Maana cgangamoto ni kupata reliable stream....kuna streams lazima upate buffering regardless ya network. Wana estimate 1.2GB/hr kama ukitazama kwa 720p

Dstv now.png
 
nunua moja ya pili tumia DSTV now!
maana cgangamoto ni kupata reliable stream....kuna streams lazima upate buffering regardless ya network
Chengine kinachokwamisha Ni umbali wa server, hata utumie fiber yenye 1ms ping ukistream kitu ama ukicheza game na server IPO marekani ping inakuja 100+ na sometime inakwenda Hadi 300 ama zaidi.

Japo sijaitest DStv now Ila matumaini yangu server zao zipo Hapa Hapa Africa hivyo itakuwa reliable zaidi.
 
Kama upo eneo lenye network nzuri sioni shida, mfano naangalia live stream za Samsung, Apple kwenye TV 1080p bila stutter kwa kutumia Vodacom 4g, nafanyaga video conference na Skype bila shida... Kitu ambacho nimeona kinaletaga shida ni nikiwa najaribu kuangalia content za 4k au 4k hdr kwenye Netflix hapo ndio naonaga kuna buffering.

Tatizo tu litakuwe bei ya vifurushi so bora hiyo DStv au mtoa huduma mwingine.

Mkuu huwa una stream 1080p na voda? Unatumia kiasi gani kwa siku.
 
Back
Top Bottom